Kwamba ukitambika ndo unakua tajiri automatic hizi akili za short cut ni changamoto sana
Maisha sio marahisi hivyo
Hapa duniani kuwa tajiri Kuna njia mbali mbali za kuupata,
1. Njia ya Mungu.
Njia hii lazima utoe ZAKA, ujibidiishe na KAZI Kwa bidii na kusimama katika unyofu na HAKI. Njia hii wengi inawashinda, ndio maana Wana wa Mungu wengi Si matajiri.
2. Njia ya Giza.
Njia hii inahusisha sadaka aina mbalimbali kama Ibada Kwa madhabahu husika.
Wengine hutumia majini, wengine Mizimu, wengine wizi wa CHUMA ulete nk nk. Hapa ni ushindani na mpambano usokwisha. Pesa ni kitu kingine kabisa.
Bidii ya KAZI pia havikwepeki.
3. Wasio na upande, Kwa Mungu hawapo, Kwa shetani Hawa po.
Watu Hawa ni sawa tu na vipofu, kupata na kupoteza kwao ni kugusa, aweza pata pesa na akafilisika anytime, akaibiwa, akatupiwa magonjwa nk nk Ili afilisike.
Si Afrika pekee, WANADAMU wote wasio na Mungu Wana madhabahu, wazungu, wachina, wahindi nk nk.
Ni vyema kama unafanya biashara na ungependa utajiri ukawa na upande, 1 au no 2.