Upo serious sana. PoleDuh! Canada imekufanya nchi yako ulimozaliwa uiite "mavumbini" Dunia hii watu wamesoma na wamekuwa maarufu hawajawahi kuzitukana nchi zao bali kuzitumikia. We hiyo elimu ya kukariri haijakusaidia umekuwa mpumbavu zaidi ya ngedere km wacanada wanavyokuita. Ht huo utambulisho hapo chini na ili tujue uko Canada ni egoism isiyo na haja wala faida, kwani unatujua sisi wenzio tuko wapi sahv na tuna elimu zipi. We ni zaidi ya takataka.
Unataka aiteje,aipambe?Huyo mbwa ni mpumbavu kuliko unavyofikiri, mtu anaita nchi yake "mavumbini"?
Hata majina ya magonjwa unaweka code (ufupisho) unaogopa niniNi kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo Mavumbini bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Tena kwa kitaalamu hiyo sio PC peke yake bali ni PCI ndio inaleta maana kirahisiMkuu unaandika kwa lugha ya kitaalam sana kiasi mtu ambaye si tabibu au mtu wa afya anaweza asipelekwe ni maradhi gani umetaja mfano PC kwa mwingi ,pc ni nini watoto wachuo wanajua ni Personal 💻, ALL NI ugonjwa gani?, AF? , DN? Hizi zinapoteza ladha ya bandiko kwa sababu zimebeba content kubwa
UCCM umekuharibu....am sure huna elimu kubwa kivile no wonder Una umasikini jeuri ndani yako.Hiyo takataka unawezaje kuiita mkuu? Nawe ni walewale
Kama unajua kiingereza ni bora ungeandika thread yote kwa kiingereza kuliko ulimbikeni wa kuchovya chovya maneno ya kiingereza kila baada ya maneno kadhaa. Unaondoa hamu yote ya mtu kusoma. Halafu hapa hujiandikii mwenyewe, andika kwa kirefu majina ya magonjwa ili watu unaotaka kuwasiliana nao wakuelewe.Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo Mavumbini bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Wataje kwa majinaKaribia wote.
Kwa demokrasia ya nchi kama Tanzania ambapo kiongozi ni mtawala na sio mtumishi,madaraka ni kama utukufu fulani na hilo ndio ugonjwa wa mwanadamu hasa mtanganyikaNimishawahi kushauri, ukifika 50 maximum, hakika huna maajabu tena kama ulikuwa 30 years kwenye utumishi au siasa. Ondoka mapema baki na heshima yako
Ndugai alikuwa anaumwa yupo above 60 , siasa tena za nini….. Spika analipwa had kufa. Yaani itabidi nifanye research hili eneo kuna uhusiano gani wa madaraka na brain addiction
Sidhan kama kweli Job alikuwa anagombània kwa ajili ya hela
Havina kiswahili chake 😊PC= Pulmonary Carcinoma
CAD ni Cardiovascular Acute Danger
AF ni Atrial Fibrillation
DN ni diabetic Neuropathy
Mbona umeamini kuwa yuko Canada? Huyu ni limbukeni fulani yuko Keko Magurumbasi huko au sehemu nyingine yoyote mbovu. Huoni anachovya kiingereza kila baada ya maneno mawili akidhani ndiyo ataonekana msomi?Duh! Canada imekufanya nchi yako ulimozaliwa uiite "mavumbini" Dunia hii watu wamesoma na wamekuwa maarufu hawajawahi kuzitukana nchi zao bali kuzitumikia. We hiyo elimu ya kukariri haijakusaidia umekuwa mpumbavu zaidi ya ngedere km wacanada wanavyokuita. Ht huo utambulisho hapo chini na ili tujue uko Canada ni egoism isiyo na haja wala faida, kwani unatujua sisi wenzio tuko wapi sahv na tuna elimu zipi. We ni zaidi ya takataka.
Wee ndio nakumbuka kuna uzi wa kula "vutu" humu,ulimcode mwenda kuzimu kuwa yu miongoni mwa wapenzi wakubwa wa hayo mambo na ukasema watoto wa Pale CBE amewaharibu sanaa😂😂😂😂😂
HahahahaNdugai alienda India kutibiwa nini na faili lake alibaki nalo nani? Janabi?
Kuna vigogo 3 Bado ,ukiacha matawi madogo madogo😂😂😂Mkuu kwenye maono bado wangap kufikia okitoba? 😂
😂😂😂😂😂Watu wana mafaili ya wote na magonjwa yao ili wakipiga wanajua wanafumua wapi ili ugonjwa ufumuke mara 4 ya vile ulivyokua mwanzo
Imagine,hapana kwakweli waondoke tu tumechokaMTU kama Wasira nae anapewa kazi😅
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Sawa InjiniaKama unajua kiingereza ni bora ungeandika thread yote kwa kiingereza kuliko ulimbikeni wa kuchovya chovya maneno ya kiingereza kila baada ya maneno kadhaa. Unaondoa hamu yote ya mtu kusoma. Halafu hapa hujiandikii mwenyewe, andika kwa kirefu majina ya magonjwa ili watu unaotaka kuwasiliana nao wakuelewe.