Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wafanye mpango network yao ifike hadi nje ya mji,kwa dar hapo hapo ukitoka nje ya mji kidogo tu net yao inapotea!Seems umetumwa aisee na hauna uzalendo ndani yako ,TTCL Ni mtandao wa kitanzania na unaendeshwa na watanzania wenyewe badala uwe wa kwanza kuitetea wewe mtanzania mwenzetu ndio unakua wa kwanza kuichafua, tupende vya kwetu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ya network ni shida ukiwa nje ya mjiPole kwa changamoto hiyo,tunaomba utufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Asante.
Sure mze mikoan tunapata shida kinyamaChangamoto ya network ni shida ukiwa nje ya mji
Naishi sinza,na hiyo ya data ndio iliyonifanya niachane nao. Niliwatumia almost mwaka na mieziData traffic ya ttcl kiukweli huwa inasumbua ukiwa mijini, mfano huku mitaa ya sinza inaenda 4-6mbps ila ukiwa maeneo kama tegeta huwa spidi ni 24-39mbps.
Hiyo ni kwa line za 4G
Kwa sinza ipo slow hadi mida ya saa tisa kuelekea alfajiri mkuuNaishi sinza,na hiyo ya data ndio iliyonifanya niachane nao. Niliwatumia almost mwaka na miezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona juzi nilikuwa kisarawe ndani huko na internet ilikuwa sawa tu.Wafanye mpango network yao ifike hadi nje ya mji,kwa dar hapo hapo ukitoka nje ya mji kidogo tu net yao inapotea!
Pole mkuuSio siri ngoja niende kwenya mada moja kwa moja.
Huu mtandao una matatizo mengi sana kama yafuatayo:..
nimeshapoa mkuu
Kinachofanya Vodacom awe juu ya hawa wote ni speed ya internet yake. Sina hakika kama TTCL Corporation wamejifunza kutoka VodacomHawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi alfajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
asee, hili swali na mimi linaniumiza kichwaTTCL wao ndio wamiliki wa mkongo wa taifa wa fiber, nashindwa kuelewa kwanini wako slow?
duuh , . . .Niliitupa nikahamia Zantel