Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

Wewe hujui chochote. Uko tayari nikuhoji?
Mimi nimeoa huko I know everything
Niligombana Nao Sana Walivyotaka Mtoto mara ya kwanza kunyolewa nywele akanyolewe uchagani
Unaelewa maana yake wewe?
 
WAMESOMAAA BAHATULINWANAZO WAHAYA WEWEEE
 
Wewe hujui chochote. Uko tayari nikuhoji?
Mimi nimeoa huko I know everything
Niligombana Nao Sana Walivyotaka Mtoto mara ya kwanza kunyolewa nywele akanyolewe uchagani
Unaelewa maana yake wewe?
Sasa hiyo kunyolewa nywele ina-husiano gani wa kuwa tajiri

Jamii zote za kiafrika zina mambo ya kishirikina sio tu wachaga tuacheni double standard
Nitajie kabila ambalo halina mambo ya kishirikina hapa Tanzania
 

Jitahidi uoelewe na mmoja mimi sema nimeshaoa. Mdogo wangu anatafuta mke. Kama vile nikuunganishe naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…