Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

Swala la kimadhabau lipo wasi bana
 
Kuzaliwa baharini si kujua kuogelea/Mahakamani si kujua sheria, usikariri maisha kisa ni mzawa na mkazi wa mahali flani, huwezijua vyote duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ingekua kutambika tu ndo kuwa tajiri basi nchi hii kungekua na matajiri wengi sana na maisha yangekua marahisi sana
 
Kwamba ukitambika ndo unakua tajiri automatic hizi akili za short cut ni changamoto sana
Maisha sio marahisi hivyo
Hapa duniani kuwa tajiri Kuna njia mbali mbali za kuupata,

1. Njia ya Mungu.

Njia hii lazima utoe ZAKA, ujibidiishe na KAZI Kwa bidii na kusimama katika unyofu na HAKI. Njia hii wengi inawashinda, ndio maana Wana wa Mungu wengi Si matajiri.

2. Njia ya Giza.

Njia hii inahusisha sadaka aina mbalimbali kama Ibada Kwa madhabahu husika.

Wengine hutumia majini, wengine Mizimu, wengine wizi wa CHUMA ulete nk nk. Hapa ni ushindani na mpambano usokwisha. Pesa ni kitu kingine kabisa.

Bidii ya KAZI pia havikwepeki.

3. Wasio na upande, Kwa Mungu hawapo, Kwa shetani Hawa po.

Watu Hawa ni sawa tu na vipofu, kupata na kupoteza kwao ni kugusa, aweza pata pesa na akafilisika anytime, akaibiwa, akatupiwa magonjwa nk nk Ili afilisike.

Si Afrika pekee, WANADAMU wote wasio na Mungu Wana madhabahu, wazungu, wachina, wahindi nk nk.

Ni vyema kama unafanya biashara na ungependa utajiri ukawa na upande, 1 au no 2.
 
Aliyewapa watu wa kaskazini akili na bidii katika kutafuta Mali na biashara ni Mungu wa Mbinguni,

Shetani amewabana wengi kwenye Kona, na kuwaaminisha kuwa Yeye ndio chanzo Cha baraka, utajiri na mafanikio Yao,

Mungu anawataka wavunje madhabahu zao za ukoo, Mila na kabila, waache Kutoa sadaka Kwa miungu na Mizimu na mababu waliokufa,

Wamtegemee na kumtumaini na Kutoa sadaka Kwa Mungu pekee.

Mungu ni MMOJA na Jina lake ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.
 
Hkn mchawi bhnaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…