Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

Vijana wa Dar mnatabu sana...kisa kununua huto tu baby walker....gari za kuendea sokoni mnaanza kunyanyapalia wenzenu....tena wengine mnaendesha za mashemeji zenu, dada, kaka, baba au mama..Acheni hizo kila kitu na wakati wake..kila mtu apambane na hali yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hahhahahaha u made my day
 
Teh..naona umepata mkopo wa kununua vitz, tayari unawaponda wapanda daladala, watu kibao tunamiliki magari private na bado huwa tunapanda daladala, kadri muda unavyoenda utajifunza tu kwamba hata tajiri anaweza kurudi kula tembele na dona..

Alichokisema ni ukweli, sema jinsi alivyoufikisha ujumbe inaonesha kabisa kashakaribia kutimiza hela ya IST.

Daladala ni shida aisee.
 

Mwenzako anaendesha gari ya shemeji na akijamba anawasha a/c kwny gari.
 
Naunga mkono hoja [emoji817] daladala ni usafiri wa watu wa Hali ya chini kubali kataa

One love
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    36.6 KB · Views: 1
  • images (3).jpeg
    30 KB · Views: 2
Kwa kweli,huwa nashindwa kuelewa ninapomuona mama kwenye mtoto mgongoni,au mzee amesimama ndani ya daladala kisa kuna kijana kwenye nguvu kawahi siti,
Vijana tunakwama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukiondoka kwa shemeji hapo ulipoolewa na dada yako utaelewa namna maisha yanavyo evolve, watu kama nyie ndo huwa mnatoa mapovu jamaa kaninyima buku tano wakati anamiliki gari.
Shida ya binadamu wengi,wanadhaniazingira wanayoishi /yanayowazunguka..wanafikiri wote wanaishi hivyo,


Kukosa exposure ni tatizo kubwa kwa low class ya watanzania wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea kinyonge sana,



Hata kama ni anaemdesha kibito au corolla 100 or limited si ndo hatumii daladala?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…