Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #81
No, nafanya tuu rejea kuhusu Tundu Lissu baada ya kuona mijadala mingi kumhusu Tundu Lissu.Umefanyisha juhudi kuufukua uzi. Tujiandae kwa chochote?
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, nafanya tuu rejea kuhusu Tundu Lissu baada ya kuona mijadala mingi kumhusu Tundu Lissu.Umefanyisha juhudi kuufukua uzi. Tujiandae kwa chochote?
Mkuu Baija, nchi inaongozwa kama familia, hata wewe ukiwa nyumbani, kama mtoto wa kiume unaejitambua, siku mama yenu amesafiri kwenda kijijini kwao kusalimia, huku nyuma baba akaingiza mgeni, na ukamuona. Kumbe yule mgeni aliacha chumbani kwa baba nguo yake fulani, uvunguni mwa kitanda, bila baba kujua, ama kwa kusahau kwa bahati mbaya ama kwa makusudi ili mwenye nyumba aone na ajue kuwa hayuko peke yake.Paskali, mwanzoni nilidhani na wewe huwajui "Wasiojulikana" na Wasiojulikana. Lakini nimeacha imani hiyo. Unawajua wote wa aina mbili na ndo maana unakimbilia kukosoa thread yangu badala ya kujikita na maswali niliyouliza.
Mama Sabrina, yes nimeoa, tena ni ndoa ya Katoliki, ili pia mimi nadumisha mila nzuri za asili yetu, miongoni mwa mila nzuri za kabila langu, ni pamoja na kutokuwa na idadi ya mwisho ya wanawake, wala sipangi uzazi, hivyo kama vipi sema tuu.Hivi Pascal Mayala umeoa?
Ha ha ha, ili mradi tu awe cheupe dawa asisahau hili mhimu sana!Mama Sabrina, yes nimeoa, tena ni ndoa ya Katoliki, ili pia mimi nadumisha mila nzuri za asili yetu, miongoni mwa mila nzuri za kabila langu, ni pamoja na kutokuwa na idadi ya mwisho ya wanawake, wala sipangi uzazi, hivyo kama vipi sema tuu.
P.
Hayaweza kufanyika hayo unayotakaNimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Hard Talk cha BBC TV, akizungumzia mhusika wa Shambulio lake, nikaona hizi ramli zibaendelea.
Nitatoa ushauri kwa Kamanda Simon Siro, hata kama hakuna nia ya kufanya uchunguzi angalau wajifanyishe tuu kuwa they are doing something, wajifanyishe wamewatia ndani walinzi wote waliokuwa zamu siku ya tukio, wajifanyishe wamemkamata aliyezifungua zile CCTV za aneo la tukio na HDD ya recording imepatikana, waendelee kusisitizia bado wanamsubiria dereva wa Lissu ambaye ni shahidi muhimu na kusubiria maelezo ya Lissu ili angalau jumuiya ya kimataifa ijiridhishe kuwa at least we are doing something kutapunguza hizi ramli.
P
NAAMINI YASHAFANYIKA NA MGONJWA SAIKOLOGIA ANASUBIRIWA AJE AKAMILISHE USHAHIDINimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Hard Talk cha BBC TV, akizungumzia mhusika wa Shambulio lake, nikaona hizi ramli zibaendelea.
Nitatoa ushauri kwa Kamanda Simon Siro, hata kama hakuna nia ya kufanya uchunguzi angalau wajifanyishe tuu kuwa they are doing something, wajifanyishe wamewatia ndani walinzi wote waliokuwa zamu siku ya tukio, wajifanyishe wamemkamata aliyezifungua zile CCTV za aneo la tukio na HDD ya recording imepatikana, waendelee kusisitizia bado wanamsubiria dereva wa Lissu ambaye ni shahidi muhimu na kusubiria maelezo ya Lissu ili angalau jumuiya ya kimataifa ijiridhishe kuwa at least we are doing something kutapunguza hizi ramli.
P
Na walivyo bogus wanaweza kujifanyisha hivyo na wakibanwa wanasema "sii ndivyo ameshauri Pasco wa JF?"Nimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Hard Talk cha BBC TV, akizungumzia mhusika wa Shambulio lake, nikaona hizi ramli zibaendelea.
Nitatoa ushauri kwa Kamanda Simon Siro, hata kama hakuna nia ya kufanya uchunguzi angalau wajifanyishe tuu kuwa they are doing something, wajifanyishe wamewatia ndani walinzi wote waliokuwa zamu siku ya tukio, wajifanyishe wamemkamata aliyezifungua zile CCTV za aneo la tukio na HDD ya recording imepatikana, waendelee kusisitizia bado wanamsubiria dereva wa Lissu ambaye ni shahidi muhimu na kusubiria maelezo ya Lissu ili angalau jumuiya ya kimataifa ijiridhishe kuwa at least we are doing something kutapunguza hizi ramli.
P
Nani mwenye nguvu za kimamla hata afanye hayo unayo sema yafanyike?....... Alafu unahimiza tusihukumu!!!!Nimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Hard Talk cha BBC TV, akizungumzia mhusika wa Shambulio lake, nikaona hizi ramli zibaendelea.
Nitatoa ushauri kwa Kamanda Simon Siro, hata kama hakuna nia ya kufanya uchunguzi angalau wajifanyishe tuu kuwa they are doing something, wajifanyishe wamewatia ndani walinzi wote waliokuwa zamu siku ya tukio, wajifanyishe wamemkamata aliyezifungua zile CCTV za aneo la tukio na HDD ya recording imepatikana, waendelee kusisitizia bado wanamsubiria dereva wa Lissu ambaye ni shahidi muhimu na kusubiria maelezo ya Lissu ili angalau jumuiya ya kimataifa ijiridhishe kuwa at least we are doing something kutapunguza hizi ramli.
P
Wanabodi,
![]()
Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya ukatili na umwagikaji damu kunalofanywa na watu wasiojulikana, hivyo kupelekea watu fulani fulani kuhisiwa kuhusika!, wito wangu ni "Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. Tuiachie "Karma" Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!".
Kwanza tuendelee kumuombea Lissu uponyaji wa haraka.
Nimenote katika baadhi ya mitandao ya kijamii, kumeibuka makundi ya watu kujenga nadharia mbalimbali kuhusu chanzo cha tukio hili, na hayo matukio mengine ya kupotea kwa Ben Saanane, Azori Gwanda na miili ya kwenye viroba, aliyepanga na aliyetekeleza, na wengine hadi kufikia kupiga ramli chonganishi kuwa aliyepanga mpango huo ni fulani, na kumtaji hadi majina!, mara ni fulani, mara ni fulani, alimradi kunyooshea watu vidole!, hili sio jambo jema hata kidogo!.
Kwa sisi wa imani ya Kikristu, dini yetu inatufundisha, "Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!". Tena kwenye ile kesi ya mwanamke kahaba aliyeshikwa ready handed, Bwana wetu Yesu Kristo akawaambia, "Na asiye na dhambi, awe wa kwanza kutupia jiwe!", hakuna aliyethubutu!.
Vivyo hivyo kwenye hili tukio la Lissu kupigwa risasi, na hayo mengine, maadam aliyelipanga ni binadamu, na watekelezaji ni wanadamu, tangu dunia hii kuumbwa, haijawa kutokea hata mara moja, uovu ukashinda wema, au uongo kuushinda ukweli, damu ya mwanadamu asiye na hatia, aliyeumbwa na Mungu, haiwezi ikamwagika bure bila kufidiwa, kila anayefanya uovu katika dunia hii, lazima atalipwa kwa uovu na malipo ni hapa hapa duniani, na kila anayetenda mema atalipwa mema.
Japo alichofanyiwa Lisu ni uovu mkubwa, mbaya na ukatili wa ajabu, na kwa hao wengine waliopotea, hakuna anayejua hatma yao ilikuwaje, you can just imagine!, lakini hakuna haja, wala sababu ya kuanza kunyoosheana vidole, tuviache vyombo husika kufanya uchunguzi na kutupatia majibu ya kina, kuhusu hao watu wasiojulikana, waliofanya ukatili huo, na endapo hivyo vyombo husika ndio wahusika na tukio hilo, bado kuna chombo kikubwa kuliko vyote kinachoitwa karma, ambacho ndicho pekee hutoa hukumu ya haki kwa kila kinachofanyika hapa duniani!.
Tumuombee Lissu to Get Well Soon, arejee nyumbani salama akiwa bukheri wa afya, tuombe muujiza wa Ben Saanae na Azori Gwanda, waibuke wakiwa hai toka huko mafichoni walikofichwa!.
Mungu yupo, kama alivyokusimamia Lissu hadi sasa bado uko hai, yeye ndiye pekee kupitia karma, atawahukumu watesi wako wako na watesi wa wengine hao!.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao ...
Paskali

Najisikia kichefu chefu kwa andiko lako. Unajifanya kipofu hali ya kuwa unaona. Mbowe na wenzake wanakabiliwa na kesi ya kusababisha kifo cha Aqulline. Polisi wamesha conclude Mbowe anahusika mbona hukuandika kuhusu hilo. Polisi wamesahaconlude Tundu alipigwa risasi na wasio julikana, hali ya kuwa akili ya kawaida haikubali.Wanabodi,
![]()
Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya ukatili na umwagikaji damu kunalofanywa na watu wasiojulikana, hivyo kupelekea watu fulani fulani kuhisiwa kuhusika!, wito wangu ni "Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. Tuiachie "Karma" Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!".
Kwanza tuendelee kumuombea Lissu uponyaji wa haraka.
Nimenote katika baadhi ya mitandao ya kijamii, kumeibuka makundi ya watu kujenga nadharia mbalimbali kuhusu chanzo cha tukio hili, na hayo matukio mengine ya kupotea kwa Ben Saanane, Azori Gwanda na miili ya kwenye viroba, aliyepanga na aliyetekeleza, na wengine hadi kufikia kupiga ramli chonganishi kuwa aliyepanga mpango huo ni fulani, na kumtaji hadi majina!, mara ni fulani, mara ni fulani, alimradi kunyooshea watu vidole!, hili sio jambo jema hata kidogo!.
Kwa sisi wa imani ya Kikristu, dini yetu inatufundisha, "Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!". Tena kwenye ile kesi ya mwanamke kahaba aliyeshikwa ready handed, Bwana wetu Yesu Kristo akawaambia, "Na asiye na dhambi, awe wa kwanza kutupia jiwe!", hakuna aliyethubutu!.
Vivyo hivyo kwenye hili tukio la Lissu kupigwa risasi, na hayo mengine, maadam aliyelipanga ni binadamu, na watekelezaji ni wanadamu, tangu dunia hii kuumbwa, haijawa kutokea hata mara moja, uovu ukashinda wema, au uongo kuushinda ukweli, damu ya mwanadamu asiye na hatia, aliyeumbwa na Mungu, haiwezi ikamwagika bure bila kufidiwa, kila anayefanya uovu katika dunia hii, lazima atalipwa kwa uovu na malipo ni hapa hapa duniani, na kila anayetenda mema atalipwa mema.
Japo alichofanyiwa Lisu ni uovu mkubwa, mbaya na ukatili wa ajabu, na kwa hao wengine waliopotea, hakuna anayejua hatma yao ilikuwaje, you can just imagine!, lakini hakuna haja, wala sababu ya kuanza kunyoosheana vidole, tuviache vyombo husika kufanya uchunguzi na kutupatia majibu ya kina, kuhusu hao watu wasiojulikana, waliofanya ukatili huo, na endapo hivyo vyombo husika ndio wahusika na tukio hilo, bado kuna chombo kikubwa kuliko vyote kinachoitwa karma, ambacho ndicho pekee hutoa hukumu ya haki kwa kila kinachofanyika hapa duniani!.
Tumuombee Lissu to Get Well Soon, arejee nyumbani salama akiwa bukheri wa afya, tuombe muujiza wa Ben Saanae na Azori Gwanda, waibuke wakiwa hai toka huko mafichoni walikofichwa!.
Mungu yupo, kama alivyokusimamia Lissu hadi sasa bado uko hai, yeye ndiye pekee kupitia karma, atawahukumu watesi wako wako na watesi wa wengine hao!.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao ...
Paskali
Kadri wengi wanavyopotea, ndivyo ukubwa na ukali wa bakora za karma zitakavyo mtandika.Siku karma ikifanya kazi , Mtemi atakuwa ameshapoteza wengi
Tafuta ndimu ulambe, embe bichi, mbilimbi au ukwaju utulize kichefuchefu chako, ni kawaida ikiwa changa, baadae kitatulia.Najisikia kichefu chefu kwa andiko lako. Unajifanya kipofu hali ya kuwa unaona. Mbowe na wenzake wanakabiliwa na kesi ya kusababisha kifo cha Aqulline. Polisi wamesha conclude Mbowe anahusika mbona hukuandika kuhusu hilo. Polisi wamesahaconlude Tundu alipigwa risasi na wasio julikana, hali ya kuwa akili ya kawaida haikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bakora ikija si ajabu ikawa sote ameshatukolimba , utajuaje kama karma imempiga bakora??Kadri wengi wanavyopotea, ndivyo ukubwa na ukali wa bakora za karma zitakavyo mtandika.
P
It's true, bakora za karma ni kama ufalme wa Mungu, kwa maana hamjui siku wala saa, na bakora zikitembea hakuna taarifa kuwa ndio bakora, ni majanga ya kawaida ya ugonjwa au ajali etc, the bottom line ni lazima upigike, madaraka, mamlaka au pesa, can't do a thing.Hiyo bakora ikija si ajabu ikawa sote ameshatukolimba , utajuaje kama karma imempiga bakora??