Uko sahihi 💯 hasahasa wale attention seekers.Ukiona Mwanamke hana heshima wala aibu ujue ametumika Pro!
Na ukiona anatumia mitandao ya kijamii kila siku ku wish wanaume tofauti tofauti happybirthday jua kuwa ametumika Pro max!
Mwanamke yeyote mwenye Ex kuanzia wa 3 weka mbali na watoto