TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
- Thread starter
- #521
Piga *148*30# kisha chagua Intaneti kisha chagua TOBOA NIGHT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga *148*30# kisha chagua Intaneti kisha chagua TOBOA NIGHT
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Walinchosha nilipokuwa sehemu fulani karibu na downtown alafu simu inasoma ROAMIN aisee eti jamaa wanagongea mnara wa Tigo tena Dar es salaam! Aibu sana
TTCL ni baba laoHapa nilipo nasoma hii thread kwa network ya TTCL bila wasi wasi, bei kitonga MB 800 Ndani ya siku 5 kwa buku tu
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Kwanza sina budi kutoa pongezi zangu kwa shirika hili la simu jinsi lilivyoingia kwenye soko la mawasiliano na huduma zake za maongezi T-PESA na INTERNET YA KASI KUBWA Kwa Bei nafuu, huku wakiwa na kaulimbiu yao ya RUDI NYUMBANI KUMENOGA, kwa sasa mlipoharibikiwa ni hapa:
1. Kusajili laini zenu kwa fingerprints Dar es salaam mzima, huduma inapatikana Kariakoo na Posta tu.
2. Huduma ya vocha na T-PESA, mawakala hamna, ili update ni lazima upitie AIRTEL MONEY.
3. Ile internet ya 4G mlikuwa mnatupatia, kwa sasa hata ZERO-G haifiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Sina uhakika na taarifa zako kuhusu usajili kwa alama, mimi nimesajili line yangu kwenye office zao za Mbezi beach, na nna uhakika kila kwenye office yao kuna hiyo huduma
Niko mkoani tena Bush na nnapata 4G vizuri tuu japo kuna maeneo yana changamoto, ila si kwa TTCL pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Binafsi nilikua napata vizuri tu, lakini Sasa hivi, internet inapanda na kushuka nipo maeneo ya wilaya ya temeke, temeke yote usajili wa fingerprints hamna ukitaka nilazima uende Posta na kariakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Yaani mwezi wa 5 nilisajili namba yangu ttcl kwa njia ya vidole kwenye Ofisi yao Mkoani, leo natumiwa sms zimebaki siku 5 za kufunga dirisha la usajili kwa alama za vidole. Ikabidi nihakiki tena kama namba imesajiliwa nakuta haijasajiliwa. View attachment 1324338
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.TTCL kibaha haupati internet yoyote ile...
Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.Binafsi nakaribia kukataa tamaa na Hao ttcl, mwanzoni walikuwa poa Sana, ila nimeona juzi Kati wamebadili bei ya vifurushi, na kuvinyima Thamani baadhi ya vifurushi,
Kulikuwa na kifurushi Cha mwezi mzima mtandao yote dakika 470 kwa sh14500, hakipo tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi Nyumbani Kumenoga.Nimeshaitupa line
Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.Niliwaona hamna kitu baada ya kuweka tariff za Tpesa sawa na akina MTpesa ilhali wao ni wachanga kwenye hiyo huduma. Halotel wanahangaika hadi wanashusha tariff ili waweze kushindana ila hawa wetu wamebeteka tu.
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Saiv sio internet tu mpaka call za kawaida sina siku ya nne
Internet yenywe zaid ya mwez ipo duniiii sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.Mie nilisafiri kutoka ushirombo Hadi Geita zaidi ya km 360 kusajili line ya ttcl hiyo mivoda na Airtel wafunge tu nshatoa pesa zangu
Fiber cable mmesambaza mitaa ya kishua tu,kina sie ngumbaru ni mwendo wa kobe na mb zenuRudi Nyumbani Kumenoga.
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.Tatizo la ttcl kuna maeneo hakuna network kabisa kama huku kata ya kamhanga, GEITA hakuna signal hata kidogo.
Mi nilinunua line yao lkn nashindwa pindi ninapokua huko kituo change cha kazi. Huwa naitumia hadi ninaporudi GEITA mjini. Hata kuweka pesa cwezi kwa sasa kwa ajii ya ukosefu wa network.
Nawaomba/naomba serikali sikivu itufikirie na cc wa mashambani tutumie ttcl yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.Inategemea ulipo mkuu. Huku Chamazi TTCL haipatikani
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.Aisee hili shirika letu linahujumiwa si bure, haiwezekani wapeleke gawio kwa JPM huku wakijua kabisa kuwa minara yao haitoshi , vocha hazitoshi mji mzima, wanapitwa hadi na watoto HALOTEL na AIRTEL
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.Chuki kivip sasa wakat umekiri mwenyew kuwa walikuwa hovyo?
TTCL kweli wapo hovyo hasa huku mbeya ukitoka mjin ukifika kabwe tu internet speed ya kobe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.nyumbani kumevurugika