Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

Huyo namugari
You took it out of context compadre. Bashe did the right thing.

You took it out of context compadre. Bashe did the right thing
Huyo jamaa anayejiita namugari ni mpumbavu aliyejaa maradhi ya udini na ukabila. Sababu ya kumshambulia waziri Bashe ni uislamu na usomali wa waziri Bashe wala hakuna tatizo la msingi la kumshushia matusi.
 
Hao walioficha sukari ambao wewe na Mpina mnawatetea sio wezi?
 
Sawa Dogo
lakini kuna taarifa amayo haijakanushwa na hiyo taarifa ilikuja kabla ya taarifa ya mpina. inasema Ikulu iliuza vibali vya sukari kwa shb300 kwa kilo
Hilo unalisemeaje wewe chawa wa bashe
 
Hao walioficha sukari ambao wewe na Mpina mnawatetea sio wezi?
Hoja sio kutetea walioficha sukari.
Hoja ni utaratibu aliotumia waziri kutoa vibali kwenye hizo kampuni zisizo na sifa.
Hivi kabla ya kutoa tenda yeyote ya serikali si lazima kitu kinaitwa due diligence ifanywe.
 
A
Ahante sana. Wazalendo kama wewe wamebakia wachache sana.
 
Wee Ni mshe z Sana pmj na Huyu Bashe wako

Siku nilivyo muona Bashe Ni kichaaa na akili zake Ni za kisomali Ni pale alivyotuambia kuwa sukari itapatikan kwa wingi kbl ya mwez mtukufu wa ramadhani nonsense kbsaa mdini mkubwaa
Kama ingekuwa mwezi wa karibu mbeleni ulikuwa ni Disemba ungesemaje?
 
Hao walioficha sukari ambao wewe na Mpina mnawatetea sio wezi?
Sukari tunaambiwa haikuwepo inapaswa kuagizwa sasa tena kumbe tunasukari nyingi na imefichwa?
Kumbe nchi hii haina sugar gap yoyote ila tunatatizo la kuficha sukari.
Wanasiasa Wana mambo Sana walianza sarakasi zao wanakwambia viwanda havikuzalisha kwasababu ya elnino hapohapo wanakwambia watu walificha sukari tena unasikia iliagizwa nnje kwasababu hakukua na uzalishaji.
 
Ndugu kazi za serikali haziendeshwi hivyo ndio maana kuna kuwajibika.
Haiwezekani eti kwa sababu ni waziri aamue tu kujitafutia watu wa kufanya kazi za serikali.
Lazima sheria kanuni na taratibu zifuatwe.
Haiwezekani bwana just kwa sababu wewe ni waziri ujitafutie kikampuni uchwara kifanye kazi flani ya serikali simply because kutatua tatizo.
Kama ni hivyo basi hakuna ulazima wa kutunga hizo sheria kanuni na taratibu kila waziri aachwe tu ajitafutie watu wake wa kufanya kazi zinazotokea katika wizara yake
 
Kama ni mfuatiliaji, utaelewa Mh. MPINA hapingi kuagiza sukari nje. Yeye ana pinga utaratibu na kampuni zilizo pewa vibali. Hivi hata kibanda cha stationary kweli chenye mtaji wa milioni moja kupewa kibali cha bilion mia? Bado tuna support buu ujambazi? Wahindi wana sajili vikampuni vya mfukoni na kupewa vibali? Vibali vina tolewa kwa hongo ya Tsh 300 kwa kila kilo? Nyie hamuoni huruma kwamba hiyo 300 ni wewe una kuja kjilipa? Sasa kuna tofauti gani na hivyo viwanda vinavyo tengeneza uhaba?
Niko na Mpina tuache kutetea ujinga. Ccm ni majambazi.
 
Kwa hiyo kama makampuni ya kuzalisha sukari yalifanya uhuni wa kuficha sukari naye waziri akaamua kufanya uhuni kutoa vibali vya kuingiza sukari kihuni zaidi na kienyeji?
One wrong does not justify another.
Unatakiwa ujue taratibu za manunuzi serikalini zipo iwe emergence procurement au single source Waziri kaboronga kutoa vibali kwa kampuni zisizokuwa na sifa kwa maslai yake binafsi
 
Ni ushauri tu, kataa uchawa. Kataa ktumika na Bashe.

Wakati wa dharula mambo hayaendi hivyo.
 
Ataeshindwa kucmama na bashe cyo mtanzania halisi ajuae shda halisa zakitanzania leo tar23/jun Mtwara sukari ya kirombero kg 25 wanauza 70500 na kg 20 wanauza 59500 wakat bei ya rejareja irshafkia 2600
 
Sawa Dogo
lakini kuna taarifa amayo haijakanushwa na hiyo taarifa ilikuja kabla ya taarifa ya mpina. inasema Ikulu iliuza vibali vya sukari kwa shb300 kwa kilo
Hilo unalisemeaje wewe chawa wa bashe
Huo ni ubuyu kama ubuyu mwingine tu, na ukifuatilia vizuri aliyetoa ubuyu huo hakusema hivyo ulivyoandika, aliongea kwa mafumbo mafumbo kwa namna ambayo hawezi kuitwa kuhojiwa chini ya kiapo athibitishe.

Again, sijui huu ugonjwa wa chawa mmeutoa wapi. Lakini sio kila mwenye mawazo tofauti ni chawa.
 
Watanzania wengi ni bendera fuata upepo
 
Sisi wananchi tulitaka
sukari ipatikane tena kwa bei nafuu na ndiyo ikawa,nani kaagiza Ina umuhimu gani ilhali kaondoa ukiritimba wa Bosi wa mabosi S.A.S wa Kagera Sugar na mumiani wanyonya damu wenzake.
Kwa hali ilivyokuwa mbaya mlitaka aitishe tenda ya miezi mitatu kisha tenda zifunguliwe mwezi mmoja baadaye halafu uteuzi mwezi mmoja tena sukari ingefika lini
Mnachezeshwa na Mpina na genge lake waliomzawadia ranch complete na mifugo Kagera ngoma msioijua.
All of us are not that stupid
 
Kamati ya bunge bado haijatoa maamuzi kuhusu hivyo Mpina anaviita "vielelezo", na ndio maana ameshitakiwa kwenye kamati ya maadili.

Alichokifanya ni kuwahi kuongea na media ili ku control narrative ya jambo zima, yaani kama ikitokea kuna ushahidi unaopingana na vielelezo vyake basi iwe too late, story tayari iko nje na watu wanamwamini yeye.

It is malicious and unprofessional, na anastahili kupigwa rungu zito maana ni mpotoshaji.
 
Asante sana ndugu. Kuna watoto wa dadake mpina ndio wagumu wa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…