Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Mara ngapi alimfuata Le mutuz na kumshauri juu ya maisha? Na je mnadhani Kila mtu anamfahamu Le mutuz nje na watu wa mtandaoni?
 
Mara ngapi alimfuata Le mutuz na kumshauri juu ya maisha? Na je mnadhani Kila mtu anamfahamu Le mutuz nje na watu wa mtandaoni?
Tuache unafki wakati mwingine wewe huwezi kumruhusu mtoto wako aishi vile, haijarishi unaishi Maisha gani au una wadhifa gani, JK mwenyewe alimpiga PIN Miraji asiwe na maisha ya kikuda au unadhani JK alikua bwege ?
Alikuwa na utaalamu mkubwa wa meli Mkuu..that is over
Utaalamu wa Meli upi babu engineer wa Meli au Captain au Nani ?
 
Duh!
Period au nukta.
 
Amin
 
Big Yes
 
Ukweli mchungu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…