TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

TTCL iko vizuri mkuu, hiyo internet unayotumia kupost hapa iwe ni unatumia Vodacom, tigo, smart, Zantel au airtel jua tiari ushawalipa TTCL, unapoona wanatoa gawio usidhani ni hadithi.
Statistics speak.
Mbona haina wateja. Hiyo internet ingetolewa kwenye open market sidhani Kama wangepata hiyo Monopoly.
Jifunze kusoma takwimu mpwa
 
Statistics speak.
Mbona haina wateja. Hiyo internet ingetolewa kwenye open market sidhani Kama wangepata hiyo Monopoly.
Jifunze kusoma takwimu mpwa
Habari yako mkuu.
Vipi ulifanikisha kutoa zile PIN?
 
Habari yako mkuu.
Vipi ulifanikisha kutoa zile PIN?
Ndio Kaka. Kuna dogo amerudi toka chuo hapa jirani. Kwa sasa ndio mtaalamu wetu wa IT. siyo DSTV au TV yenyewe, simu na kompyuta mpakato yangu. Dogo Yuko vzr. Cha ajabu huko chuo anasomea mambo torfauti kabisa.
 
TTCL bora wabaki tu kama mamlaka itakayofanya kazi na makampuni ya simu lakini siyo kuwa kampuni ya simu maana hata hawaonekani huku mtaani yani unawatafuta kama unatafuta hela kumbe unatafuta vocha kwa hela yako.
Bado aise hawajafika viwango vya VodacommTigo,Halotel na wengine.
 
Politica motivated,apo nmekuelewa mkuu
 
Ndio Kaka. Kuna dogo amerudi toka chuo hapa jirani. Kwa sasa ndio mtaalamu wetu wa IT. siyo DSTV au TV yenyewe, simu na kompyuta mpakato yangu. Dogo Yuko vzr. Cha ajabu huko chuo anasomea mambo torfauti kabisa.
Msalimie sana.
 
Asante sana kwa ushauri wako.
 
TTCL imeanzishwa 1993, acha kupotosha.
 
Now wanarekebisha mitambo.
Ila kuanzia 2021 watakuwa juu tena juu mawinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…