Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Inbox/PM kwao hupajui?Ninataka kuwapa idea kubwa ya biashara ambayo Vodacom na Tigo hawana. Nifanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inbox/PM kwao hupajui?Ninataka kuwapa idea kubwa ya biashara ambayo Vodacom na Tigo hawana. Nifanyeje?
UjanjaujanjaNimekuja mbio nikijua jambo la maana
Mrisho Mpoto a.k.a MjombaHivi kuna msanii ambaye hajawahi kuweka breach?
Hawajambooo.Wateja wenu 350K hawajambo.?
JIWE alilazimisha watumishi wa serikali wawe na laini zenu, sasa mnakuja kufuata watu binafsi wa nini, si tayari mna upendeleo?Jambo letu limetimia
#RudiNyumbaniKumenoga
#Watakaatu
View attachment 1811858
View attachment 1811859
View attachment 1811860
View attachment 1811862
vya maana mnavitumia vibaya, wacha wabane tu.Fanyeni mpango muweke vifurushi vya maaana.
Sio vile vya kuwekeana limit
TTCL habari zenu Bwana!
Ninapoishi panahesabika kama mjini (ni pembezoni kabisa mwa jiji).
Nilipata mgeni, alipohitaji vocha ilifaa nimtume kijana kwa pikipiki nauli ya 2000 kununua vocha ya buku. Hawa mitandao mingine (isipokuwa Zantel) vocha nanunulia hatua nne kutoka nilikopanga.
Tukashauriana na mgeni kwa kuwa atakaa muda kidogo ni vyema aweke fedha katika T-Pesa (nadhani inaitwa hivyo) ili awe anajinunulia vocha pole pole, hii tulizunguka kabisaaa jijini tukabahatisha vendor mmoja.
Vocha tukapata, sasa mgeni kuingia mitandaoni kama hivi ikawa ni kisanga kipya. Je leo ataona hili "Jambo Lenu" vipi kama mtandao ni shida?
Nashauri embu jichangamsheni asee, vijana hawana ajira wapeni deals za kusambaza mavocha, lines, wapeni laini za uwakala kwa bei nzuri hivi.
Sent from my SM-A7000 using JamiiForums mobile app
Hahahaha pole mkuu kumbe sio kwangu tu......unapiga menyu ya kuangalia salio ila no feedback.........TTCL nyie ni machizi fresh net kama kinyonga vile ukiuliza salio la kifurushi unajibiwa baada ya masaa mawili, kifurushi kikiisha hammtarifu mteja wenu nyie ni chenga kama za ulezi vile
Kashindwa na kaziJomonii. Balozi Shishi wameachana nae? Mpaka wamchukue Nandi nahisi harufu ya Ubaguzi