Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Machawa wanaweza kukusababisha ukasahau madhaifu yako kiafya.
Kuna muda ukifika hata siasa unaacha unawakabidhi kijiti kizazi kingine. Siasa sio chanzo cha mapato
Ila baadhi ya familia imeshageuza siasa kama sehemu kubwa la kuingiza kipato katika familia zao.
 
Mkuu umeongea jambo zuri sana, japokuwa umetumia terminology za kitaalamu sana,unge make it simple wengi tukajua kiundani ingekuwa vyema zaidi,,lkn pia sawa kila mtu ana maradhi eidha yanayosababishwa na bacteria,au tabia.lkn haiwezekani wote wakawa na chronic diseases!!
 
Hilo suala lipo wazi maana hata wewe mwenyewe Boya ni mgonjwa japo haujitambui kama ni mgonjwa.

Hoja ni juu ya unabii kwa nini wewe uendelee kuishi ilhali wengine wametabiriwa kufa
 
Hebu turefushie hivyo vifupi tafadhali
 
Hilo suala lipo wazi maana hata wewe mwenyewe Boya ni mgonjwa japo haujitambui kama ni mgonjwa.

Hoja ni juu ya unabii kwa nini wewe uendelee kuishi ilhali wengine wametabiriwa kufa
Wewe mtoto wa ****** tulizana baba yako kishakwenda fujo za nn?
 

Shukrani sana for the info, barikiwa sana.
 
Hivyo vifupi wengine sisi sio madaktari
 
Upo sahihi ! Kwanini Viongozi wengi wana end up sana kwenye NCD? - Non Communicable Disease

1. Wanahela, hivyo source kubwa ya chakula chao ni haya mavitu ya supermarkets , mahotelini na big restaurants ambayo most of them ni toxic, ni toxic kwa sababu we have very weak regulatory systems kuanzia mashambani hadi kwenye importation

Huku nje we Also eat supermarket foods , but mambo yapo so regulated kuanzia Shambani and there is no way utahonga maafisa

2. They are priveleged, unakuta kuanzia asubuhi yupo kwa AC ya V8 full mkebe, na ofisini full AC , Home Full AC , AC ni ammonia gas, sifa kubwa ya Amonia ni kula Calcium za mifupa hivyo wengi wanaingia kwenye Ostéoporose The bones become weak, mbavu nazo zinalika na ndio maana wanakuwa wanasikiamaumivu ya mbavu and over time wanakaribisha infection , Pnemonie and all that . Mwili unakuwa too Much Acidic …… yale makoti yao ya suti yanawatia ujinga but Amonia inapénya kwenye bones

3. Hela za hovyo zinawafanya wanakuwa na multiple relationships - hii inawaweka kwenye risk ya infections na maambukiza, kati ya viongozi 10 , wanne likely wanamaambukizi…Maambukizi hayana shida, shida ni side effect ya hizo dawa
4. Hawana muda wa mazoezi, akienda shamba ni kupiga picha au kuna uchaguzi
They have multiple factors make them’prone to disease than regular people . Viongozi wa Africa wanaishi un healthy life , while most of them wametoka kwenye very poor life( MAISHA ya kifukara) ; Sijui huwa ni nini kinawaingia
 
Haya yote yanatoka wapi!!! Kwani kakusosea nini??

Unapata ujasiri wapi wa kumshabulia binadamu mwenzako kwa maneno yasiyo na staha hata kidogo, sisi hatujui fani yako ni hipi, lakini huyu mwenzako aliyo yasema humu tumejifunza mengi, tusiwavunje moyo wenye lengo zuri la kuelimisha binadamu wenzake.
 
Nimishawahi kushauri, ukifika 50 maximum, hakika huna maajabu tena kama ulikuwa 30 years kwenye utumishi au siasa. Ondoka mapema baki na heshima yako
Ungemwambia Job hivi angeona unamuonea. Angekuuliza kama hujamsikia Wassira mwenye 80+
 
Tatizo fitina kwa viongozi wenyewe kwq wenyewe. Hivi kulikuwa na haja gani ya Dkt Samia kusema enzi fulani watu waliokotwa kwenye viroba?? Je huko siyo kushangilia kifo cha bosi wake? Je huko siyo kuwafanya watanzania waamini kuwa yeye alishiriki kumuua na watanzania wajindae naye siku akifa washangilie??? Tatizo ni viongozi hawana vifua vya kutunza siri
 
Hawa wengine ni kuwapotezea tu,stress zinawasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…