Well well well,Kwanza sijapotosha.Kwenye soko la hisa unaweza enda hata ukiwa na Buku Hilo sio tatizo ila sasa kuna Jambo ambalo hulielewi.Soko la hisa linaitwa soko la mitaji.So kuna watu wanaenda kwenye hilo soko kununua mitaji.Sasa Unapoenda kuuza Mtaji maana yake ni kwamba unarisk apetite kubwa.Labda nikupigishe stori.Miaka ya 1920s huko Marekani watu waliaminishwa kwamba SOKO la hisa ni kwa ajili ya kila mtu.Basi watu wakaanza kwenda kuchukua mikopo Benki kwa kupitia nyumba zao,mishahara yao n.k. kisha wakanunua hisa.Acha upotoshaji, hisa ni kwa ajili ya mtu yoyote . Hisa sio za matajiri tu. Kudharau mteja kisa sio tajiri ni ushamba tena ushamba wa hali ya juu na hakuna sababu yoyote inayohalalisha kumdharau mteja kisa ana kipato kidogo. Na pia kazi ya broker ni kuuza na kununua hisa kwa ajili ya mteja,maamuzi ya mteja anauza lini, ananunua lini,ana kipato gani, HAIWAHUSU. Kama hawataki wateja wenye kipato kidogo,waweke bango wateja wasiwafate. Kama wanaona kero zaidi maana watanzania wengi wana kipato kidogo,waache udalali wa DSE watafute kazi nyingine maana kazi ziko nyingi. Kufuatilia ukwasi wa mteja bila kuombwa ni kuingilia maisha ya watu na DSE hawajawapa hilo jukumu.
Wewe itakuwa ndo huyo broker msumbufu ingawa umejibu vizuri..!! 😹😹😹Issue sio Broker issue ni Unauza Hisa Kiasi Gani?Hivi kweli Mtu una Portfolio ya 50k unataka Broker akutazame seriously?mnafikiri soko la hisa ni UPATU(Ponzi scheme) au kibubu?
Kama unataka Dalali ukachukulie serious kwanza uwe mwekezaji serious Sio umenunua Vihisa Vya Milioni 20 hata mwezi haujaisha ushaanza kutaka Kuviuza upate hela ya BIA.Kama tabia yako ni hio nenda UTT huko wao hawana Brokers wala nini.
Ujumbe wangu haulengi kuwavunja moyo wawekezaji ila ni kuwaambia tu kwamba Soko la hisa ni Play Ground ya watu wenye Ukwasi na ambao wana BUY na KUHOLD na sio kila siku kuuza na kununua mnafanya SOKO linakuwa na FUJO.Hisa zinapanda Bei bila uhalisia kwa sababu ya watu ambao hawana utulivu.Wakisikia za CRDB zinapanda wanakimbizana nazo mara wakisikia sijui za nani zimeshukua wanaanza kuuza kama nyumbu.
Matokeo yake mnafanya SOKO linakuwa Volatile kiasi kwamba Biashara ya Hisa inakuwa kama ya maandazi.
Kingine Zingatieni.Kwenye mfumo wa HISA wa DSE unapoweka BUY or Sell Order sio kwamba inafanyika in real time.Yale ni kama maelekezo kwa Broker wako,Na huwa hauko mwenyewe unayefanya Buy or Sell Order.Na ili Upate Hela lazima kuwe na Order match ya Buy na Sell sio ufikiri kwamba Ukiwa Bar ukataka kulipa Bill basi unaweza tumia hisa zako za laki moja kulipa Bili.
Stock Market is not for Broke People.Stock Market is for the Rich.Watu ambao wako katika level ya Financial Freedom na Pesa zao zinawafanyia kazi.
All in all Brokers wote wako vizuri na wanafanya kazi zao vizuri.Cha muhimu hakikisha Unatembelea ofisi ya Broker waka angalau mara moja hasa ukianza kuwekeza Pesa nyingi ili ufahamu aina ya watu ambao wanasimamia Pesa zako na pia ili wakushauri vyema ni wakati gani wa kununua,kuuza aua hata kufanya Private Sell.
Wawekezaji mmechafukwa mnatema nyongo 😹😹Heee heee samahani ndugu. Kila mwekezaji ana haki sawa maana ni mteja na anastahili huduma bora. Mtu anataka auze hisa za 20k unalazimisha auze hisa za mamilioni?. Halafu soko la hisa ni kwa kila mtu,sio matajiri au maskini. Tena Tz ndo kuna sheria ngumu lazima mtu anunue angalau hisa kumi,nchi nyingine kama Nigeria unaruhusiwa kununua hata hisa moja na hisa zao kwa sasa zina bei ya chini sana kuliko za Bongo,kuna hisa hadi za Naira 40. Hata Kenya,wanaruhusu kununua hata hisa moja. Kama wewe una mabilioni basi usikwazike na wawekezaji wenye elfu 10 elfu 20,pambana na bilioni zako.
Hapana Mimi sio Broker Msumbufu.Ila Niko kwneye Game ya Share Tangu kipindi Shares zinauzwa Manually.Kipindi kili kwanza ukienda kwa Broker na Kamilioni Unataka kununua Hisa anakupiga Darasa wee mpaka mnaamua kwenda kutumia Hio Milioni Pale Serena Happy Hour Kunywa BEER ili upate Connection za Kutengeneza PESA ya Maana.Wewe itakuwa ndo huyo broker msumbufu ingawa umejibu vizuri..!! 😹😹😹
Hivi wewe unatujibu unatuchukuliaje unazani hatuna ela acha kujibu mavi wewe bora ukae kimya nisije anza kujibizana nawewe unazani sisi tumeanza kuwekeza jana au hatuna financial literacy education hata elimu ya hisa tunayo toka siku nyingi sana umeambiwa nani anataka gauze hisa akalipe bili bar limbukeni wengine banaIssue sio Broker issue ni Unauza Hisa Kiasi Gani?Hivi kweli Mtu una Portfolio ya 50k unataka Broker akutazame seriously?mnafikiri soko la hisa ni UPATU(Ponzi scheme) au kibubu?
Kama unataka Dalali ukachukulie serious kwanza uwe mwekezaji serious Sio umenunua Vihisa Vya Milioni 20 hata mwezi haujaisha ushaanza kutaka Kuviuza upate hela ya BIA.Kama tabia yako ni hio nenda UTT huko wao hawana Brokers wala nini.
Ujumbe wangu haulengi kuwavunja moyo wawekezaji ila ni kuwaambia tu kwamba Soko la hisa ni Play Ground ya watu wenye Ukwasi na ambao wana BUY na KUHOLD na sio kila siku kuuza na kununua mnafanya SOKO linakuwa na FUJO.Hisa zinapanda Bei bila uhalisia kwa sababu ya watu ambao hawana utulivu.Wakisikia za CRDB zinapanda wanakimbizana nazo mara wakisikia sijui za nani zimeshukua wanaanza kuuza kama nyumbu.
Matokeo yake mnafanya SOKO linakuwa Volatile kiasi kwamba Biashara ya Hisa inakuwa kama ya maandazi.
Kingine Zingatieni.Kwenye mfumo wa HISA wa DSE unapoweka BUY or Sell Order sio kwamba inafanyika in real time.Yale ni kama maelekezo kwa Broker wako,Na huwa hauko mwenyewe unayefanya Buy or Sell Order.Na ili Upate Hela lazima kuwe na Order match ya Buy na Sell sio ufikiri kwamba Ukiwa Bar ukataka kulipa Bill basi unaweza tumia hisa zako za laki moja kulipa Bili.
Stock Market is not for Broke People.Stock Market is for the Rich.Watu ambao wako katika level ya Financial Freedom na Pesa zao zinawafanyia kazi.
All in all Brokers wote wako vizuri na wanafanya kazi zao vizuri.Cha muhimu hakikisha Unatembelea ofisi ya Broker waka angalau mara moja hasa ukianza kuwekeza Pesa nyingi ili ufahamu aina ya watu ambao wanasimamia Pesa zako na pia ili wakushauri vyema ni wakati gani wa kununua,kuuza aua hata kufanya Private Sell.
Kaka,Wala siasema wewe ni limbukeni.Mleta Uzi ametoa hoja kwamba Baadhi ya Broker hawafanyi kazi ya vyema,hawapokei simu etc.Nami nimetaka kuonyesha kwamba kwanza Ufanyaji kazi wa Broker ulivyo na hali halisi ilivyo.Mifano niliyotumia wala isikushangaze ni kwa ajili ya kuweka Ujumbe clearHivi wewe unatujibu unatuchukuliaje unazani hatuna ela acha kujibu mavi wewe bora ukae kimya nisije anza kujibizana nawewe unazani sisi tumeanza kuwekeza jana au hatuna financial literacy education hata elimu ya hisa tunayo toka siku nyingi sana umeambiwa nani anataka gauze hisa akalipe bili bar limbukeni wengine bana
Mimi nipo na KADOO SECURITIES LTD. Wapo vizuri Hawa jamaa ingawa Wana mwaka Mmoja sokoniNiende moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
Cha kusikitisha ni kuwa wawekezaji wanakwama kwa stockbrokers ambao ndio wanahusika kumnunulia au kumuuzia hisa mwekezaji. Kwa sasa mitandaoni kuna malalamiko mbalimbali kuhusu madalali hao kuwa na huduma mbovu, kutojibu malalamiko ya wateja n.k.
Kwenye soko la hisa, muda ni zaidi ya mali. Dalali akikuchelewesha hata siku moja tu tayari ni hasara kubwa kwa sababu bei ya hisa inabadilika kila siku, na kwa soko la hisa la Dar es Salaam bei ya hisa ni kama inapaa kadri siku zinavyozidi kwenda.
Hivyo basi, tupeane uzoefu: dalali gani ana huduma nzuri na yupi ana huduma mbaya. Ili wawekezaji wanaosumbuka na madalali wabaya wawahame, kwa sababu inakera sana.
Mi naanza na dalali wangu msumbufu anaitwa Orbit Securities Co Ltd. Simu hawapokei, meseji hawajibu; yaani ni kama vile mimi ninawalazimisha wanihudumie, tena wanihudumie bure.
Mwanzo hawakuwa hivi, lakini kwa sasa huu usumbufu umenifika kooni, lazima nihame.
Karibuni tusaidiane.
Ila wewe Jamaa kweli umeanza uwekezaji zamani kwa sasa inaonekana una ukwasi maana si kwa tambo na dharau ulizonazo!Hapana Mimi sio Broker Msumbufu.Ila Niko kwneye Game ya Share Tangu kipindi Shares zinauzwa Manually.Kipindi kili kwanza ukienda kwa Broker na Kamilioni Unataka kununua Hisa anakupiga Darasa wee mpaka mnaamua kwenda kutumia Hio Milioni Pale Serena Happy Hour Kunywa BEER ili upate Connection za Kutengeneza PESA ya Maana.
Nakubali mkuu,hasa hapo watu wanapo kimbizana kununua hisa za CRDB inafanya bei yake ipae kuliko uhalisia,,na wanapo kimbizana kuuza inashuka...kuna jamaa mmoja alikuwa anafafanua vizuri kule youtube.Issue sio Broker issue ni Unauza Hisa Kiasi Gani?Hivi kweli Mtu una Portfolio ya 50k unataka Broker akutazame seriously?mnafikiri soko la hisa ni UPATU(Ponzi scheme) au kibubu?
Kama unataka Dalali ukachukulie serious kwanza uwe mwekezaji serious Sio umenunua Vihisa Vya Milioni 20 hata mwezi haujaisha ushaanza kutaka Kuviuza upate hela ya BIA.Kama tabia yako ni hio nenda UTT huko wao hawana Brokers wala nini.
Ujumbe wangu haulengi kuwavunja moyo wawekezaji ila ni kuwaambia tu kwamba Soko la hisa ni Play Ground ya watu wenye Ukwasi na ambao wana BUY na KUHOLD na sio kila siku kuuza na kununua mnafanya SOKO linakuwa na FUJO.Hisa zinapanda Bei bila uhalisia kwa sababu ya watu ambao hawana utulivu.Wakisikia za CRDB zinapanda wanakimbizana nazo mara wakisikia sijui za nani zimeshukua wanaanza kuuza kama nyumbu.
Matokeo yake mnafanya SOKO linakuwa Volatile kiasi kwamba Biashara ya Hisa inakuwa kama ya maandazi.
Kingine Zingatieni.Kwenye mfumo wa HISA wa DSE unapoweka BUY or Sell Order sio kwamba inafanyika in real time.Yale ni kama maelekezo kwa Broker wako,Na huwa hauko mwenyewe unayefanya Buy or Sell Order.Na ili Upate Hela lazima kuwe na Order match ya Buy na Sell sio ufikiri kwamba Ukiwa Bar ukataka kulipa Bill basi unaweza tumia hisa zako za laki moja kulipa Bili.
Stock Market is not for Broke People.Stock Market is for the Rich.Watu ambao wako katika level ya Financial Freedom na Pesa zao zinawafanyia kazi.
All in all Brokers wote wako vizuri na wanafanya kazi zao vizuri.Cha muhimu hakikisha Unatembelea ofisi ya Broker waka angalau mara moja hasa ukianza kuwekeza Pesa nyingi ili ufahamu aina ya watu ambao wanasimamia Pesa zako na pia ili wakushauri vyema ni wakati gani wa kununua,kuuza aua hata kufanya Private Sell.
Wewe kuna kauli ulitoa pale juu ya " ukitaka broker akuchukulie serious" na hiyo ni kauli ya kibaguzi kwamba sisi wenye mitaji midogo tudharauliwe halafu nyie mabilionea mpewe kipaumbele. Kama mtaji wangu mdogo ndo broker asipokee simu? Kama mtaji wangu mdogo ndo broker asijibu meseji? Sisi wenye mitaji midogo sio binadamu,hatuna haki,hatustahili heshima wala huduma bora?????Mimi nimeanza kuwekeza kwenye hisa za DSE nikiwa na mtaji mdogo sana yaani sana hadi sasahivi mtaji wangu umekua. Ningefata huo ushauri wako wa kwamba wenye mitaji midogo wasiwekeze maana yake hela nilizopata kupitia DSE nisingezipata. Watu kama nyie ndio mnasababisha watanzania wachelewe kuwa wawekezaji kwa kuwaaminisha kwamba uwekezaji ni kwa ajili ya mamilionea. HISA NI KWA AJILI YA WOTE na mimi hapa ni ushuhuda jinsi ambavyo hisa zimeniinua kutoka chini sana hadi hapa nilipo. Na nitampinga mtu yoyote anayewaambia watu wenye kipato cha chini wasiwekeze. Na huo utabaki kuwa msimamo wangu MILELEWell well well,Kwanza sijapotosha.Kwenye soko la hisa unaweza enda hata ukiwa na Buku Hilo sio tatizo ila sasa kuna Jambo ambalo hulielewi.Soko la hisa linaitwa soko la mitaji.So kuna watu wanaenda kwenye hilo soko kununua mitaji.Sasa Unapoenda kuuza Mtaji maana yake ni kwamba unarisk apetite kubwa.Labda nikupigishe stori.Miaka ya 1920s huko Marekani watu waliaminishwa kwamba SOKO la hisa ni kwa ajili ya kila mtu.Basi watu wakaanza kwenda kuchukua mikopo Benki kwa kupitia nyumba zao,mishahara yao n.k. kisha wakanunua hisa.
Kitu walichasahau ni kwamba Kwenye soko la hisa kulikuwa na Watu ambao ni Market Movers and Shakers aambo wana mitaji mikubwa.Sasa unajua nini kilitokea?Market Movers walipoona bei ya HISa imepnda vya kutosha wakatoa Pesa ZAO wakawauzi watu kisha Hisa zikaporomoka BEI kwa sababu ya kuwa nyingi sokoni.
Matokeo yake Watu wakafilisika,mabenki yakafilisika SOKO likadorora kila mtu akaumia.Unajua sababu ni nini?Kwanza ni Over leverage na Pili na Soko kupanda Bei kwa kiasi kikubwa kuliko uhalisia wa thamni halisi ya kampuni.Yaani Kampuni ina ukwasi wa Milioni 100 ila kwenye soko la hisa BEI ya hisa inafanya thamani yake iwe TRILIONI moja.Chanzo kiku ikiwa na huu ununuajia na uuzaji holela na kishamba wa HISA.
So ninaposema SOKO la hisa sio kwa ajili ya Makabwela sio kwa sababu nawaonea wivu bali ni kwa sababu ya Damages wanazoleta kwenye Soko la Hisa kutoka na Huo UUZAJI na UNUNUAJI wa hisa kiholela maana hisa zinapanda BEI bila kuwiana na UHALISIA.
Mfano Hisa za CRDB zimepanda BEI Maradufu ndani ya KIPINDI Kifupi lakini UPANDAJI huo haumaanishi kwamba CRDB mtaji wake umekuwa au labda faida yake imekuwa.Ila sasa sokoni Parceived Value imefika mara 2 ila CRDB haijakua mara 2.Sasa Jaribu kufikiri iwapo wateja wa CRDB wamekopa kisha wakaenda kununua HISA za CRDB.Au hata wamekopa Benki zingine na wakaenda kununua HISA za CRDB.Kisha Ghafla hizo hissa zinaporomoka BEI unafikiri CRDB au BENKI ambako wamekopa itakuwa katika HALI GANI?
Hio ndio athari ya SOKO la hisa likipata wazimu na hisa zinapoanza kuwa na BEI ambazo ni unrealistic.Wawekezaji wenye akili ama wanatulia au wanauza hisa ZOTE katika BEI ya JUU ili KUFLOAT soko kabisa kisha BEI ikiporomoka wananunua TENA hisa zile kwa BEI nafuu wanakuwa wamewafilisi hivi visenti vyenu vidogo JUST kama KOKORO la MCHINA linavyowa parura.
SHARES sio ODDS za MPIRA BOSS
Kwanza soko la hisa popote duniani ni betting sio kwamba watu wamelifanya kuwa hivyo, hiyo ndo asili ya soko la hisa popote duniani. Unaweza kupata milioni leo kesho bei ya hisa ikashuka ukabaki na sifuri.Nakubali mkuu,hasa hapo watu wanapo kimbizana kununua hisa za CRDB inafanya bei yake ipae kuliko uhalisia,,na wanapo kimbizana kuuza inashuka...kuna jamaa mmoja alikuwa anafafanua vizuri kule youtube.
Watu wamefanya soko la hisa kama Betting,wananunua hisa kwa kuhamasishana matokeo yake zinapaa bila uhalisia wa asset ya kampuni husika.
Hali halisi ipi? Mimi broker wangu mwanzo hakuwa hivi enzi hizo nina mtaji mdogo zaidi ya nilionao sasa. Walikuwa wana huduma nzuri sana tu, sasahivi huduma mbovu. Mimi kama mteja nina haki ya kujua kwanini simu zangu hazijibiwi. Kama broker wangu siku hizi anahudumia mabilionea pekee kama wewe,atoe tu taarifa kwa umma kwamba sisi ambao sio mabilionea tuhame hawana muda wa kutuhudumia. Hata kwenye events huwa kuna tiketi za kawaida na tiketi za VIP kwahiyo unavyoenda unajua kabisa nitapata huduma fulani kwa sababu nimelipia tiketi ya bei fulani.Kaka,Wala siasema wewe ni limbukeni.Mleta Uzi ametoa hoja kwamba Baadhi ya Broker hawafanyi kazi ya vyema,hawapokei simu etc.Nami nimetaka kuonyesha kwamba kwanza Ufanyaji kazi wa Broker ulivyo na hali halisi ilivyo.Mifano niliyotumia wala isikushangaze ni kwa ajili ya kuweka Ujumbe clear
Asante kwa kutushirikisha.Mimi nipo na KADOO SECURITIES LTD. Wapo vizuri Hawa jamaa ingawa Wana mwaka Mmoja sokoni
Wewe bilionea ambae unaona milioni " kamilioni" sio lazima wote tupate expérience uliyopitia wewe. Kwavile broker alikuvunja moyo wa kuwekeza sio lazima na wewe uvunje wengine mioyo ya kuwekeza. Mimi ningevunjwa moyo wa kuwekeza leo nisingekuwa hapa.Hapana Mimi sio Broker Msumbufu.Ila Niko kwneye Game ya Share Tangu kipindi Shares zinauzwa Manually.Kipindi kili kwanza ukienda kwa Broker na Kamilioni Unataka kununua Hisa anakupiga Darasa wee mpaka mnaamua kwenda kutumia Hio Milioni Pale Serena Happy Hour Kunywa BEER ili upate Connection za Kutengeneza PESA ya Maana.
Mkuu hakuna aliye kataa unacho kisema,,tunacho zungumzia hapa ni ile mob inayo endelea ya watu kununua hisa kiushabiki,kuna ambao wanaenda kukopa n.k. Matokeo yake bei ya hisa inakuwa over valued kuliko thamani halisi ya kampuni..unakuta thamani ya kampuni kwa maana ya total assets ni bil 100..then thamani ya hisa za kampuni husika ni tilion moja?Kwanza soko la hisa popote duniani ni betting sio kwamba watu wamelifanya kuwa hivyo, hiyo ndo asili ya soko la hisa popote duniani. Unaweza kupata milioni leo kesho bei ya hisa ikashuka ukabaki na sifuri.
Pili bei ya hisa haina uhalisia ndio maana ikitokea hata fununu za vita ,bei za hisa kwenye masoko makubwa ya dunia kama NYSE huwa zinaathiriwa. Bei ya hisa inapandishwa kwa mahitaji ya watu,na sio kosa hisa kupanda bei wala kushuka na sio maajabu. Demand ikiwa juu,bei ya bidhaa inakuwa juu. Watu wamezipenda hisa za CRDB kwanini zisipande bei? Kwani kupenda hisa za kampuni fulani ni uhalifu?
Mkuu, mi sijaanza kuwekeza hisa leo wala jina na siwekezi kwenye soko la hisa la DSE peke yake, uwekezaji wa hisa naujua vilivyoooooo na ninazidi kujifunza kila siku. Hisa kuwa over priced ni kitu cha kawaida na hakipo Tanzania tu,ndio maana kuna hadi formula wataalam wanafundisha jinsi ya kutambua hisa ambazo ziko over priced kuliko thamani halisi ya kampuni.Mkuu hakuna aliye kataa unacho kisema,,tunacho zungumzia hapa ni ile mob inayo endelea ya watu kununua hisa kiushabiki,kuna ambao wanaenda kukopa n.k. Matokeo yake bei ya hisa inakuwa over valued kuliko thamani halisi ya kampuni..unakuta thamani ya kampuni kwa maana ya total assets ni bil 100..then thamani ya hisa za kampuni husika ni tilion moja?
Na unakuta siyo kwamba kampuni imekua hapana,na faida ya mwaka wanatoa ile ile.
Hao wateja ambao wanaingia sokoni kimihemko huwa wanaipaisha bei ya hisa,na ni hao hao pia wanaishusha bei ya hisa,maana wao wakiona hata ikiwa imeshuka kwa sh moja,wanauza tena hisa zao zote.
Hiyo ni elimu kabisa mkuu,wameielezea vizuri tu na kwa urefu ingia huko youtube,nenda ukajifunze.
Jamaa una maneno makali ila ndio ukweli huo lazima tuumeze.Well well well,Kwanza sijapotosha.Kwenye soko la hisa unaweza enda hata ukiwa na Buku Hilo sio tatizo ila sasa kuna Jambo ambalo hulielewi.Soko la hisa linaitwa soko la mitaji.So kuna watu wanaenda kwenye hilo soko kununua mitaji.Sasa Unapoenda kuuza Mtaji maana yake ni kwamba unarisk apetite kubwa.Labda nikupigishe stori.Miaka ya 1920s huko Marekani watu waliaminishwa kwamba SOKO la hisa ni kwa ajili ya kila mtu.Basi watu wakaanza kwenda kuchukua mikopo Benki kwa kupitia nyumba zao,mishahara yao n.k. kisha wakanunua hisa.
Kitu walichasahau ni kwamba Kwenye soko la hisa kulikuwa na Watu ambao ni Market Movers and Shakers aambo wana mitaji mikubwa.Sasa unajua nini kilitokea?Market Movers walipoona bei ya HISa imepnda vya kutosha wakatoa Pesa ZAO wakawauzi watu kisha Hisa zikaporomoka BEI kwa sababu ya kuwa nyingi sokoni.
Matokeo yake Watu wakafilisika,mabenki yakafilisika SOKO likadorora kila mtu akaumia.Unajua sababu ni nini?Kwanza ni Over leverage na Pili na Soko kupanda Bei kwa kiasi kikubwa kuliko uhalisia wa thamni halisi ya kampuni.Yaani Kampuni ina ukwasi wa Milioni 100 ila kwenye soko la hisa BEI ya hisa inafanya thamani yake iwe TRILIONI moja.Chanzo kiku ikiwa na huu ununuajia na uuzaji holela na kishamba wa HISA.
So ninaposema SOKO la hisa sio kwa ajili ya Makabwela sio kwa sababu nawaonea wivu bali ni kwa sababu ya Damages wanazoleta kwenye Soko la Hisa kutoka na Huo UUZAJI na UNUNUAJI wa hisa kiholela maana hisa zinapanda BEI bila kuwiana na UHALISIA.
Mfano Hisa za CRDB zimepanda BEI Maradufu ndani ya KIPINDI Kifupi lakini UPANDAJI huo haumaanishi kwamba CRDB mtaji wake umekuwa au labda faida yake imekuwa.Ila sasa sokoni Parceived Value imefika mara 2 ila CRDB haijakua mara 2.Sasa Jaribu kufikiri iwapo wateja wa CRDB wamekopa kisha wakaenda kununua HISA za CRDB.Au hata wamekopa Benki zingine na wakaenda kununua HISA za CRDB.Kisha Ghafla hizo hissa zinaporomoka BEI unafikiri CRDB au BENKI ambako wamekopa itakuwa katika HALI GANI?
Hio ndio athari ya SOKO la hisa likipata wazimu na hisa zinapoanza kuwa na BEI ambazo ni unrealistic.Wawekezaji wenye akili ama wanatulia au wanauza hisa ZOTE katika BEI ya JUU ili KUFLOAT soko kabisa kisha BEI ikiporomoka wananunua TENA hisa zile kwa BEI nafuu wanakuwa wamewafilisi hivi visenti vyenu vidogo JUST kama KOKORO la MCHINA linavyowa parura.
SHARES sio ODDS za MPIRA BOSS
Mkuu,kama watu wanapiga simu kuulizia vitu vya ajabu,maana yake hao watu hawana elimu na ufahamu wa kutosha kuhusu soko la hisa linafanyaje kazi na kipi wapige simu kwa broker kuulizia na kipi wasipige. Kwanini hao watu wasipewe elimu ya kutosha ili simu zisizo na umuhimu zipungue huko kwa brokers?Jamaa una maneno makali ila ndio ukweli huo lazima tuumeze.
Soko la hisa linahitaji utulivu sana.
Tukirudi kwenye mada kuu. Je mtu unapiga simu kuuliza nini? Siku hizi mtu anauza hisa muda huu kesho yake anataka apate hela.
Unanunua hisa leo order ikiwa full filled kesho unataka uone kwenye portifolio yako.
Watu hawataki ile T+2 wanaona broker ni kama kampuni za betting papo kwa papo.
Mwingine app ya DSE haipatikani anamtafuta broker kuuliza why haipatikani. Piga DSE akujibu.
Kifupi soko limekua shaghala baghala.
Watu hawasomi terms and condition.
Mwisho wa siku broker sio financial advisor broker yeye ni daraja tu la DSE na Mteja awe mkubwa au mdogo..
Tatzo siku hizi soko limevamiwa. Na kitatulamba tu siku.
Tutakuwepo...
Kuna mabroker wana magroup ya whatsapp kule wawekezaji wanauliza maswali na kujibiana. Unless iwe shida ya broker mfano muda wa kupokea malipo umepitiliza, order hazijawa reflected n.k...Mkuu,kama watu wanapiga simu kuulizia vitu vya ajabu,maana yake hao watu hawana elimu na ufahamu wa kutosha kuhusu soko la hisa linafanyaje kazi na kipi wapige simu kwa broker kuulizia na kipi wasipige. Kwanini hao watu wasipewe elimu ya kutosha ili simu zisizo na umuhimu zipungue huko kwa brokers?
Kwanini suluhisho la matatizo liwe kuwaambia watu wasiwekeze? Watu wapewe elimu ya uwekezaji tena elimu sahihi. Mimi nakumbuka wakati naanza kuwekeza kuna swali nilikuwa najiuliza,nikamtafuta mtu ana shahada ya masuala ya kifedha na anafanya kazi taasisi kubwa tu hapa nchini ili anisaidie kupata majibu .Cha kushangaza akanijibu hajui chochote kuhusu hisa licha ya kwamba yeye anafanya kazi kwenye ile taasisi. Yaani ni maajabu. Nchi nyingine watoto wa sekondari wanafahamu kuhusu hisa,watoto wa sekondari.