Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Uliwahi niambia kitu kuhusu zuku. Hakika hujakosea.Mi niliweka Adsl ya 25,000 mkuu, Fiber ninayo ya Zuku.
Mimi nina namba ya jamaa anaefanya survey mitaa ya kwetu unawasiliana nae anatafuta mda anakuja.
Wa survey nao uwahonge hela vinginevyo watakwambia point iko mbaliFiber mimi wamenitisha mkuu, sikwenda Tena, Jamaa alisema Kwa Mjini installation inaweza cost laki kadhaa. Kwangu haikuwa na Value.
Ila aliniambia kuna baadhi ya Maeneo kama kijitonyama wanafanya kama Zuku Free installation.
Kuhusu survey mkuu chukua namba, ukiwa na namba ya jamaa wa survey ni faster tu.
Mkuu upo maeneo gani wewe?Me natumia Home Fiber Cable toka 2019 haijawahi kupanda wala kushuka ni 69k kwa mwezi,
Iliwahi kusumbua mara moja tu toka waifunge hapa na haijawahi kusumbua tena kwa miaka hiyo karibu mitatu sasa
Na inatumika karibu masaa12 kila siku na zaidi ya watu kumi wote wanakuwa connect, kifupi kwa hapa Tanzania sidhani kama kuna mtandao ambao naweza kuulinganisha na hawa jamaa
Utapeli huu, kwa 50,000 unlimited kwa mwezi ni impossibleEbu tupe mchanganuo vizuri hiyo laini ya voda inauzwa shingapi kwasbabu yapo mabando ya 50,000 ambayo ni limited
Isijekuwa hiyo laini inauzwa 200k
Maeneo gani Mkuu???Mi niliweka Adsl ya 25,000 mkuu, Fiber ninayo ya Zuku.
Mimi nina namba ya jamaa anaefanya survey mitaa ya kwetu unawasiliana nae anatafuta mda anakuja.
Mimi natumia supakasi ya 50k,inasaidia kiasi chake kibongo bongoWakuu habari zenu.
Natumai mu wazima.
Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.
TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538
Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.
Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.
Nikaamua kucheki Voda Supa kasi
View attachment 2097542
Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.
Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.
Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.
Naombeni msaada sana.
Shukurani in advance.
Nenda vodashop yoyote mkuu,hiyo unlimit ipoUtapeli huu, kwa 50,000 unlimited kwa mwezi ni impossible
Kwamba unaweza pasua hadi terabyte 10 per month kwa bei hiyo?Nenda vodashop yoyote mkuu,hiyo unlimit ipo
Kariakoo na TangaMaeneo gani Mkuu???
Acheni kutamanisha watuUliwahi niambia kitu kuhusu zuku. Hakika hujakosea.
Tunalipia up to 40mbps kwa 129k , hii kitu ina speed ya kufa mmasai.
Kudownload vigb kama kunusa tu. View attachment 2196669
Mimi kwenye Fiber hio ping tu ndio naipenda, unaangalia Mpira sometime unasahau kabisa kama unatumia Internet, nikiwa na zuku ni Full HD.Uliwahi niambia kitu kuhusu zuku. Hakika hujakosea.
Tunalipia up to 40mbps kwa 129k , hii kitu ina speed ya kufa mmasai.
Kudownload vigb kama kunusa tu. View attachment 2196669
Siku 30,vifurushi vya hiyo supa kasi vinaanzia elfu 50,elfu 80 na laki 20,mimi natumia cha elfu 50 kwa matumizi yangu speed yake inanitosha,but kuna laini za supa kasi ukienda voda shop watakuelekeza zaidiKwamba unaweza pasua hadi terabyte 10 per month kwa bei hiyo?
Nenda vodashop yoyote mkuu,hiyo unlimit ipo
Kwenye kaofisi ketu tuna call center ya cisco pc zipo nane.Mimi kwenye Fiber hio ping tu ndio naipenda, unaangalia Mpira sometime unasahau kabisa kama unatumia Internet, nikiwa na zuku ni Full HD.
Ndio udhaifu wa fiber. Sisi tupo mikocheni ,tangu zangu wazindue huku nadhani hata miezi 6 haijafika. Ila kuna hawa Connect wanajinasibu sana nao. Na wanadai wamefika tanzania nzimaAcheni kutamanisha watu
Hao majamaa wanafeli sana kukaa city afu huku uswazi hawatokei ni kama wanatutenga utadhani sisi sio watanzania
Hawa Konnect tangu waniambie kuwa kit yao ni $699 na bado kuna installation fee (nadhani), nikabidi nitulie tu nisubiri; labda ipo siku Zuku itachipukia mtaani mwangu au TTCL.Ndio udhaifu wa fiber. Sisi tupo mikocheni ,tangu zangu wazindue huku nadhani hata miezi 6 haijafika. Ila kuna hawa Connect wanajinasibu sana nao. Na wanadai wamefika tanzania nzima
Satellite Internet Packages| Konnect Africa
Discover Konnect satellite internet packages for your home or business. Explore our fast, easy to install and affordable offers.africa.konnect.com
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Upo Wapi BossKwenye kaofisi ketu tuna call center ya cisco pc zipo nane.
Aisee kwa sasa call zipo clear sanaa, hakuna sauti kuchelewa. Aisee bora ningekusikiliza tangu zamani mana ndio tumeanza kutumia mwezi huu
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mbona hawapo bongo hawa, Mnatuchanganya..!Hawa Konnect tangu waniambie kuwa kit yao ni $699 na bado kuna installation fee (nadhani), nikabidi nitulie tu nisubiri; labda ipo siku Zuku itachipukia mtaani mwangu au TTCL.