TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Fanyeni mpango muweke vifurushi vya maaana.
Sio vile vya kuwekeana limit
 
Kwanza boresheni dakika ZA mitandao yote maana 90% ya ninaowasiliana nao hawatumii ttcl, pia rudisheni bando ya 12gb Kya Tag 10,000. Mtu bajeti ya simu inalingana na kodi ya nyumba Kwa mwezi tunaumizana sana
 
Sometime muwe mnatuheshimu wateja wenu,huduma zenu mbovu,badala ya kufanya maboresho mnatuletea nandy ili asaidie nini kimawasiliano!?
 
TTCL mm ni wakala line nyingi za wateja ukiweka pesa majina hazileti shida nn maana tunaogopa kuwawekea pesa nyingi tunaishia kuwawekea 1000 za vocha ,,,,, pia commission yenu mmeweka ni siri maana hata cjui kila mteja akija nalipwa shingapi either akitoa au akiweka hiyo imepelekea kutofanya kwa bidii maana cjui nn nitalipwa at the end of the day
 
TTCL habari zenu Bwana!

Ninapoishi panahesabika kama mjini (ni pembezoni kabisa mwa jiji).

Nilipata mgeni, alipohitaji vocha ilifaa nimtume kijana kwa pikipiki nauli ya 2000 kununua vocha ya buku. Hawa mitandao mingine (isipokuwa Zantel) vocha nanunulia hatua nne kutoka nilikopanga.

Tukashauriana na mgeni kwa kuwa atakaa muda kidogo ni vyema aweke fedha katika T-Pesa (nadhani inaitwa hivyo) ili awe anajinunulia vocha pole pole, hii tulizunguka kabisaaa jijini tukabahatisha vendor mmoja.

Vocha tukapata, sasa mgeni kuingia mitandaoni kama hivi ikawa ni kisanga kipya. Je leo ataona hili "Jambo Lenu" vipi kama mtandao ni shida?

Nashauri embu jichangamsheni asee, vijana hawana ajira wapeni deals za kusambaza mavocha, lines, wapeni laini za uwakala kwa bei nzuri hivi.

Sent from my SM-A7000 using JamiiForums mobile app

198142527_1895744127270259_5769076235889637366_n.jpg
 
Niko Dodoma Mjini tu network bar zinayumba yumba utafikiri mlevi Mara bar 4, 3,2,0 unapigiwa simu na mtu aliepo hapohapo halafu unakuwa haipatikani kabisa, mtandao gani? Kwanini mashirika ya serikali ndiyo haya perform?
 
TTCL nyie ni machizi fresh net kama kinyonga vile ukiuliza salio la kifurushi unajibiwa baada ya masaa mawili, kifurushi kikiisha hammtarifu mteja wenu nyie ni chenga kama za ulezi vile
Hahahaha pole mkuu kumbe sio kwangu tu......unapiga menyu ya kuangalia salio ila no feedback.........
 
Jaman mtandao wakwanza ni ttcl lakini leo mko nyuma kama mmeanza juzi vifurushi vinalizisha embu weken internet iwe na nguvu bac iko chini ata mijin
 
Jaman mtandao wakwanza ni ttcl lakini leo mko nyuma kama mmeanza juzi vifurushi vinalizisha embu weken internet iwe na nguvu bac iko chini ata mijin
 
Back
Top Bottom