Wewe hujui chochote. Uko tayari nikuhoji?Acha uongo mimi nimezaliwa moshi na kukulia japokua sio mchaga kwa miaka zaidi ya 30
Sio kweli wachaga wanatoa kafara ili wafanikiwe huo ni uongo na uzushi
Hakuna kabila lililoacha mambo ya kimila, tamaduni kama wachaga kwa tanzania acha uongo
Maisha sio marahisi hivyo kwamba utambike tu ndo uwe tajiri nani alikudanya kuna watu wametambika sana, loga sana, toa kafara sana ila bado sio matajiri
Utajiri unaendana na bloodline kama hauko kwenye hiyo bloodline ni ngumu sana kuwa tajiri
Mimi nimeoa huko I know everything
Niligombana Nao Sana Walivyotaka Mtoto mara ya kwanza kunyolewa nywele akanyolewe uchagani
Unaelewa maana yake wewe?