Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

Unamaanisha wote wenye vyombo vya usafiri ni wastaarabu na wenye maisha mazuri kumbuka wengine wamehongwa na hata mafuta wanaoungaunga hawana pesa hasa wenye vigari vidogo chini ya CC 1800

Niga from Timbuktu
 
One day natoka kariakoo kwenda mbagala , daladala imesimama fresh napanda nipo mlangoni nyuma yangu kuna dada mmoja naye akapanda kabla sijaingia vizuri ,dereva akasogeza gari mbele kidogo yule dada akakosa balance na sehemu pekee ya haraka ya kushika ni mimi niliyekaribu yake akashika shati langu kwa nguvu ..akatoka na vifungo vyote kuachia cha pili kutoka juu had cha cha pili kutoka chini ..shati likabaki na vifungo viwili tu ..cha kwanza na cha mwisho ..bahati nzuri ndan nilikuwa na singlet ndio ilinisaidia njia nzima nimeshikia shati ..dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni kama kuna haja ya kuyasema hayo uliyosema

Unaowasema ni mama, dada, baba, au ndugu zetu wengine

Ungenunua gari lako kimyakimya ungepata hasara gani

?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…