Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

Ni hizi shida tu, ilà usafiri wa umma hapa jijini ni zaidi ya umasikini tu, iwe daladala za Mbezi-Temeke au mwendokasi wa Kimara-Kivukoni. Kama unakopesheka basi hata vitz inatosha kukupa kiyoyozi, usisubiri kupata hela ya SUV.
Hapa umeongea bonge LA point!!

Ndo maana me mtu akinisema na kababy walker,nabaki tu namwangalia halafu nasema hiiiiiiii(in jiwe's voice)
 
Upo sahihi mkuu
 
Hiyo ni tafsiri yako but ukweli utabaki palepale kuwa hizi daladala tunapanda si kwaajili ya kupenda bali hali ngumu
 
Nimekushusha vyeo ndugu. Yaani unaiweka India kama mfano wa mbele? Serious?? India ni ushuzi tu ndiyo maana hata anayeenda kusoma kule huwa nawashangaa.


Mkuu kwa Technolojia wako njema njema njema sana !acha kabisa
 
Sawa
ngoja tuone
 
Kuna umuhimu wa serikali kukataza kusimamisha watu kwenye daladala, na pia kuanzisha mfumo wa daladala kwa daraja la kati (semi luxury) nauli 2000/- naamini wakirasimisha watu wengi wa magari private watayaingiza barabarani na serikali kupata kodi pia. Mahitaji ni makubwa ya usafiri huo.
 

Kwa heri ndugu.Tuache na usafiri wetu unaotukutanisha na jamaa zetu tuliopotezana tangu enzi ya mkoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…