Achana na wazo la shule za kata. Tunachotaka ni affordable sukari na ipo. Hayo ya Mpina mtajuana wenyewe.Yaan haya ni madhara ya shule za kata. Mwashambwa et al.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na wazo la shule za kata. Tunachotaka ni affordable sukari na ipo. Hayo ya Mpina mtajuana wenyewe.Yaan haya ni madhara ya shule za kata. Mwashambwa et al.
You took it out of context compadre. Bashe did the right thing.
Huyo jamaa anayejiita namugari ni mpumbavu aliyejaa maradhi ya udini na ukabila. Sababu ya kumshambulia waziri Bashe ni uislamu na usomali wa waziri Bashe wala hakuna tatizo la msingi la kumshushia matusi.You took it out of context compadre. Bashe did the right thing
Hao walioficha sukari ambao wewe na Mpina mnawatetea sio wezi?Acha kutetea wizi, na matumizi mabaya ya ofisi aliyofanya bashe na viongozi wenzake.
Kampuni ya Richmond si ilideliver vizuri kutatua tatizo la umeme?
Baadae ikaonekana ni kampuni ambayo haikuwa na sifa wala vigezo vya kufanya kazi waliyopewa pamoja na ukiukwaji mkubwa wa taratibu uliofanywa hadi wakapewa tenda. Ila kazi walifanya vizuri na walikuwa wanaendelea kuzalisha umeme vizuri kukabiliana na tatizo la umeme lililokuwepo kutokana na athari za ukame.
Si uliona spika sita alivyoshughulikia ile ishu yeye hakulipeleka lile suala kamati ya maadili ya bunge ichunguze na itoe ripoti bungeni na ukweli ukawekwa wazi.
Sasa huyu spika ameshangaza ameamua kumshtaki mtoa taarif kwenye kamati ya maadili kwa kuanika huo uovu hadharani.
Nasubiri kusikia taarifa ya hiyo Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge itavyodili na hilo suala ni vyema hiyo kamati ili ijijengee heshima ifanyie uchunguzi wa ukweli bila upendeleo taarifa ya mpina na itoe taarifa ya haki na kweli.
Sawa DogoKwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.
Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..
Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.
Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.
Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari?? Thubutu!
Hoja sio kutetea walioficha sukari.Hao walioficha sukari ambao wewe na Mpina mnawatetea sio wezi?
Ahante sana. Wazalendo kama wewe wamebakia wachache sana.Watanzania sijui huwa hawajielewi. Wamiliki wa viwanda huwa wanatengeneza mfumo wa kuadimika kwa sukari na kupandisha sana bei za sukari. Kama mimi ndo mzalishaji na ndo mwenye liseni ya kuagiza sukari kwa nn nisitengeneze mpango wa sukari kuadimika nipige hela?
Kama wafanyabiashara wamepewa vibali vya kuagiza sukari nje, na sukari ikaagizwa, ikaja kwa viwango vizuri vya kuweza kutumika na binadamu, na bei ya sukari ikawa chini, mwananchi wa kule kijijini akanunua sukari kwa bei ya chini na akapata ahueni ya maisha, sioni tatizo!!
Kama hiyo sukari iliyochukuliwa imefanya bei ya sukari kuwa juu zaidi hapo ndo penye shida.
Ila kama kelele zote ni kulindiana sijui maslahi viwanda vya ndani itakuwaje huu ni upumbavu!! Watengeneze mazingira ambayo yatakuwa competitive kwao kushindana na viwanda vya nje hata sukari ikiingizwa nchini ya kwao ndo iwe bei nafuu kuliko hiyo iliyokuwa imported!! Wananchi watakimbilia product yao, lakini siyo kumuumiza mtanzania kwa kigezo cha kipumbavu eti kulinda viwanda!! Washindane washinde!
Kama ingekuwa mwezi wa karibu mbeleni ulikuwa ni Disemba ungesemaje?Wee Ni mshe z Sana pmj na Huyu Bashe wako
Siku nilivyo muona Bashe Ni kichaaa na akili zake Ni za kisomali Ni pale alivyotuambia kuwa sukari itapatikan kwa wingi kbl ya mwez mtukufu wa ramadhani nonsense kbsaa mdini mkubwaa
Sukari tunaambiwa haikuwepo inapaswa kuagizwa sasa tena kumbe tunasukari nyingi na imefichwa?Hao walioficha sukari ambao wewe na Mpina mnawatetea sio wezi?
Ndugu kazi za serikali haziendeshwi hivyo ndio maana kuna kuwajibika.Bashe alitafuta mtu yeyote mwenye nia na uwezo wa kuleta sukari alete ili kuumaliza mchezo mchafu wa wale washenzi.
Na kweli wate walileta na tatizo likaisha. Tena sheria inakwenda kubadilisha, bodi ya sukari na wao watakuwa na mamlaka ya kuagizi. Hao waiinga hawatorudia kuleta upumbavu wa kutengeneza uhaba wa sukari nchini.
Kama ni mfuatiliaji, utaelewa Mh. MPINA hapingi kuagiza sukari nje. Yeye ana pinga utaratibu na kampuni zilizo pewa vibali. Hivi hata kibanda cha stationary kweli chenye mtaji wa milioni moja kupewa kibali cha bilion mia? Bado tuna support buu ujambazi? Wahindi wana sajili vikampuni vya mfukoni na kupewa vibali? Vibali vina tolewa kwa hongo ya Tsh 300 kwa kila kilo? Nyie hamuoni huruma kwamba hiyo 300 ni wewe una kuja kjilipa? Sasa kuna tofauti gani na hivyo viwanda vinavyo tengeneza uhaba?Watanzania sijui huwa hawajielewi. Wamiliki wa viwanda huwa wanatengeneza mfumo wa kuadimika kwa sukari na kupandisha sana bei za sukari. Kama mimi ndo mzalishaji na ndo mwenye liseni ya kuagiza sukari kwa nn nisitengeneze mpango wa sukari kuadimika nipige hela?
Kama wafanyabiashara wamepewa vibali vya kuagiza sukari nje, na sukari ikaagizwa, ikaja kwa viwango vizuri vya kuweza kutumika na binadamu, na bei ya sukari ikawa chini, mwananchi wa kule kijijini akanunua sukari kwa bei ya chini na akapata ahueni ya maisha, sioni tatizo!!
Kama hiyo sukari iliyochukuliwa imefanya bei ya sukari kuwa juu zaidi hapo ndo penye shida.
Ila kama kelele zote ni kulindiana sijui maslahi viwanda vya ndani itakuwaje huu ni upumbavu!! Watengeneze mazingira ambayo yatakuwa competitive kwao kushindana na viwanda vya nje hata sukari ikiingizwa nchini ya kwao ndo iwe bei nafuu kuliko hiyo iliyokuwa imported!! Wananchi watakimbilia product yao, lakini siyo kumuumiza mtanzania kwa kigezo cha kipumbavu eti kulinda viwanda!! Washindane washinde!
Kwa hiyo kama makampuni ya kuzalisha sukari yalifanya uhuni wa kuficha sukari naye waziri akaamua kufanya uhuni kutoa vibali vya kuingiza sukari kihuni zaidi na kienyeji?Watanzania sijui huwa hawajielewi. Wamiliki wa viwanda huwa wanatengeneza mfumo wa kuadimika kwa sukari na kupandisha sana bei za sukari. Kama mimi ndo mzalishaji na ndo mwenye liseni ya kuagiza sukari kwa nn nisitengeneze mpango wa sukari kuadimika nipige hela?
Kama wafanyabiashara wamepewa vibali vya kuagiza sukari nje, na sukari ikaagizwa, ikaja kwa viwango vizuri vya kuweza kutumika na binadamu, na bei ya sukari ikawa chini, mwananchi wa kule kijijini akanunua sukari kwa bei ya chini na akapata ahueni ya maisha, sioni tatizo!!
Kama hiyo sukari iliyochukuliwa imefanya bei ya sukari kuwa juu zaidi hapo ndo penye shida.
Ila kama kelele zote ni kulindiana sijui maslahi viwanda vya ndani itakuwaje huu ni upumbavu!! Watengeneze mazingira ambayo yatakuwa competitive kwao kushindana na viwanda vya nje hata sukari ikiingizwa nchini ya kwao ndo iwe bei nafuu kuliko hiyo iliyokuwa imported!! Wananchi watakimbilia product yao, lakini siyo kumuumiza mtanzania kwa kigezo cha kipumbavu eti kulinda viwanda!! Washindane washinde!
Ni ushauri tu, kataa uchawa. Kataa ktumika na Bashe.
Wakati wa dharula mambo hayaendi hivyo.Ndugu kazi za serikali haziendeshwi hivyo ndio maana kuna kuwajibika.
Haiwezekani eti kwa sababu ni waziri aamue tu kujitafutia watu wa kufanya kazi za serikali.
Lazima sheria kanuni na taratibu zifuatwe.
Haiwezekani bwana just kwa sababu wewe ni waziri ujitafutie kikampuni uchwara kifanye kazi flani ya serikali simply because kutatua tatizo.
Kama ni hivyo basi hakuna ulazima wa kutunga hizo sheria kanuni na taratibu kila waziri aachwe tu ajitafutie watu wake wa kufanya kazi zinazotokea katika wizara yake
Huo ni ubuyu kama ubuyu mwingine tu, na ukifuatilia vizuri aliyetoa ubuyu huo hakusema hivyo ulivyoandika, aliongea kwa mafumbo mafumbo kwa namna ambayo hawezi kuitwa kuhojiwa chini ya kiapo athibitishe.Sawa Dogo
lakini kuna taarifa amayo haijakanushwa na hiyo taarifa ilikuja kabla ya taarifa ya mpina. inasema Ikulu iliuza vibali vya sukari kwa shb300 kwa kilo
Hilo unalisemeaje wewe chawa wa bashe
Itel Sugar importer Company Ltd.
Don't judge a book by it's cover.Jina lako limeniacha hoi...
Mzalendo Uchwara.... Dah!
Mi nimekuelewa lakini. Jina lako limenisaidia sana kukuelewa mapema...
Watanzania wengi ni bendera fuata upepoKwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.
Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..
Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.
Alichokisema Luhaga juu watu wachache kuhodhi sukari: Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.
Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari? Thubutu!
=====
Kupata ushahidi na ufafanuzi wa Luhaga juu ya Mpina juu ya sakata la uhaba wa sukari soma:
- Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
- FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari
Sisi wananchi tulitakaMzalendo Mchwara.
Una akili kweli na inayofanya kazi??
Kilichokua kinahitajika, ndicho kilichoagizwa?? Kwann uagize Sukari nyingi kupita hitaji, maana yake Sukari yetu ya Ndani iloanzwa kuzalishwa mpaka mwezi 12 huko itakuaje ??.
MPINA anahoji, kwann uwape Tenda watu wasokua na SIFA?.. mfano, Itel, stationary,,, nikisema kwamba, hiyo Sukari ya ziada ni yahawa Mafisadi , na wao ndo walitoa Pesa kwenye vikampuni uchwara ili waagize Sukari kupitia vikampuni hivo ??.
Kwa uchache nirudie tu, hivi umetumia akili vizuri kweli???.
Kamati ya bunge bado haijatoa maamuzi kuhusu hivyo Mpina anaviita "vielelezo", na ndio maana ameshitakiwa kwenye kamati ya maadili.Simwamini Mpina bali nimeziamini vielelezo barua alizo ambatanisha zilizopokelewa na bodi ya sukari pia zilirejelewa na kamati ya bunge. Sema na huiamini kamati ya bunge?
Ama juu ya kupigwa rungu kwa Mpina, hapigwi rungu kwa sababu ya uongo au ukweli wa nyaraka au maelezo yake bali atapigwa rungu kwa sababu za ama kimaadili yaani kutoa habari za kimaamuzi zilizowasishwa sehemu kabla ya kufanyiwa kazi. Hapo nadhani utakuwa umeelewa.
Asante sana ndugu. Kuna watoto wa dadake mpina ndio wagumu wa kuelewa.Wakuu kwa sukari bashe mtamuonea tuu...
Ipo hivi mahitaji ya ndani ya sukari ni Tani 420,000...na uwezo wa viwanda vya ndani uzalishaji wake ni tan 280,000 hapa kuna ombwe la tani 140,000 za sukari ambayo itabidi iagizwe nje ili kukidhi mahitaji...
Mwaka jana kukawa na uhaba wa sukari sababu wazalishaji wa ndan au viwanda vya ndani kudai mashamba yalijaa maji...hii ilipelekea uhaba wa sukari hivyo sukari ikaanza panda bei...baadhi ya maeneo ilifika mpaka kilo sh 7,000...waziri bashe akatoa vibali kwa viwanda vya ndani kuagiza sukari nje ili kuzuia mfumuko wa bei ya sukari.,
Sasa wafanya biashara wa ndani kwa njama zao hawakutii agizo kupelekea sukari kupanda zaidi...Bashe alivyo ona agizo halijafanyika akawafutia vibali hivi viwanda vya ndani .,
Maamuzi aliyo chukua ni kuwapa vibali wafanya biashara wenye uwezo wa kuagiza sukari nje ili tu kuzuia mfumuko wa bei ya sukari na hapa ndio tunaona mpaka makampuni ya simu yalipewa tender ya kuagiza sukar nje na bei tuliona zilirudi mahali pake...ingawa ni nje ya utaratibu lakini ilitibu tatizo...
Kama wewe ungekuwa bashe ungefanyaje??? Binafsi nampa maua yake...sijajua tatizo lake na mpina lakini kwenye hili mnyonge mnyongeni haki yake apewe..