Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Utetezi mwingine hauna maana kabisa, tuchukulie mtu kaamua kuwa shoga, ukichukia itakuwa kuingilia life style yake?
Acha uongo!Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Ushawahi ?Alikuwa hanywi pombe
Alikua anakunywa nini ?Acha uongo!
Boma Yee alikua hanywi pombe Wala kutumia kilevi chochote.
Hii nchi ina watu wengi wenye chuki siku pakitokea civil war,ile Genocide ya Rwanda itakuwa cha mtotoAlikuwa wa ovyo Kwa vigezo vya nani?
Kwa vigezo vyako binafsi?
Au Kwa imani yako ?
Why tunapenda Ku judge watu Kwa kupitia vigezo vyetu ambavyo sio universal??
Umalaya unaweza thibitisha?au picha za Instagram na warembo ndo uthibitisho?
Pombe?lini ulimuona akinywa? Au picha Akiwa wavuvi ndo ushahidi wako??
Why mnapenda kuishi kinafiki?kujifanya watu wema Kwa nje huku mna madhambi ya kutisha Kwa Siri huku mnahukumu watu Kwa picha za mitandaoni?
Mboni nasikiaga eti mtu akishakufwa hasemwi vibaya eti inatakiwa muwe mnamsifwia tu na kumfwagilia kama ilivyo kwa marehemu mzee babaKwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Masahihisho - Le Mutuzi hakuwa kijanaKwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Jamani tumswalieni MtumeHuu ndio ukweli halisi. Leo mutuz alikuwa ni mshenzi mwenye umaarufu. Huyu ni chawa mkongwe, na kwa muda mwingi aliishi kwa kujikomba na kujifanya mjuaji. Alikuwa ni mfitini sana.
Baharia wa Nchi kavi km Professor Muhogo Mchungu au baharia yupi ? Sikuwahi kumsikia akijigamba kua yeye ni Seaman, hata siku mojaWewe ndo akili fupi. Unatoa Tu mfano kwa ajili ya kujiridhisha. Jaribu kujiuliza kazi yake ya kumwingizia kipato ilikuwa ipo? Instagram nk. Unajua watanzania wanapenda nini ? Ukikua utajua maisha. Sasa Tulia na unafiki wako.
Nani kasema ? Hajaona kilichotokea kwa Membe au unajisahaulisha ? Watu wanakupa unachostahiri haijarishi upo hai au umekufaMboni nasikiaga eti mtu akishakufwa hasemwi vibaya eti inatakiwa muwe mnamsifwia tu na kumfwagilia kama ilivyo kwa marehemu mzee baba
Namba 2, hakuwa na WatotoSijapendezewa kabisa na uzi wa kumdhalilisha Le Mutuz.
1. Lini ulimsaidia chakula na mavazi?
2. Lini ulisomesha watoto wake?
3. Lini ulimtawaza?
Naamini ktk watu wa ovyo wewe unaongoza.
Mods upuuzi huu mnaubariki kweli?
Una uhakika wale wa kule mamtoni ni watoto wa Nani ?Namba 2, hakuwa na Watoto
Means...Ndio,Mzee alizaa watoto wengi Ila wanapukutika Kwa vifo vya mchongo