TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Seems umetumwa aisee na hauna uzalendo ndani yako ,TTCL Ni mtandao wa kitanzania na unaendeshwa na watanzania wenyewe badala uwe wa kwanza kuitetea wewe mtanzania mwenzetu ndio unakua wa kwanza kuichafua, tupende vya kwetu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye mpango network yao ifike hadi nje ya mji,kwa dar hapo hapo ukitoka nje ya mji kidogo tu net yao inapotea!
 
Asante Ttcl kwa kusikiliza maoni yangu na wadau wengeni kuhusu kupandisha bei ya vifurushi wapo waliopinga na kubeza wengi waliona kama kukosoa Ttcl ni kukosa uzalendo,

Asante kwa kutambua na kudhamini maoni yetu sisi wateja damudamu lazima tuseme tunapokwazika hili muone wapi mlipojikwaa, Tumeona mmeshusha bei ya vifurushi kama hilivyokuwa awali.
 
Tatizo si vouchers and bundles,elewa kinacholalamikiwa ni huduma MBOVU za TTCL KIMTANDAO. Very slagish and inefficient compared to other networks in the market.

Ndiyo nyumbani kumenoga kweli.Work up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upatikanaji wa vouchers na bundles ni shida.
Unalazimika kununua toka mitandao mingine kisha uhamishie TTCL kwa kufanya hivyo gharama ya manunuzi inaongezeka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.

Kesho asubuhi alfajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Kinachofanya Vodacom awe juu ya hawa wote ni speed ya internet yake. Sina hakika kama TTCL Corporation wamejifunza kutoka Vodacom
 
Back
Top Bottom