Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Lini na wapi nilishabikia Lissu kupigwa risasi?Mkuu kuna wakati ulipotea na kupoteza mwelekeo, kubali kukosolewa
Zamani Inilikukubali lakini ukaboa
Ulishabikia lissu kupigwa risasi
Wewe ni muongo na ni mzushi.
Kama siyo muongo na kama siyo mzushi, weka ushahidi hapa wa mimi kushabikia Lissu kupigwa risasi!