Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
1. Brazil vs France 1998 nililia
2. Senegal vs France 2002 nililia
3. Senegal vs Uturuki 2002 nililia
4. Arsenal vs barca 2006 niliumia
2005 ac milan na liver/ 2021 liver na barca hizi mechi mbili kwangu ni bora sana sababu nilikuwa emotional sana yaan saut ilikata kabisa mechi nyingi ile ya simba na nkana nilijuwa uwanjan saut ilikata
Ila mechi ya man u vs madrid ile ya 3-3 delima akitupia huku nestroy akitupia ndo mechi bora kabisa kuwah kuona sikutaka iishe sababu ya utam wa ball
Brazil kufungwa na france ilikua furaha kwangu
France kufungwa na timu kubwa kama Argentina, timu iliyo na mchezaji bora kuwahi kutokea hapa ulimwenguni ilikua ni furaha kwangu
Senegal vs France 2002 nilifurahi
3. Senegal vs Uturuki 2002 nilifurahi
4. Arsenal vs barca 2006 nilifurahi ushindi wa Barca