Mkuu naomba Namba ya mtu survey wa Ttcl nishajaza form Yao ila najua itachukua muda...Nimpe hela ya maji..Nipo MwengeSidhani kama ni kweli, issue ni kwamba walikuwa hawana Router, ongea na fundi ama kanunue mwenyewe router, kifurushi kipo vile vile.
hii ya 50 ni unlimited ?4mbps ni 25000
8mbps ni 50,000
12mbps ni 80,000
ma zote hizo upload speed ni 1mbps
kwa muono wangu jinsi unavyopanda speed kubwa ndio jinsi havina value.
Vyote unlimited hata cha 25, unapimiwa tu speed ila kudownload unadownload kadri ya uwezo wako.hii ya 50 ni unlimited ?
cha 50 na 80 speed imetofautiana sana ? namaanisha km umetumia umeona utoafauti najua ni mbps8 kwa kwa 12Vyote unlimited hata cha 25, unapimiwa tu speed ila kudownload unadownload kadri ya uwezo wako.
Cha 50 kina value zaidi, na inategemea na matumizi, kama ni media vitu kama movie, kuangalia mpira, youtube etc. Hutoona utofauti baina ya 12 na 8 sababu 8 tayari inastream Full HD. Kwa Full HD unahitaji 5mbps tu kwenye popular site kama Youtube, Netflix na wengineo hivyo 8 inatosha.cha 50 na 80 speed imetofautiana sana ? namaanisha km umetumia umeona utoafauti najua ni mbps8 kwa kwa 12
shukran sana nimekusoma vizuriCha 50 kina value zaidi, na inategemea na matumizi, kama ni media vitu kama movie, kuangalia mpira, youtube etc. Hutoona utofauti baina ya 12 na 8 sababu 8 tayari inastream Full HD. Kwa Full HD unahitaji 5mbps tu kwenye popular site kama Youtube, Netflix na wengineo hivyo 8 inatosha.
Kuanzia 25mbps ndio unastream 4k.
Pia ukigawanya hapo,
50,000 gawanya 8 ni 6250
80,000 gawanya 12 ni 6666
Hivyo cha 50,000 ni rahisi zaidi kwa Mbps unazopata tofauti na 80,000
Kuna wengine wanaitwa connect 16 wao wanakuja kwako ndani ya muda mfupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka gharama na mawasilianoKuna wengine wanaitwa connect 16 wao wanakuja kwako ndani ya muda mfupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Connect 16Weka gharama na mawasiliano
Tumia online speedtest tutumie screenshot tukicheck actual speed yake..................tukifanya comparison na bei inaweza kuwa best option kwenda nayoConnect 16
0763 476 565
Gharama zao unalipia kifurushi 70000 wanafunga device zao wenyewe
Sisi tumefunga cha 150,000 speed si mbaya.
Wanatumia sat
nipe mchongo naipataje hii na installation cost ni sh ngapiVoda ipo mzee sisi tunatumia ofisini huu unaenda MWAKA 2
kuna kipindi huduma ilisuasua
ila kuanzia mwaka jana katikati mwanzo mwisho inakimbiza hata router walitupa kubwa ya HUAWEI awali tulikuwa tunatumia Mi-fi za ALCATEL
KWA makadilio ya matumizi kwa miezi 3 tangu novemba mpk leo milivoangalia tushatumia zaidibya terabyte 2 za data(2tb)
ambazo tumelipia kama laki 3 na 45 kwa maana ya laki na 15 kwa mwezi
hvyo tunaweza sema tumenunua gb 700 kwa laki tu na 15 kila mwezi
na mm ndio natumia sana 7bu ndio pekee nadownload mafile makubwa makubwa kwa siku 1 naweza downloda hata gb 20 ni movie tu au APPS
hyo ndugu namshauri achukue VODA
ttcl ni kichomi hutakuja kujuta baadae
VODA unlimited ni REALY sio blahblaha
ila tu vigezo mashart kuzingatiwa hapo ndio kipengele
dedicated bei yke acha tuUkiona wameandika up to.... Maana yake ni shared internet which means inapanda na kushuka why ustumie dedicated?? Ambayo ipo stable hata kwa 2 mps utaenjoy saana
Laki 20Siku 30,vifurushi vya hiyo supa kasi vinaanzia elfu 50,elfu 80 na laki 20,mimi natumia cha elfu 50 kwa matumizi yangu speed yake inanitosha,but kuna laini za supa kasi ukienda voda shop watakuelekeza zaidi
Nimeunganisha internet ya TTCL ya Adsl na niliwaambia wanipe package ya 25k ya mb 4 nikamuuliza muunganishaji kwa uhalisia hizo mb 4 zinafika? Akajibu ni 2 au 3. Ila tangu waniungie nadownload kwa idm haijawahi kuvuka kb500. Nimewasiliana nao ila majibu yao eti speed itajiongeza yenyewe. Naogopa kulipia 50k isije ikawa speed ni ileile. Au kama kuna mtaalam wa mambo hayo anipe mwongozo.Cha 50 kina value zaidi, na inategemea na matumizi, kama ni media vitu kama movie, kuangalia mpira, youtube etc. Hutoona utofauti baina ya 12 na 8 sababu 8 tayari inastream Full HD. Kwa Full HD unahitaji 5mbps tu kwenye popular site kama Youtube, Netflix na wengineo hivyo 8 inatosha.
Kuanzia 25mbps ndio unastream 4k.
Pia ukigawanya hapo,
50,000 gawanya 8 ni 6250
80,000 gawanya 12 ni 6666
Hivyo cha 50,000 ni rahisi zaidi kwa Mbps unazopata tofauti na 80,000
Duh! Nuksi sanaNimeunganisha internet ya TTCL ya Adsl na niliwaambia wanipe package ya 25k ya mb 4 nikamuuliza muunganishaji kwa uhalisia hizo mb 4 zinafika? Akajibu ni 2 au 3. Ila tangu waniungie nadownload kwa idm haijawahi kuvuka kb500. Nimewasiliana nao ila majibu yao eti speed itajiongeza yenyewe. Naogopa kulipia 50k isije ikawa speed ni ileile. Au kama kuna mtaalam wa mambo hayo anipe mwongozo.
Uko wapi?Nimeunganisha internet ya TTCL ya Adsl na niliwaambia wanipe package ya 25k ya mb 4 nikamuuliza muunganishaji kwa uhalisia hizo mb 4 zinafika? Akajibu ni 2 au 3. Ila tangu waniungie nadownload kwa idm haijawahi kuvuka kb500. Nimewasiliana nao ila majibu yao eti speed itajiongeza yenyewe. Naogopa kulipia 50k isije ikawa speed ni ileile. Au kama kuna mtaalam wa mambo hayo anipe mwongozo.
Installation gharama kiasi gani Mkuu?Connect 16
0763 476 565
Gharama zao unalipia kifurushi 70000 wanafunga device zao wenyewe
Sisi tumefunga cha 150,000 speed si mbaya.
Wanatumia sat
Idm ni 500 kilobytes na hio wanayosema 4mbps ni 4 megabits.Nimeunganisha internet ya TTCL ya Adsl na niliwaambia wanipe package ya 25k ya mb 4 nikamuuliza muunganishaji kwa uhalisia hizo mb 4 zinafika? Akajibu ni 2 au 3. Ila tangu waniungie nadownload kwa idm haijawahi kuvuka kb500. Nimewasiliana nao ila majibu yao eti speed itajiongeza yenyewe. Naogopa kulipia 50k isije ikawa speed ni ileile. Au kama kuna mtaalam wa mambo hayo anipe mwongozo.