Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Watu wanashindwa kutofautisha insecurity na wisdom. Kwa mwanamke hakuna usawa, ni either uwe umemzidi au kakuzidi. Kuwa sawa na mwanamke kwenye jambo lolote katika akili yake anaona amekuzidi
 
Watu wanashindwa kutofautisha insecurity na wisdom. Kwa mwanamke hakuna usawa, ni either uwe umemzidi au kakuzidi. Kuwa sawa na mwanamke kwenye jambo lolote katika akili yake anaona amekuzidi
Kabisa mzee. Kuna watu wanadhani mwanamke ni mtu wa kuamini anachosema au kujiapiza mbele yako.

Mwanamke anaweza kuanza mahusiano na mwanaume akajiapiza kuwa atakuwa nae bega kwa bega katika kila hali. Sasa kosea mfungulie biashara kubwa au mfanyie mpango wa kazi ambayo kipato chake atazidi cha kwako.

Hapo ndipo utajua ule msemu kumla mbuzi mchuzi.
 
Hiyo ilikuwa zamani. Siku hizi wanaume wanathamini sana mahusiano ya ndoa si unaona ndio wanaokemea masingle mother,wanakemea mafeminist,wanakemea mabinti kudanga.

Wanaume hawaachi wanawake wazuri na wife material bwana. Ni wewe tu hapo unatunga.
Basi sawa hata wanawake ilikuwa zamani siku hizi wanathamini sana mahusiano, ndio maana wanalilia ndoa kwahiyo hata wanawake hawakatai wanaume wazuri, ila wewe tu ndio unatutungia hekaya zako humu
Ndio mimi ni wife material kwa wanaume wanaojielewa siyo mbwa mbwa
Me Jadda kiukweli namjali sana na sitaki aharibu ila yeye anaona kama mimi namchukia. Sasa namchukiaje tena mtu ambaye ninahangaika kumrekebisha. Eti Jadda mama, kwann unapenda kugombana na daddy?😂
Sasa unalia nini, andika vizuri bila kulia bhana, hivi vilio vyako nishavichoka mimi
 
Mi nnachojiuliza..

Ina maana ndoa zote zinazovunjika ni mwanamke anakua amemzidi mwanaume umri?
 
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,

Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Mungu alipomwambia Eva kwamba atatawaliwa na mumeo hakutania.Madamu umekuwa mume wewe ni kiongozi kwa mkeo bila kujali umri wake
 
Uanaume wa mtu hautegemea umri wake! Mwanaume amezaliwa ili amtawale Mwanamke kama wameoana.
Haijalishi analingana umri na mkewe,au ni mdogo kiumri kuliko mkewe ili mradi tu wawe katika umri wa kuishi kama mme na mke.
 
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,

Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Knachoongoza nyumba sio umri
 
Uanaume wa mtu hautegemea umri wake! Mwanaume amezaliwa ili amtawale Mwanamke kama wameoana.
Haijalishi analingana umri na mkewe,au ni mdogo kiumri kuliko mkewe ili mradi tu wawe katika umri wa kuishi kama mme na mke.
Kuna factors ambazo zina-facilitate huo utawala na moja wapo ni mwanaume kumzidi mwanamke almost kila kitu.
 
Knachoongoza nyumba sio umri
Umri ni indicator ya mambo mengi sana. Kwanza busara, umri unavyoenda unakutana na misukosuko mingi kwaiyo unajifunza kufanya maamuzi bila kukulupuka hata katika situation zenye tension kubwa. Pili, uchumi. Mtu ambae umemzidi umri mkubwa kuna uwezekano mkubwa ukamzidi kiuchumi pia maana wewe ulianza maisha ya kujitegemea kabla yake
 
Sababu zipo nyingi lakini thread imelenga hapo kwenye kigezo cha umri
Kama ni hivyo basi huenda kigezo cha umri sio muhimu. Huenda kuna sababu nyingine muhimu zaidi ya umri.

Kuna watu wana umri mkubwa lakini kichwani ni watupu kwahiyo hata akioa mwanamke mdogo bado hawezi kuongoza nyumba.
 
Sababu ipi ni kubwa au ni ndogo hiyo ni topic nyingine. Post imeangazia sababu ya umri. Kama kuna sababu kubwa unaiona unaweza kuandika pia thread yako ukatuelezea kwa kirefu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…