Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Ila Peter Msechu akibadiri nyimbo ya Dini kuweka maneno ya kumsifia magufuli iyo sawa???


Acheni double standard walichofanya chadema wala si kosa kisheria na hata pia kimaadili
Siku ccm nao wakiimba wimbo wa taifa ie ibariki ccm...mtakimbia nyinyi
 
Ni viongozi gani wa CCM au ni kwenye kikao gani cha CCM walibadiri maneno ya wimbo wa Taifa?

Kwahiyo kosa la kubadili bet za huo wimbo ni kwa viongozi tu, ila watu wengine wakifanya hivyo sio kosa! Acha kutetea uhuni wa huyo msajili anayekalia wazi makosa ya msingi. Kumtetea msimamizi mwenye nia ovu, ni unafiki kama unafiki mwingine.
 
Kwa hivyo tuendeleze hiyo hali ya kutothaminiwa?
 
Huyo ni mwana ACT sasa hilo povu lote ni kwa sababu cdm hawana mpango wa kumuunga mkono Membe huku bara.
Zamani tulikuwa hatuvai bendera, siku hizi tunachambia bendera, na maisha yanasonga usikariri dogo, vitu vyote chini ya jua Ni ubatili tu
 
Yote semeni tukana kama mnavyopenda lakini kuwaita binadamu Mbwa hii too much yaani JF ni bora turudi Jambo forum
 
Kwahiyo hilo Katazo dhidi ya cdm ndio mmeanza kuhakikisha unaanza kuthaminiwa? Huyo msajili ni mchekeshaji wa mfalme kama wachekeshaji wengine.
Sawa naheshimu mawazo yako.
 
Naona umekasilika sana baada ya kugundua kuwa cdm haina mpango wa kujiunga na ACT ili kumuunga mkono Membe! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tuungane kuwanyoosha hawa wanasiasa, tukiwashangalia kwa kila kitu watatupanda vichwani.

Namaanisha wanasiasa wote, wa upinzani na CCM
 
Ccm ndiyo hiyooo ishaingia kibra
 
Mi naona kama kuna watu nyuma ya Lisu kumuhujumu tu. Haiwezekani kuwa hayupo wa kujua kitu ambacho si cha uchama halafu kishangiliwe, awe na mtu wa kumsaidia wasimharibie hapa kampeni bado.
Poleni sana hiyo ndiyo dawa yenu naona leo mmevimba kama madumu ya komoni, pasukeni tu na cdm ndiyo inachukua nchi
 
Umelipatia sana hilo gamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…