MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo:
1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo.
2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si kutatua matatizo.
3. Elimu siyo kipimo sahihi cha kupima akili za watu bali utatuzi wa matatizo.
4. Siyo kila mtu anatakiwa asome, wengine wanatakiwa wafanye shunghuli nyingine zisizohitaji elimu.
5. Vijana wetu wanatakiwa kufundishwa stadi za kazi na siyo kukaririshwa mavitu yasiyo na manufaa kwao.
6. Vipaji vya watoto vitambuliwe mapema na mkazo uwe mkubwa kwenye maeneo wanayoyaweza na kuyapenda.
7. Mfumo wa sasa wa elimu ni chongeshi na gombeshi, si kila mtoto anaweza kukariri ni sawa na kulazimisha watoto wapigane ngumi na hicho ndiyo kiwe kipimo chako cha ufaulu.
8. Hakuna mtoto aliye fail ila serikali ndiyo ime fail