TSMC: Hatutapokea ombi lolote kutoka Huawei kununua processor zetu kuanzia September 14, 2020

Usisahau uchumi na technolojia ni vitu vinavyo kwenda sambamba mchina kakosa kimoja hapo hayupo vizur (technolojia).
 
Zilikuwepo empire zenye nguvu na zilianguka,Mchina sio mjinga kivile lazima atakuja na solution.Mbaya zaidi kila taifa litakuja na solution zake kuondoa huu ukiritimba baada ya kuona jinsi China anavyofanyiziwa
Muogope mtu yupo kimyaaa hapigi kelele hee!!
 
Usisahau uchumi na technolojia ni vitu vinavyo kwenda sambamba mchina kakosa kimoja hapo hayupo vizur (technolojia).
Du hebu angalia gadget zote ulizonazo zimetengenezwa wapi.

Kila nchi inategemea nchi zingine
 
Kama ccm inavyo dhamiria kuiondoa chadema[emoji1][emoji1]
 
China imeipiga bao USA kwenye 5G kivipi?
 
TSMC ni major supplier wa chip kwa HUAWEi, TSMC yuko supplied na technology pamoja na mitambo ya kutengeneza hizo chip na wamarekani.
Alafu wamarekani hawanunui product za HUAWEI.

Sasa anayemtegemea mwenzake kati ya USA na CHINA ni nani?
 
Mchina anapaogopa pale maana Taiwan ana Zana za kivita za hatari na China anaziogopa. Hong Kong ilikuwa haina uhuru kama taiwan
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba UCHINA anaiogopa TAIWAN kuliko TAIWAN inavyoiogopa UCHINA

mahaba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ya vikwazo si nzuri, mwisho wasijesema nchi zitakazonunua bidhaa za Huawei zitaingia ktk vikwazo kutoka marekani[emoji848] shame

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nandipo vikwazo vitakapopoteza ile maana yakenhalisi maana watu hawatakaa waendekeze upuuzi na ujinga wao.....
 
Taiwan ni pa moto na USA yuko tayari kuingia vitani akisaidiwa na Australia na Europe . Mchina atawashiwa moto hatari. Mchina acheze na Tibet na Hong Cong hapo ndio ana uwezo napo
UCHINA hanamuda na vita na US hatathubutu kuingia vitani na UCHINA labda ampige kwavijembe vyatwita na WASAPU
 
China should democratize their politics and privatize their economy or else they are going to be increasingly sidelined by the western countries.
They should also review their relationship with Iran and the new dictatorship of Russia.
Endeleeni kuota mkiamka mtakuta UCHINA ipo kama ilivyosasa.....
 
Usisahau uchumi na technolojia ni vitu vinavyo kwenda sambamba mchina kakosa kimoja hapo hayupo vizur (technolojia).
Hayupo vizuri kafikaje hapo alipo

UCHINA ipi labda unayoisemea wewe ile ile ya miaka ya 70s ama ?!
 
toa hoja mkuu, sio mipasho...
wewe ndio unatoa mipasho hayo unayoyasema kabla yalikua hayajulikani ?!


Mbna kabla yahapo hakukua nahizi ndoto wanazoota US kwasasa wameshikwa pabaya nawameshikika ila UCHINA iko pale palw tuuu.....
 
wewe ndio unatoa mipasho hayo unayoyasema kabla yalikua hayajulikani ?!


Mbna kabla yahapo hakukua nahizi ndoto wanazoota US kwasasa wameshikwa pabaya nawameshikika ila UCHINA iko pale palw tuuu.....
wamarekani wamekataa technologia yao isitumiwe na HUAWEI sababu serikali ya china ina mikono kwenye kampuni hiyo na hivyo kusababisha wasiwasi wa bidhaa za HUAWEI kutumiwa na serikali ya uchina katika namna inayohatarisha usalama wa USA.

Issue ya serikali ya UCHINA kuwa na influence kwenye kampuni hiyo ni sababu, serikali ya UCHINA haiko tayari makampuni ya kibiashara kujiendesha yanavyotaka bila maelekezo yake binafsi, na hii inawezekana sababu hakuna hoja mbadala pale china za namna serikali inapaswa kuendeshwa au kusimamia uchumi wa nchi.

sasa hapo wamarekani wana wivu kivipi?

kama ni wivu hao wachina si watumie technologia yao yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…