Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

Baada ya kuhangaika na kampuni nyingi za mobile kwa internet ya kaofisi kwa muda mrefu, nilifanya majaribio ya hicho cha 10mbps > 55,000 hakika nilifikiri spidi ingekuwa ile ya konokono ila ipo poa kabisa na haipungui jinsi unavyotumia, hii ni ya kweli na nzuri kwa mtu aliye sehemu walipopitisha miundombinu yao ya fiber kama hawafanyi promotion kwa muda ili waje wa adilishe, nawasubiri kwa hamu wasambaze mitaani niweke na nyumbani
 
Yani upewe unlimited kwa elfu 20 kweli Mkuu ? Huo Ni unyonyaji
 
Hakuna huduma hiyo kwa vodacom. Zamani ilikuwepo Airtel na halotel na ilikuwa lazima uamke usiku wa manane mwisho saa kumi na mbili asubuhi , kwa sasa hakuna unlimited bundle kwa Tanzania
Hii huduma ipo, sio TTCL tu, hata kwa Vodacom
Ila inahitaji uwe Katikati ya jiji,
 
Na zaidi Boss,
Ila inahitaji uwe Kati kati ya jiji
Mimi naishi katikati ya jiji pia. Ila unlimited internet bundle kwa Tanzania bado. Iliwahi kuwepo kama miaka 10 huko nyuma nyakati za usiku tu.

Unlimited maana yake naweza kudownload na kuupload file la ukubwa wowote muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…