Upo sahihi mkuu,Ile combinations ya Jella Mtwagwa na L.Tenga haitakuja kutokea tena nchi hii, midfielders, Hussein Masha , Aluu Ally ,Mohammed Richard, yaani ilikua burudani tupu na mpira ulichezwa kwa kipaji sio sasa ipo to technical, mpaka leo sijaona mchezaji kama Peter Tino, Mohammed Salim ile ilikuwa ni total talents, kama nchi tulipotea sana,why hatukuendeleza mkondo huu?Zamoyeni Mogella ...looo,niishie hapo naona nishaanza kuwa emotionalKwa kukosa kutumia teknolojia kuna vitu vizazi vijavyo vitakosa. Kizazi cha sasa hivi kinabaki kumuona messi ndio haiwezekani kuchukua mpira mguuni kwake.
Nilifurahi sana Argentina alivyochukua wc, walistahiliKama tulikuwa pamoja mzee baba, timu la dunia, chezaji la dunia likipambania timu yake pendwa ARG🏆🏆🏆💪🏽
Nilifurahi sana Argentina alivyochukua wc, walistahili
Kweli mkuu umekuwa too emotional. Kipaji + technical ndio mpira unaponoga. Rejea gem ya Inter na Barca iliyochezwa Giussepe de meaza 2010. Technics za Jose ndio zilifunika vipaji vya kina Messi, Xavi, Iniesta na Bosquetsniishie hapo naona nishaanza kuwa emotional
Ahsante sana kwa kumtuliza utopoloSimba 5:0 yanga (2012)
Hii mechi ilikua ndo fainali na champion league ilifanyika urusi 2008Hiyo hapo, kilinuka sana, wakaenda matuta, ...tuta la mwisho Chelsea atinge fainali wakuitwa john terry aka-slide ngoma ikapaa ,mashetani wekundu wakatinga fainali
Nafikiri ilikuwa fainali 2008Hiyo hapo, kilinuka sana, wakaenda matuta, ...tuta la mwisho Chelsea atinge fainali wakuitwa john terry aka-slide ngoma ikapaa ,mashetani wekundu wakatinga fainali
Wewe ni muhengaKwangu binafsi mechi mbili zinabaki kumbukumbu kubwa kwangu;Simba SC vs Mufurila Wanderes,DSM Simba SC inakufa 4-0,uwanja wa Taifa, Marudiano ndani ya Zambia Simba SC 5,Mufurila Wanderes 0(Salute salute George Best &Co),ninashuhudia game pale Arusha nikiwa primary school, Vita FC vs Pan African, computer Sunday Manara analetwa rasmi kwa game hiyo, na anaonyesha why alipewa hiyo nickname;mpira wa sasa huu wa kufundishwa ni shida tupu...Kassim Manara akiweka mpira ndani ya miguu yake hata mkija 5hamchukui ule mpira,.....George Masatu anafuta magoli kwenye msitari....ohoooo Tanzania tulipotea wapi kama nchi?
Mechi tamu ilikuwa as vita vs mnyama mkali ,mpaka mechi inaisha huwezi aminNiwe mkweli......Katika Maisha yangu sijawahi kuiona simba ikipiga mpira mkubwa kama usiku huu....Simba ilitakata na iliutaka sana ushindi....