Tshirt hii ya Yanga inauzwa 85,000/= ina ubora mzuri

Tshirt hii ya Yanga inauzwa 85,000/= ina ubora mzuri

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi.

Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei.

Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa.

Mambo mazuri yanahitaji pesa!

IMG_2725.jpeg
IMG_2726.jpeg
 
Ni sahihi kabisa.

Kwenye masomo ya sales na marketing huwa wanafundisha saikolojia za binadamu katika kununua kitu.

Binadamu huwa anafanya maamuzi ya kununua kitu kwa emotions kuliko logic.

Hiyo tshirt inauzwa hiyo bei sababu ya hiyo nembo ya yanga tu. Watu wengi wana emotional attachment na timu ya yanga. Na sasa wamekuwa na emotions na gsm sababu anaonekana anaisaidia yanga. Hapo bosi kaivaa kwa ajili ya kuipromote ili wanayanga wainunue sana.

Hiyo tshirt Ukiitoa nembo ya yanga hapo isiwepo hata elfu 20 kuuza ni ngumu sana.
 
Ni sahihi kabisa.

Kwenye masomo ya sales na marketing huwa wanafundisha saikolojia za binadamu katika kununua kitu.

Binadamu huwa anafanya maamuzi ya kununua kitu kwa emotions kuliko logic.

Hiyo tshirt inauzwa hiyo bei sababu ya hiyo nembo ya yanga tu. Watu wengi wana emotions na timu ya yanga. Na sasa wamekuwa na emotions na gsm sababu anaonekana anaisaidia yanga. Hapo bosi kaivaa kwa ajili ya kuipromote ili wanayanga wainunue sana.

Hiyo tshirt Ukiitoa nembo ya yanga hapo isiwepo hata elfu 20 kuuza ni ngumu sana.
Branding
 
Eti jamaa yako akaenda kununua. Kwanini usingeenda wewe kununua
 
GSM ni Gulamali aliyepooza. Yanga bwana mmewaimba sana watu wa namna hii, masponsa wanaowaweka mjini. Wakitokea watu kuwaelimisha mjitegemee mnawaona maadui
 
Back
Top Bottom