Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

Acha kuongea vitu vya ajabu mkuu, eti ataishia 50-60.

Afrika Ina tabia ya kuchukia maendeleo na wakishindwa kukuloga bas sumu zinakuhusu.

Yani mkiona huyu kijana katoboa maisha bas ni kumtafutia shabaha mumlambishe mchanga kama mkishindwa kumloga.

Sasa ngoja nikwambie usichokijua...

Mchawi ana mizimu ya kichawi na ndicho kinamlinda mchawi unakuta anaishi miaka mpaka 90, 100.

Kutambikia Kwa mchaga sio kigezo Cha kutosha kumfanya awe tajiri, nakuhakikishia.

Kiu ya kufanikiwa ikishakuwa ndani ya Damu...

Kama kutambikia ndio kigezo na wewe nenda kwenu ukatambike tuone ukitajirika...
 
Dini za wazungu na waarabu zimekuharibu akili
 
Hizo ndio baishara zao ila hawafiki mbali na kuweza kulisha nchi nzima kwa bidhaa zao
Ukienda nchi zingine za Africa kwa kweli acha vijana hata wanawake ni millionaires kwa biashara zao kubwa
Kuna Real estates za kufa mtu kuna uzalishaji wa Chocolates au cereals ambapo wanasambaza nchi nzima na hao ndio wanaitwa wafanyabiashara sio hawa miaka nenda rudi ana duka la groceries tu
Vijana elimu pia iantakiwa ya kufanya haya
Pambaneni sana msambaza bidhaa nchini na nje ya nchi kama MO ila lazima mtu awe na wataalamu nyuma yake na kuanza taratibu kwani siku hizi mchina anafyatua mashine ndogo ndogo zinazotengeneza kila na packaging ya kila kitu
Amkeni
Siwafokei bali lazima muangalie wenzenu na Africa kuna watu 1b sasa mnafeli wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…