zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Muache Shangazi usimsumbue,Uwatete na wale anaowasuta pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache Shangazi usimsumbue,Uwatete na wale anaowasuta pia
Na ndio hutoboi 60 mwisho 50 50 hapo umejitahidi sana 56/57 ukikatisha 58/59 Israel huyu hapaUkianza kujali wanadam wajaalana watasema nini hutoboi
Siku hizi wanakufa vijana wadogo tena wacha Mungu na watoto pia...kutoboa 50 ni ngumu mno....Na ndio hutoboi 60 mwisho 50 50 hapo umejitahidi sana 56/57 ukikatisha 58/59 Israel huyu hapa
Kufa kunoga, wote tutailamba Ardhi haijarishi ni mlo wa tabu au mlo wa kusaza, kunywa bia wakaze sana wanawake fanya kila ufirauni Ila kuna siku utanasa unaambiwa kijana tulikupa muda ukaufanyia ulichofanya sasa nyanyuka acha hilo limwili lako twende huku ukajieleze, ni km chumba Cha mtihani ukisikia Pens down jua MDA umekwisha acha kuandikaMlo wako wa tabu unashindana kumshauri aliyekuzidi maarifa na maendeleo..
"Shame"
Ukajieleze wapi?kwani ulishawahi kufa ukarudi?ama unaleta stories za abunuasi...ukajieleze kwa nani?Kufa kunoga, wote tutailamba Ardhi haijarishi ni mlo wa tabu au mlo wa kusaza, kunywa bia wakaze sana wanawake fanya kila ufirauni Ila kuna siku utanasa unaambiwa kijana tulikupa muda ukaufanyia ulichofanya sasa nyanyuka acha hilo limwili lako twende huku ukajieleze, ni km chumba Cha mtihani ukisikia Pens down jua MDA umekwisha acha kuandika
Ila wenye 70/80/90/100 wapo pia mcheck Mzee Malecela baba wa William eeh umri umeenda Ila anaishi aishi anasa anaishi maisha yanayowapendeza Mungu na wanadamu, nilicheck kipindi fulani mwaka Jana km sijakosea kuna Padre ana miaka 103 I think anaitwa Padri Mushi, sasa inawezekana unategemea wewe unaishije maisha yako,Siku hizi wanakufa vijana wadogo tena wacha Mungu na watoto pia...kutoboa 50 ni ngumu mno....
Afu mpuuzi mmoja anakupangia uishi vipi.
Utaenda kujieleza uko mbele ya Safari kumbe wewe hujawahi kufa ukafufuka subiri siku ukifa mazima ndio utaelewa kumbe walipokua wanasema Judgement day walikua wanamaanisha nini, jaribu kufa uoneUkajieleze wapi?kwani ulishawahi kufa ukarudi?ama unaleta stories za abunuasi...ukajieleze kwa nani?
Brain washed..endelea kuamini hadithi na vigano vya kusadikika,ila ukiambiwa uthibitishe uwezi.
Brain washed....Ila wenye 70/80/90/100 wapo pia mcheck Mzee Malecela baba wa William eeh umri umeenda Ila anaishi aishi anasa anaishi maisha yanayowapendeza Mungu na wanadamu, nilicheck kipindi fulani mwaka Jana km sijakosea kuna Padre ana miaka 103 I think anaitwa Padri Mushi, sasa inawezekana unategemea wewe unaishije maisha yako,
Utaenda kujieleza uko mbele ya Safari kumbe wewe hujawahi kufa ukafufuka subiri siku ukifa mazima ndio utaelewa kumbe walipokua wanasema Judgement day walikua wanamaanisha nini, jaribu kufa uone
Kwa vile unamsikia tu Le Mutuz, ungemjua ungemhurumia!Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Huna Cha kupoteza sababu ya kudanganywa na Mwili Ila siku ukishaacha Mwili ukawa pembeni na hauwezi tena kuingia kwenye mwili wako utaona umepoteza, ushanielewa umepoteza hatutokuona tena umelalayo, watu wanakuchukua wanakulilia unawaona wao hawakuoni umepoteza, watu wanaanza kukusema msibani kwa matendo yako ya ajabu umepoteza Mzee, judgement imeanza hapo unaona Ila wao hawakuoni umepoteza, umepoteza umepoteza usijisahaulisheSina cha kupoteza hata nikifa sasa...
Una vituko wewe kijana wa kula burgerSasa hapo mi naingiaje muite mzee kijana
Maarifa yako madogo,akili yako ni ya kurithi,utaki kutoka nje ya box,sina hoja ya kujadiliana na wewe,Huna Cha kupoteza sababu ya kudanganywa na Mwili Ila siku ukishaacha Mwili ukawa pembeni na hauwezi tena kuingia kwenye mwili wako utaona umepoteza, ushanielewa umepoteza hatutokuona tena umelalayo, watu wanakuchukua wanakulilia unawaona wao hawakuoni umepoteza, watu wanaanza kukusema msibani kwa matendo yako ya ajabu umepoteza Mzee, judgement imeanza hapo unaona Ila wao hawakuoni umepoteza, umepoteza umepoteza usijisahaulishe
Mda mwingi chai akibadili juice au maji mbona hayo yote yako kwenye blog yake,Alikua anakunywa nini ?
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Mngemuhujynu skulijuwa hai, sasa hivi hukumu
Mama leo umekunywa whisky ya wapi?Mngemuhujynu skulijuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, smuwrke popote anapostahiki.
Tufateni yetu tukuwabhai, tujitshidi kufanya yrtu kwa wrma na uadilifu.
Mimi sina huo uwezo wa kukupotezea muda kwa usichokijua ni kwamba muda haujawahi kupotea muda upo TU haupotei hautopotea na haujawahi kupotea that's time ndio maana ukienda Leo saa 8 usiku utarudi kesho saa 8 usiku Ila hio kesho na leo ni ya kwako kwenye muda hakuna kesho na leo, nimekupa somo Baba yako uwe na nidhamu kijana kula chuma hichoMaarifa yako madogo,akili yako ni ya kurithi,utaki kutoka nje ya box,sina hoja ya kujadiliana na wewe,
Una vingi vya kujifunza...unanipotezea mda..
Kwa hio kilevi chake ndio hiko au sio ?Ulevi wa mbususu huo ni mjadala mwingine tena
Hatujui alikua anafanya kweli au ni kuhave nao goodtime tu, yote yawezekana.Kwa hio kilevi chake ndio hiko au sio ?