Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Umasikini ni indicator ya mtu mwenye Laana.Kwa kusema hivyo basi unakubari na mimi kwamba umasikini sio laana bali tu ni maamuzi ya mtu binafsi
Vizuri sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini ni indicator ya mtu mwenye Laana.Kwa kusema hivyo basi unakubari na mimi kwamba umasikini sio laana bali tu ni maamuzi ya mtu binafsi
Vizuri sana..
Ushahama tayari kwa hio sio laana tena ila tu ni indicator au kwa lugha nyepesi ni kiashiria cha mtu mwenye laanaUmasikini ni indicator ya mtu mwenye Laana.
Hio sasa ni philosophia/falsafa sio uhalisiaHakuna laana mbaya kabisa kama umaskini wa FIKRA.
Umasikini ni laana.Ushahama tayari kwa hio sio laana tena ila tu ni indicator au kwa lugha nyepesi ni kiashiria cha mtu mwenye laana
Mpaka hapo bado unakubariana na mimi kwamba umasikini sio laana
Asante kwa kutoa muda wako ku share nasi kile ulicho nacho kwa manufaa ya wengi watakao soma hapa.
Lakini ndugu mleta mada reference ya mada yako ni maandiko ya biblia ambayo kwa kiasi kikubwa wameandikiwa wayahudi, sisi ambao sio wayahudi au ambao hawatumii biblia au ambao hawaamini katika ibrahimic religion mada hii inawahusu?
Laani ni nini?Umasikini ni laana.
Kama huna laana milango ufunguka yaani KILA ufanyalo linakwenda
Kwa mfano kuchelewa kupata maarifa na elimu ambapo kumepelekea watu walio katika hali hiyo kuwa nyuma kimaendeleo kifikra na kimtazamo nayo hivi ni laana labda?Inawahusu wote wanaoamini katika miungu.
Mtu yeyote anayeamini katika laana inahusu MKUU
Kwa mfano kuchelewa kupata maarifa na elimu ambapo kumepelekea watu walio katika hali hiyo kuwa nyuma kimaendeleo kifikra na kimtazamo nayo hivi ni laana labda?
Kitu ambacho umezungumza ni kitu kizuri lakini usijaribu jaribu kuulazimisha mtazamo wako nakuwa sote tufikiri hivyo.
Umejaribu kuweka maandiko ni sawa!
Lakini wewe kama unaijua falsafa vizuri utaelewa ninachokilenga kwako....
Yaani hatuwezi kufikiri sawa!
Sijui ulitumia kipimo gani kupima umaskini lakini nimeona mahali umejijibu mwenyewe kuwa utaonekana maskini dar lakini mwanza utaonekana tajiri.
Iko hivi, maisha yana USAWA katika namna ambayo SI SAWA,
binadamu wote hatuwezi kuwa level moja ya kimaisha
Haiwezekani!
Watz Wote tuwe na level moja ya kimaisha na Mr.Mo au BAkhresa
utofauti wa level hizo ndio unaleta kitu kinaitwa umaskini na utajiri.
Hizo level mbili ndio huleta balance ya maisha kwa mwanadamu anaeishi.
Tungekuwa wote ni level ya utajiri dunia isinge kalika,
Kusingekuwa na maana ya maisha yenyewe.
binafsi Siuoni umaskini kama ni laana.
Mkuu ni sadaka gani zenye kumcha Mungu na si mchungaji ndani ya kanisa...??Sasa mtu anapeleka kila kitu kanisani au msikitini bado useme anamcha MUNGU?
Mungu anakanuni zake, kuzifuata hizo kanuni ndio kumcha Mungu. Yaani kumtii yeye.
Mchungaji akikuambia Lete Sadaka au zaka ya kile alichoagiza Mungu ukafanya ni umemcha Mchungaji wala sio Mungu na utakuwa umefanya kosa.
Hebu tutoke kwa Mungu, tuzungumze katika uhalisia...Kama wewe ni Mkristo kasome hiyo kumbukumbu la Torati 28 alafu uje uchangie.
Umasikini ni laana.
Kasome kwanza,
Hapa tunazungumzia uhalisia Hatuzungumzii mtazamo au maoni ya mtu.
Masikini masikini tuu!
Awe Mwanza awe Arusha awe Ulaya masikini ni masikini tuu.
Yaani unambie Mo Dewji akienda Ulaya anakuwa masikini?
Masikini wanajijua hata Kama hapa watasema hawaelewi maana ya Masikini
Ndomaana nikamwambia aitoe dhana ya kiMungu twende kwenye uhalisia...Asante kwa kutoa muda wako ku share nasi kile ulicho nacho kwa manufaa ya wengi watakao soma hapa.
Lakini ndugu mleta mada reference ya mada yako ni maandiko ya biblia ambayo kwa kiasi kikubwa wameandikiwa wayahudi, sisi ambao sio wayahudi au ambao hawatumii biblia au ambao hawaamini katika ibrahimic religion mada hii inawahusu?
Laana ni apizo lililotokana na maagano mabaya yaliyowekwa Ili kuleta madhara kwenye maisha ya Mtu,Jamii,ukoo,kabila,ardhi au nchi.Laani ni nini?
Kwa uelewa wako binafsi
Jibu hilo swali mkuuMimi ni Taikon Master
Jibu hilo swali mkuu
Mara nyingi watoto wa kishua ndio huwa wanauponda sana umaskiniKama wewe ni Mkristo kasome hiyo kumbukumbu la Torati 28 alafu uje uchangie.
Umasikini ni laana.
Kasome kwanza,
Hapa tunazungumzia uhalisia Hatuzungumzii mtazamo au maoni ya mtu.
Masikini masikini tuu!
Awe Mwanza awe Arusha awe Ulaya masikini ni masikini tuu.
Yaani unambie Mo Dewji akienda Ulaya anakuwa masikini?
Masikini wanajijua hata Kama hapa watasema hawaelewi maana ya Masikini
Sasa nani kakuzuia usiwe mtoto wa kishua?Mara nyingi watoto wa kishua ndio huwa wanauponda sana umaskini