Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Usimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
We jamaa Una masiri mengi mengi hebu yamwage hapa
 
Haya ungemwambia alipokuwa mzima ukiyasema sasa ni sawa na uzandiki tu.
 
No facts no comments
 
Kukulia nje sio sababu labda useme maisha ya watoto wa viongozi waliowengi wana maadili mabovu ni wachache sana walionyooka, ndio haohao kama wa Simba Chawene
 
Namjua Lemutuz wakati anaishi New York ingawaje hatukuwa karibu sana, very nice guy, mambo ya familia hatujui na sote tuna matatizo yetu, alipenda kula shangwe zake tuu, pombe au mademu 90% humu tunahusika na haikufanyi uwe mtu wa ovyo, na idea ya mfano mbovu kwa vijana sijui maana yake nini, mnashindwa kuwafundisha vijana wenu leo mnamsingizia Lemutuz, wapuuzi sana nyie na watoto wenu wote
 
Marehemu alipenda kusifiwa kama yeye ni mtu wa kuponda starehe kwa kiwango cha SGR, kwa hiyo tukionya jamii isiige maisha ya namna hiyo tutakuwa tumekosea?
Na ninaamini ni lifestyle yake ndio imemtanguliza mbele ya haki, na sio huyo tu bali ni watoto wengi wa viongozi, wengi wana tabia mbaya na afya mbovu.
 
Dunia hii uishije usikosolewe?
Mleta uzi wewe ni mkamilifu kwa kiwango cha biblia au kuruani. Tuache sisi
Hayo ni mawazo mfu, ingekuwa hivyo jaji/hakimu asingehukumu kesi kisa eti na yeye kwavile toka azaliwe kwani hajawahi kufanya kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…