Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

Ni wewe tu mjinga usiyejua uchumi ni suala la kiroho Kabla ya kuwa la kimwili. Wenzako wanatoa kafara kila kukicha bila huruma. Au unadhani wanachoenda kufanya kule Decemba NI kunywa mbege Sio? Pole wewe mgalatia uliyelogwa.
Unataka pesa amua Utafutie ukiwa Kwa Yesu au Kwa Shetani. Hakuna Neutral.
Nenda Kibosho utaonyeshwa watoto walipokuwa wanachinjiwa zamani(butcher)
Kibosho hiyo hiyo wanazika wapendwa wao ndani ya nyumba. Hapo hapo Mzee alipokuwa analala Wakati anaumwa Akifa Ni kitanda tu kinaondolewa anachimbiwa kaburi hapo hapo.
Lingine. Baada ya mtu kufa Wana muda maalumu Wanakaa Wanafukua viungo vyake ndani especially fuvu la kichwa Kwa ajili ya ibada na wanaishi na hilo fuvu ndani Ni kawaida kabisa.
Kuna mengine mengi. Sasa wewe Unataka upate hela kirahisi.
Ufalme wowote ni Lazima upate atakayekutambulisha huko Huingii tu
Angalia saa ya kisasi Wanavyokufa
Ndio kabila linaloongoza kufa Tanzania
Hakuna siku unakosa Maiti si chini ya Kumi Kwa siku zinatoka mikoani zinaenda zikwa
Kama pale njia panda ya Himo ufunge Hesabu Kwa masaa 24 Ndio utaelewa
Kila kitu kina gharama yake. Na wanaokufa ni wale walioanza kufanikiwa au waliofanikiwa. Akishafanikiwa asahau kufika uzeeni
Ataishia hapa 50-60 na wengi ujanani
Ni utajiri Kwa kuzimu Anautoa Lucifer mwenyewe. Kwa Ibada za Matambiko tu. Anakupa alafu baada ya muda anakunyonga iwe ni ajali, iwe ni cancer vyovyote vile Anakuwa na uhalali Kwa sababu umejiunganisha Kwa Ibada Akakubariki ukala vyake Anakuzunguka kukuua. Maandiko wanasema Mwivi haji Ila Aibe , Achinje , Aharibu
Acha kuongea vitu vya ajabu mkuu, eti ataishia 50-60.

Afrika Ina tabia ya kuchukia maendeleo na wakishindwa kukuloga bas sumu zinakuhusu.

Yani mkiona huyu kijana katoboa maisha bas ni kumtafutia shabaha mumlambishe mchanga kama mkishindwa kumloga.

Sasa ngoja nikwambie usichokijua...

Mchawi ana mizimu ya kichawi na ndicho kinamlinda mchawi unakuta anaishi miaka mpaka 90, 100.

Kutambikia Kwa mchaga sio kigezo Cha kutosha kumfanya awe tajiri, nakuhakikishia.

Kiu ya kufanikiwa ikishakuwa ndani ya Damu...

Kama kutambikia ndio kigezo na wewe nenda kwenu ukatambike tuone ukitajirika...
 
Mchaga unayeenda Kanisani jumapili na unafanya Mila na matambiko ya ukoo na Mizimu Ili kulinda pesa na utajiri,

Sahau kuhusu mbingu,

Usipobomoa madhabahu hizo na kujitenga nazo, huna tofauti na waovu wengine,

Mlango na njia ya Mbinguni ni mwembamba sana.

Amen
Dini za wazungu na waarabu zimekuharibu akili
 
Hizo ndio baishara zao ila hawafiki mbali na kuweza kulisha nchi nzima kwa bidhaa zao
Ukienda nchi zingine za Africa kwa kweli acha vijana hata wanawake ni millionaires kwa biashara zao kubwa
Kuna Real estates za kufa mtu kuna uzalishaji wa Chocolates au cereals ambapo wanasambaza nchi nzima na hao ndio wanaitwa wafanyabiashara sio hawa miaka nenda rudi ana duka la groceries tu
Vijana elimu pia iantakiwa ya kufanya haya
Pambaneni sana msambaza bidhaa nchini na nje ya nchi kama MO ila lazima mtu awe na wataalamu nyuma yake na kuanza taratibu kwani siku hizi mchina anafyatua mashine ndogo ndogo zinazotengeneza kila na packaging ya kila kitu
Amkeni
Siwafokei bali lazima muangalie wenzenu na Africa kuna watu 1b sasa mnafeli wapi?
 
Back
Top Bottom