Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Mtu anatoka kwenye ofisi yenye AC ,anaingia kwenye gari yenye AC anaelekea nyumbani kwake jioni hapo ,akifika anapumzika kwenye AC ..Hii ni ratiba ya siku 5 kwa wiki ,sio maisha kabisa hayo ni hatari sana.
 
Mtu anatoka kwenye ofisi yenye AC ,anaingia kwenye gari yenye AC anaelekea nyumbani kwake jioni hapo ,akifika anapumzika kwenye AC ..Hii ni ratiba ya siku 5 kwa wiki ,sio maisha kabisa hayo ni hatari sana.
Kwa Tanzania ukiwa na kitambi, umenenepa nenepa ni sifa.

Hata madaktari wewe hapa ni kama huyu aliyeandika hapa, badala ya kutibu ugonjwa anafanya hitimisho "aging process". Kwa mfano kile kifo cha Membe, nilipomsikia daktari anaongea nikajua huyu docta Hapana. Alimpima tu mapigo ya moyo akamwambia apumzika halafu arudi nyumbani. Mtu kaja anasema kabanwa kifua anashindwa kupumua na anasikia maumivu daktari anapima mapigo ya moyo na PB anamwambia upo sawa. Obvious ilikuwa moyo mishipa imeziba kiasi Fulani, daktari hakufikiria hilo, hata kufanya blood test tu!!
 
Alifa hoehahe ni Mpango wa Mungu, akifa Kiongozi ni Mkono wa Mtu!
 
Medical system ya Tanzania now days pia imeharibika

Inatoa sana CHATGPT Doctors . Unaenda Hosp unampa symptoms then anazi pin kwenye CHATGPT…. anakupa dawa

Kama hujiongeze unauliwa before your time
 
ko kumbe hapo mlo mbaya ndo unaathiri afya ya mwili ee.
Daah mazoezi ni mhimu sana
 
ko kumbe hapo mlo mbaya ndo unaathiri afya ya mwili ee.
Daah mazoezi ni mhimu sana
Hebu fikiria kijana tangu anazaliwa na mpaka anakuwa anatembea kwa miguu siku zote
Anakula mboga za majani, Ugali
Yaani mwili umezoea hali hiyo.
Ghafla anabadili system na kuanza kula hovyo
Ananenepa ila yeye anaona ni ufahari na kujilinganisha na Tajiri anaekula tofauti tangu anazaliwa

Hapo kisukari miaka mitatu tu anakufa
 
daaah kweli ila, hapa nimejifunza kitu
 
Benard membe na faustine ndugulile nao waliumwa nini
Vifo vyao vilikuwa ghafla
 
Huyu Kingai kwa sasa ndio DCI, inashangaza sana.

Tarehe 12/3/2021 Majaliwa alisema Magufuli ni mzima na anachapa kazi wanaosema ni mgonjwa wanalitakia taifa mabaya sababu wako nje ya nchi.

Tarehe 13/3/2021 alikamatwa mtu aliyesema Magufuli ni mgonjwa.

Tarehe 17/3/2021 Samia anatangaza Magufuli alikuwa mgonjwa na alilazwa tangu tarehe 6/3/2021

Watu waamini viongozi au wananchi na nani ni mzushi sasa?

Sasa hadi hapo umeshajua tatizo lilipo .?


View: https://youtu.be/EWL2pNqQzUc?si=rwUC0JkNVhfW-6Od
 
Hiyo style uliyokuja nayo ya kutambulisha magonjwa kwa viongozi inawezekana ni sahihi lakini kwa sasa si sahihi maana watanzania wana nongwa mno..
Wataanza kurushiana vipapai, wakikata moto inaonekana alikuwa mgonjwa..

Lakini hata hvo siyo tanzania tu ina huo utaratibu wa kuficha afya za viongozi hata nchi zingne wanazo..
Kwa hyo tanzania imechagua mlengo wa uficho.
 
Medical system ya Tanzania now days pia imeharibika

Inatoa sana CHATGPT Doctors . Unaenda Hosp unampa symptoms then anazi pin kwenye CHATGPT…. anakupa dawa

Kama hujiongeze unauliwa before your time
UMETOA SIRI YA KAMBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…