Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Ligi ya bongo ndio upoteze muda?
Utaanzaje kupoteza muda Kwa kuangalia Mtibwa sugar vs Jkt Tanzania au Geita gold vs Kagera sugar

Mlandege vs Taifa kwanza.Duuh ??????
 
Azam utaidharau kama hujaitumia,ila sku ikitokea umeenda kwa ndugu yako ambae ana azam ukaona utamu wake lazima uhame startimes
 
Sijawahi kutumia kwa familia yangu na siwezi kumshauri mwanafamilia kuna jirani yangu amekuwa akililalamika inamaudhui yasiyoendana na imani yake anunue
Hivi Kingamuzi kuwa na baadhi ya channel ambazo huzipendelei kuna shida gani? mbona vingamuzi vyote viko hivyo?
Kwani hicho kingamuzi kinajiendesha chenjewe au ni hadi uchague???
Nenda Arusha ufungulie radio FM, karibia nusu au zaidi ya channel ni za dini tofauti tofauti? inamaana utaacha kukunua radio yenye channel ya FM? kuweni basi na tabia ya kuchakata mambo la sivyo tuendako itabidi ushauri ndugu na familia yako wasimiliki TV, simu wala Computer kwani ni zaidi sana ya unachokwepa
 
Ukitoa Ligi ya mpira wa Bongo azam ni useless.
Sasa unatoaje wakati ndio wanayo hiyo ligi? basi kwa sasa sema tu azam ni useful mpaka hapo watakapoitoa hiyo ligi ya bongo
 
Sio kweli kwamba Azam kampita Startimes...so far kwa mujibu wa TCRA kisimbuzi kinara ni Startimes tena kamuacha Azam mbali sana, cheki grafu hapo chini.
 
Rubbish...
 
Ahsante sana utah jazz

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Ahsante

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
King’amuzi bei gani aise? Nataka niwanunulie wazee wangu ila nitakuwa silipii kwa mwezi kwani wao shida yao ni kuangalia taarifa ya habari tu TBC na ITV, hizo ni bure right?
Habari.

Kingamuzi cha dish 79000 na dish lake

Kingamuzi cha antena 65000 na antena yake

Vingamuzi vyote vinamwezi mmoja wa bure. Plz kumbuka usipolipia utaangalia channel zaidi ya 10 bure.

Karibu sana

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Watu bwana kwa kujifariji haya ,bwana happ unatafuta wa kumuuzia ununue AZAMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…