Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

unless kama unatumia matumizi makubwa kama ya ofisi au la, ila kwa matumizi ya kawaida kama majumbani au sarijala 10mbps zinatosha kabisa
 
Kwasababu hujatumia smile na other isp providers.
Smile wana line za kawaida naweza kutumia kwenye simu?

Airtel, tigo, halotel zote nimetumia na hakuna wa kumzidi vodacom
 
Tena mimi nachezea kwenye hiyo 10mbps, completely unlimited, unatazama series mpaka unachoka, na nimegawa mpaka kwa mlinzi getini.
Boss huku Mara mpakani inaweza fika?
 
Hata hawajuwi wanaongea nini

250k halafu mb 10 Eti hii ni unlimited
Mkuu kuna kitu hujaelewa, hyo 10MB wanayosemea ni speed, means utadownload kwa speed isiyozidi 10MB au wanafupishaga na kuandika 10MBPS=10MB/Sec byt ni unlimited mbona makampuni mengi sana wana hyo huduma hapa kwetu mfano kuna simb net ,ateb ,zuku pia wana hyo huduma. Wanakuja wanakufungua fiber na router unaejoy unlimited service
 
Hapo sasa ndo pesa yako inaongea jinsi unavyotaka, km device yako inafika mpk 30mbps basi lipia hyo ya 200k ambayo inaenda mpaka 50mbps
 
Huu wimbo umeimbwa sana, na hakuna hata kilicho tekelezeka

Kwa dunia ya Sasa , kuna vijana tumejiari kwenye mtandao , Ila ukifikiria gharama za Bando , unafikiria u-quit , ufanye makazi mengine
hata kwenye Gas tuliambiwa hv hv
 
VODACOM BUSINESS AND HOME USE

Package

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

Please nichek 0744355811
Nikueleweshe vizur
View attachment 2286972View attachment 2286973
 
Tupo kwenye fibres wak wanatuletea habari za DSL , usikute hata wanatumia Dial up?
 
Izo polojo km wameshindwa kusambaza vocha iyo intrnet ndo watawaza kwel galama za kutengeneza miundombinu ya usambazaji wa vocha ni nafuu kulko galama za kusambaza miundombinu ya internet
 
Izo polojo km wameshindwa kusambaza vocha iyo intrnet ndo watawaza kwel galama za kutengeneza miundombinu ya usambazaji wa vocha ni nafuu kulko galama za kusambaza miundombinu ya internet
Eeeh bhana mbona unaongea kwa jazba, hivi unajua TTCL washaanza kusambaza Fiber
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…