Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Iye aluenenge kiryundiyoHicho naore Barbershop na handu ko' sanja Makari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iye aluenenge kiryundiyoHicho naore Barbershop na handu ko' sanja Makari?
Wewe umethibitisha kuwa hawana madhabahu hizo?Acha Ushakunaku, huwa unajikuta Mlokole lakini mpaka hapo umetenda dhambi ya kusema Uongo unless uthibitishe kuwa wana madhabahu isiyotokana na Mungu
Uzushi ni Dhambi pia
Aaaaaah....Iye aluenenge kiryundiyo
Naiyo kyakoAaaaaah....
Haya Mbee' kanyi....ku'tane...
Ni wewe tu mjinga usiyejua uchumi ni suala la kiroho Kabla ya kuwa la kimwili. Wenzako wanatoa kafara kila kukicha bila huruma. Au unadhani wanachoenda kufanya kule Decemba NI kunywa mbege Sio? Pole wewe mgalatia uliyelogwa.Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna nafsi na min market nayo inakimbiza balaa
SAS alifungua kwa kusua sua kwa wateja ila Sasa hivi ukienda haswa week end unakosa pa kupaki gari ili lioshwe Ni Kwamba magari ni mengi San yanakuwepo na magari yenyewe ni Yale ya Bei kubwa kubwa kwa kifupi Dr ambae Ni jirani angu amepatia sna hiyo biashara
Jana nilikwenda kuosha guta langu nilikosa huduma baada ya vijana kuwa busy sna kuosha maTx nikaona wacha nielekea car wash iliyo mtaani karibu mita na chache na ya Dr niliwakuta vijan hawana Kaz kabsa wakt kwa Dr Hakuna pa kupaki gari Wala guta hawaoshi
Jmn biashara is not for everybody wengine tujikite na kilimo na ukipata nguvu jenga nyumba za kupangisha vingevyo utakula loss.
Mlilazimishwa kunywaAsilimia 90 jamaa kwenye biashara wananunua na kuuza mizigo ya wizi kama sio magendo, na kuroga ndo usiseme.Dar ndo wanaongoza kwa kuwapa vijana ugunjwa wafigo kama sio ini kwa kuwauzia double kick na visungura feki.
Mchaga unayeenda Kanisani jumapili na unafanya Mila na matambiko ya ukoo na Mizimu Ili kulinda pesa na utajiri,Ni wewe tu mjinga usiyejua uchumi ni suala la kiroho. Wenzako wanatoa kafara kila kukicha bila huruma. Au unadhani wanachoenda kufanya kule Decemba NI kunywa mbege Sio? Pole wewe mgalatia uliyelogwa.
Unataka pesa amua Utafutie ukiwa Kwa Yesu au Kwa Shetani. Hakuna Neutral.
Nenda Kibosho utaonyeshwa watoto walipokuwa wanachinjiwa zamani(butcher)
Kibosho hiyo hiyo wanazika wapendwa wao ndani ya nyumba. Hapo hapo Mzee alipokuwa analala Wakati anaumwa Akifa Ni kitanda tu kinaondolewa anachimbiwa kaburi hapo hapo.
Lingine. Baada ya mtu kufa Wana muda maalumu Wanakaa Wanafukua viungo vyake ndani especially fuvu la kichwa Kwa ajili ya ibada na wanaishi na hilo fuvu ndani Ni kawaida kabisa.
Kuna mengine mengi. Sasa wewe Unataka upate hela kirahisi.
Ufalme wowote ni Lazima upate atakayekutambulisha huko Huingii tu
Angalia saa ya kisasi Wanavyokufa
Ndio kabila linaloongoza kufa Tanzania
Hakuna siku unakosa Maiti si chini ya Kumi Kwa siku zinatoka mikoani zinaenda zikwa
Kama pale njia panda ya Himo ufunge Hesabu Kwa masaa 24 Ndio utaelewa
Kila kitu kina gharama yake. Na wanaokufa ni wale walioanza kufanikiwa au waliofanikiwa. Ukishafanikiwa usahau hutafika uzeeni
Utafia hapa 50-60 na wengi ujanani
Acha uongo mimi nimezaliwa moshi na kukulia japokua sio mchaga kwa miaka zaidi ya 30Ni wewe tu mjinga usiyejua uchumi ni suala la kiroho Kabla ya kuwa la kimwili. Wenzako wanatoa kafara kila kukicha bila huruma. Au unadhani wanachoenda kufanya kule Decemba NI kunywa mbege Sio? Pole wewe mgalatia uliyelogwa.
Unataka pesa amua Utafutie ukiwa Kwa Yesu au Kwa Shetani. Hakuna Neutral.
Nenda Kibosho utaonyeshwa watoto walipokuwa wanachinjiwa zamani(butcher)
Kibosho hiyo hiyo wanazika wapendwa wao ndani ya nyumba. Hapo hapo Mzee alipokuwa analala Wakati anaumwa Akifa Ni kitanda tu kinaondolewa anachimbiwa kaburi hapo hapo.
Lingine. Baada ya mtu kufa Wana muda maalumu Wanakaa Wanafukua viungo vyake ndani especially fuvu la kichwa Kwa ajili ya ibada na wanaishi na hilo fuvu ndani Ni kawaida kabisa.
Kuna mengine mengi. Sasa wewe Unataka upate hela kirahisi.
Ufalme wowote ni Lazima upate atakayekutambulisha huko Huingii tu
Angalia saa ya kisasi Wanavyokufa
Ndio kabila linaloongoza kufa Tanzania
Hakuna siku unakosa Maiti si chini ya Kumi Kwa siku zinatoka mikoani zinaenda zikwa
Kama pale njia panda ya Himo ufunge Hesabu Kwa masaa 24 Ndio utaelewa
Kila kitu kina gharama yake. Na wanaokufa ni wale walioanza kufanikiwa au waliofanikiwa. Ukishafanikiwa usahau hutafika uzeeni
Utafia hapa 50-60 na wengi ujanani
Unajifanyaga umeokoka ila kutwa kushuhudia watu uongo walokole wa sahivi changamoto sanaMchaga unayeenda Kanisani jumapili na unafanya Mila na matambiko ya ukoo na Mizimu Ili kulinda pesa na utajiri,
Sahau kuhusu mbingu,
Usipobomoa madhabahu hizo na kujitenga nazo, huna tofauti na waovu wengine,
Mlango na njia ya Mbinguni ni mwembamba sana.
Amen
Nafikiri kwasasa acha nijikite kuhubiri neno la Mungu tuSio kweli kama ni hivyo sumbawanga au tanga wangekua matajiri sababu ni wachawi sana
Wale Mungu amewapaka mafuta kwenye biashara ni kama watu wa mbeya wakijikita kwenye kuhubiri neno la Mungu wanafanikiwa sana
Kwa mchawi, INJILI ni uongo na mambo ya kutunga.Unajifanyaga umeokoka ila kutwa kushuhudia watu uongo walokole wa sahivi changamoto sana
Aisee naona mmejitokeza vzrHicho naore Barbershop na handu ko' sanja Makari?
Ingekua kutambika tu ndo kuwa tajiri mbona watu wengi wangekua matajiri sanaKwa mchawi, INJILI ni uongo na mambo ya kutunga.
Njoo nuruni uokolewe.🙏
Unajua maana ya mammon?Ingekua kutambika tu ndo kuwa tajiri mbona watu wengi wangekua matajiri sana
Maisha sio marahisi hivyo
Wafipa huwa hawaendi kwenye matambiko ya mizimu kila mwisho wa mwaka.Sio kweli kama ni hivyo sumbawanga au tanga wangekua matajiri sababu ni wachawi sana
Wale Mungu amewapaka mafuta kwenye biashara ni kama watu wa mbeya wakijikita kwenye kuhubiri neno la Mungu wanafanikiwa sana
Kwamba ukitambika ndo unakua tajiri automatic hizi akili za short cut ni changamoto sanaWafipa huwa hawaendi kwenye matambiko ya mizimu kila mwisho wa mwaka.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuzaliwa baharini si kujua kuogelea, usikariri maisha kisa ni mzawa na mkazi wa mahali flani, huwezijua vyote duniani.Acha uongo mimi nimezaliwa moshi na kukulia japokua sio mchaga kwa miaka zaidi ya 30
Sio kweli wachaga wanatoa kafara ili wafanikiwe huo ni uongo na uzushi
Hakuna kabila lililoacha mambo ya kimila, tamaduni kama wachaga kwa tanzania acha uongo
Maisha sio marahisi hivyo kwamba utambike tu ndo uwe tajiri nani alikudanya kuna watu wametambika sana, loga sana, toa kafara sana ila bado sio matajiri
Utajiri unaendana na bloodline kama hauko kwenye hiyo bloodline ni ngumu sana kuwa tajiri