Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

Chato ni mji mdogo uko kilomita 110 (110Km) kutoka Geita mjini.
Je ukipanda ndege kuja JNIA huwa unasema unakuja Wilaya ya Ilala, Ukonga, Kipawa, Gongolamboto, Sinza au unakuja Dar?! Maana mtu anapouliza unakwenda Chato au Geita , haileti mantiki. Viwanja vya ndege vina catchment areas zake. Arusha Kia karibia kilomita 80, Musoma Mwanza 256, Kuala Lumpa mjini mpaka Airport karibia 200 kilomita. Hakuna issue hapo.
 
Ni direct flight? au linapita KIA, MWANZA then CHATO??

Usikute likageuzia KIA, wengine mkahamishiwa kwenye ki-glider 🙂 🙂 kiwafikishe CHATO

Ni NDEGE GANI Isijekua Bombadear
Hata ikiwa bombadia poa ilimradi ufike
 
Hizo ni hadithi tu.

Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.

Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.

Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.

Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.

Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi 🐐 wakawa wanacheza humo.
Sijui Huyu mjinga mleta post Kama atakuelewa,
Hata Geita hapajui wa Chato,hakuna mjinga yeyote anaweza kupanda ndege ya kwenda kijijini Chato alafu ageuze nyuma kwenda Geita,wakati Mwanza ni jirani sana, baada ya mapumziko ya CHATO,watuoe mrejesho,

Mleta post angejua,hata basi za Dsm Bukoba hazipiti CHATO kutokana na ukosefu abiria,badala yake basi zinapitia Biharamulo,
Hakuna utalii wowote CHATO utakao uzidi wa Katavi Mpanda.
 
Watu wakihoji toa na wewe majibu kwa hoja zenye nguvu zaidi,acha kulazimisha uzalendo.
Watu wasihoji?
Siyo tu kukosa sababu, ni aibu kwa mtanzania mzalendo kuombea mabaya Nchi yake! Mtu anatamani ndege ikose abiria, Nchi ikose misaada nk, uzalendo uko wapi hapo?!
 
Ni direct flight? au linapita KIA, MWANZA then CHATO??

Usikute likageuzia KIA, wengine mkahamishiwa kwenye ki-glider 🙂 🙂 kiwafikishe CHATO

Ni NDEGE GANI Isijekua Bombadear

Huenda linaenda Mwanza,halafu ndio iende Chato!

Kwa jinsi nilivyo siku kosa Matindi safari ya kwenda ni moja kwa moja Dar-Chato then wakati wa kurudi inatoka Chato-Mza-Dsm

Pia nami nilitamani sana kujua ni ndege gani wanaipeleka kule na katika mazungumzo walikua wanaongelea ndege aliyokwenda nayo CEO mwenyewe kuitambulisha. Ambayo nadhani ni moja kati ya zile Fokker walizopewa zilikua za viongozi hata sidhan kama itakua Bombardier
 
Siyo tu kukosa sababu, ni aibu kwa mtanzania mzalendo kuombea mabaya Nchi yake! Mtu anatamani ndege ikose abiria, Nchi ikose misaada nk, uzalendo uko wapi hapo?!
Mzalendo ni kama daktari anatakiwa aseme ukweli wa matatizo ya nchi yake.
 
Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi 🐐 wakawa wanacheza humo

Ndio upumbavu wa viongozi wa nchi masikini; they never learn from their predecessor's mistakes!!
 
Sawa, wewe una shilling ngapi hapo mfukoni? Je umekunywa chai? Una majukumu yoyote ya kulipia watoto school fees au ni kula kulala?

Ukijibu maswali haya ndio naweza kuelewa wewe ni category gani then ndio tuendelee na hui ushuzi wako.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom