Tuache unafiki, Utawala Awamu ya 5 ulikuwa hatarishi!

Kuna haja kama taifa kufuatilia Kwa ukaribu sana utimamu wa akili wa wagombea wa uongozi wa kitaifa

Bila kupepesa macho Magu hakuwa timamu kiakili.
Wenzetu wangesema alikuwa na mental disorder or insanity.

Hili kosa halitakiwi kujirudia tena katika maisha ya Watanzania.

Kama raia wema hatuna budi kumsamehe.
 
Inasemekana AZORY GWANDA 'alitekwa' huko Kibiti na hakupatikana tena hadi leo!
Taarifa pekee iliyopo juu ya huyu mhanga ni ya waziri mmoja kutamka kuwa alitoweka na kufariki!!!

Kuna wana CCM damu damu kama mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, nd Dialo, amesema bila kumung'unya maneno kuwa Magufuli alikuwa na faili Mirembe.

Sasa wananchi tunajiuliza, ni nanu ali circumvent(kuizinguka) vetting process?
Je, ni Mkapa?
Na ni kwa sababu gani?
 
Ili nchi isimame lazma wachache waumie .......... Lazma tuwaondoe wanaozuia jitihada

Magu alipiga kazi sanaaaa......hao waliopotea walikuwa wapinga maendeleo
 
Ili nchi isimame lazma wachache waumie .......... Lazma tuwaondoe wanaozuia jitihada

Magu alipiga kazi sanaaaa......hao waliopotea walikuwa wapinga maendeleo
Nchi inaendeshwa kwa Katiba, na kila mwananchi anayo haki.
Sasa kama mkuu unatetea watu " kuondolewa" , hii ni kwa mujibu wa kifungu kipi cha katiba?
 
Hata mbele ya Mungu Mwendawazimu atasamehewa.
 
Jeshi la Polisi Matukio yote hayo HAYAJAPATA UFUMBUZI MPAKA LEO halafu Wanataka Watu Wasiseme
 
He did all that in expenses of human lives and prestiges --- we Tzs are not used to those fracases.

Do you see what Mama is doing??, that is what Magu was supposed to do.
 
Jeshi la Polisi Matukio yote hayo HAYAJAPATA UFUMBUZI MPAKA LEO halafu Wanataka Watu Wasiseme
Mbele ya macho ya wananchi jeshi la polisi kwa sasa limekuwa kama mwanasesere asiye na akili anayechezewa na wanasiasa kama wapendavyo.
 
Embu tuache chuki binafsi kwa JPM uovu wa wake ni issue ya Lissu na kuteketeza mali za mwingira na mbowe kila utawala una maovu yake mbona hamyasemi ya kina JK mnasubiri afe ndo muongee Mwagosi akitumbuliwa utumbo njee mbona hamsemi bomu lililouwa watu kanisani Arusha na mpaka leo mbona hamsemi akina kakobe walivunja ukuta wa kanisa mbona hamsemi gwajima kawekwa ndani na akina kova enzi zile nakupekuliwa nyumbani kwake mbona hamsemi tuache unafiki na chuki binafsi ila hata mumchafua vipi? Jpm ana watu na atabaki kuwa mfano kwenye nyanja za maendeleo kwenye nchi hii
 
Kutekwa Kwa Dr ulimboka na kungolewa meno, kifo cha Dr Sengondo Mvungi Kwa kupigwa na shoka, kuuliwa Kwa mwangosi, kuuliwa Kwa wapita Barabara kipindi cha maandamano ya chadema ilikuepo ni awamu ya ngapi. Watanzania wanasahau haraka Sana
 
Kutekwa Kwa ulimboka, kifo cha Dr Sengondo Mvungi Kwa kupigwa, kuuliwa Kwa mwangosi, kuuliwa Kwa wapita Barabara kipindi cha maandamano ya chadema ilikuepo ni awamu ya ngapi. Watanzania wanasahau haraka Sana
Sio kwamba wanasahau wanajuwa sana ila lengo lao ni kumchafua JPM ila watu wanaijuwa historia ya nchi hii na JPM alitoa darasa nzuri sana watakwama tu
 
bibi yako na babu yko ndio mnajua hayo sisi tunachojua ametufumbua macho na wahuni kama nyie na kutuletea maendeleo yanayoonekana hata na kipofu sio mbwembwe za maneno tupu na kuzurura hovyo na kukopa kopa hvyo

Jifunze kwanza matumizi ya herufi kubwa na ndogo, kuweka koma na nukta, kisha ndio uje uongee na wanaume.
 
Sio kwamba wanasahau wanajuwa sana ila lengo lao ni kumchafua JPM ila watu wanaijuwa historia ya nchi hii na JPM alitoa darasa nzuri sana watakwama tu

Mtu mchafu anachafuliwaje?
 
Acha kuandika kwa kupanick mpaka huweki koma au nukta. Uzi huu ni kumhusu Magufuli, tumuongelee JK ili iweje? Ukitaka tumuongelee JK na uhuni wake anzisha uzi wake, ila kwa huu tunamjadili yule kiongozi muovu, hutaki jinyonge.
 
Ni kweli mkuu.
Watu wengine wanataka kushindanisha uivu kwa uovu mwingine, adala ya kulinganisha matendo mema ya viongozi kwa wananchi wao.

Ati JK aliua mtu mmoja, Magufuli akiua watatu ni poa tu!
 
Acha kuandika kwa kupanick mpaka huweki koma au nukta. Uzi huu ni kumhusu Magufuli, tumuongelee JK ili iweje? Ukitaka tumuongelee JK na uhuni wake anzisha uzi wake, ila kwa huu tunamjadili yule kiongozi muovu, hutaki jinyonge.
Sawa nashukuru mkuu.ila vyombe peke ambavyo vinaweza kumuhukumu binadamu ni Mungu na mahakama tu.Je wewe ndugu yangu umepata nakala wapi ya hukumu kuwa JPM alikuwa muovu?.Au unataka kutupa msg kuwa ni mmoja wa wahuni ambao JPM aliiwashughulikia kisiasa na kiuchumi?.Nimetoa mfano ya JK ili mujuwe kuwa hakuna jambo geni kuwahi kutokea katika serikali na awamu zake ila nyie mnataka kutuaminisha kuwa yalitokea kwa JPM tu
 
Ili nchi isimame lazma wachache waumie .......... Lazma tuwaondoe wanaozuia jitihada

Magu alipiga kazi sanaaaa......hao waliopotea walikuwa wapinga maendeleo
Halafu akamalizia kwa kuliondoa dicteta kwa corona
 
Narudia tena, huu uzi ni kumhusu Magu, hao wengine wana nyuzi zao na sio kwamba kutokujadiliwa kwenye uzi huu ni wema. Isitoshe hata kama JK alikuwa na mouvu yake hayajafikia ya kiwango cha Magu.

NB: Hongera kwa kujitahidi kuweka koma na nukta, ila hili limeondoa ile shaka yangu kuwa wewe una tatizo la uandishi. Kwa sasa nimejiridhisha pasi na shaka kuwa ww ni kilaza halisi. Na wengi wa vilaza ndio mlimuelewa Magufuli bila kutumia akili zenu, bali kulingana na propaganda alizowalisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…