Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

Umasikini ni indicator ya mtu mwenye Laana.
Ushahama tayari kwa hio sio laana tena ila tu ni indicator au kwa lugha nyepesi ni kiashiria cha mtu mwenye laana

Mpaka hapo bado unakubariana na mimi kwamba umasikini sio laana
 
Umasikini ni laana.
Kama huna laana milango ufunguka yaani KILA ufanyalo linakwenda
 
Asante kwa kutoa muda wako ku share nasi kile ulicho nacho kwa manufaa ya wengi watakao soma hapa.

Lakini ndugu mleta mada reference ya mada yako ni maandiko ya biblia ambayo kwa kiasi kikubwa wameandikiwa wayahudi, sisi ambao sio wayahudi au ambao hawatumii biblia au ambao hawaamini katika ibrahimic religion mada hii inawahusu?

Inawahusu wote wanaoamini katika miungu.
Mtu yeyote anayeamini katika laana inahusu MKUU
 
Kwa mfano kuchelewa kupata maarifa na elimu ambapo kumepelekea watu walio katika hali hiyo kuwa nyuma kimaendeleo kifikra na kimtazamo nayo hivi ni laana labda?
 
Kuishi Kwa laana,
Kuondokana na laana
Kuishi bila laana.
Kuikaribisha laana.
 
Kitu ambacho umezungumza ni kitu kizuri lakini usijaribu jaribu kuulazimisha mtazamo wako nakuwa sote tufikiri hivyo.
Umejaribu kuweka maandiko ni sawa!
Lakini wewe kama unaijua falsafa vizuri utaelewa ninachokilenga kwako....

Yaani hatuwezi kufikiri sawa!
Sijui ulitumia kipimo gani kupima umaskini lakini nimeona mahali umejijibu mwenyewe kuwa utaonekana maskini dar lakini mwanza utaonekana tajiri.

Iko hivi, maisha yana USAWA katika namna ambayo SI SAWA,
binadamu wote hatuwezi kuwa level moja ya kimaisha
Haiwezekani!
Watz Wote tuwe na level moja ya kimaisha na Mr.Mo au BAkhresa
utofauti wa level hizo ndio unaleta kitu kinaitwa umaskini na utajiri.

Hizo level mbili ndio huleta balance ya maisha kwa mwanadamu anaeishi.
Tungekuwa wote ni level ya utajiri dunia isinge kalika,
Kusingekuwa na maana ya maisha yenyewe.

binafsi Siuoni umaskini kama ni laana.
 
Kama wewe ni Mkristo kasome hiyo kumbukumbu la Torati 28 alafu uje uchangie.

Umasikini ni laana.
Kasome kwanza,

Hapa tunazungumzia uhalisia Hatuzungumzii mtazamo au maoni ya mtu.

Masikini masikini tuu!
Awe Mwanza awe Arusha awe Ulaya masikini ni masikini tuu.

Yaani unambie Mo Dewji akienda Ulaya anakuwa masikini?

Masikini wanajijua hata Kama hapa watasema hawaelewi maana ya Masikini
 
Sasa mtu anapeleka kila kitu kanisani au msikitini bado useme anamcha MUNGU?

Mungu anakanuni zake, kuzifuata hizo kanuni ndio kumcha Mungu. Yaani kumtii yeye.

Mchungaji akikuambia Lete Sadaka au zaka ya kile alichoagiza Mungu ukafanya ni umemcha Mchungaji wala sio Mungu na utakuwa umefanya kosa.
Mkuu ni sadaka gani zenye kumcha Mungu na si mchungaji ndani ya kanisa...??
 
Kama wewe ni Mkristo kasome hiyo kumbukumbu la Torati 28 alafu uje uchangie.

Umasikini ni laana.
Kasome kwanza,

Hapa tunazungumzia uhalisia Hatuzungumzii mtazamo au maoni ya mtu.

Masikini masikini tuu!
Awe Mwanza awe Arusha awe Ulaya masikini ni masikini tuu.

Yaani unambie Mo Dewji akienda Ulaya anakuwa masikini?

Masikini wanajijua hata Kama hapa watasema hawaelewi maana ya Masikini
Hebu tutoke kwa Mungu, tuzungumze katika uhalisia...
Unajua ukiwa mcheza draft mtu wa nje huwa analiona vizuri kuliko wewe mhusika
 
Asante kwa kutoa muda wako ku share nasi kile ulicho nacho kwa manufaa ya wengi watakao soma hapa.

Lakini ndugu mleta mada reference ya mada yako ni maandiko ya biblia ambayo kwa kiasi kikubwa wameandikiwa wayahudi, sisi ambao sio wayahudi au ambao hawatumii biblia au ambao hawaamini katika ibrahimic religion mada hii inawahusu?
Ndomaana nikamwambia aitoe dhana ya kiMungu twende kwenye uhalisia...
 
Laani ni nini?

Kwa uelewa wako binafsi
Laana ni apizo lililotokana na maagano mabaya yaliyowekwa Ili kuleta madhara kwenye maisha ya Mtu,Jamii,ukoo,kabila,ardhi au nchi.
Laana Ili ifanye Kazi ni lazima iunganishwe na nguvu ya kuasi au negative power.
 
Kama wewe ni Mkristo kasome hiyo kumbukumbu la Torati 28 alafu uje uchangie.

Umasikini ni laana.
Kasome kwanza,

Hapa tunazungumzia uhalisia Hatuzungumzii mtazamo au maoni ya mtu.

Masikini masikini tuu!
Awe Mwanza awe Arusha awe Ulaya masikini ni masikini tuu.

Yaani unambie Mo Dewji akienda Ulaya anakuwa masikini?

Masikini wanajijua hata Kama hapa watasema hawaelewi maana ya Masikini
Mara nyingi watoto wa kishua ndio huwa wanauponda sana umaskini
 
Back
Top Bottom