Miaka ya 2010 watu wengi walipuuzia Bitcoin ikiwa chini ya $1… leo hii ni maelfu ya dola.
Miaka ya zamani, wazazi wetu waliona ardhi haina maana—leo real estates ni moja ya mali za thamani.
Miaka ya 2004 watu walidharau Facebook—leo ni moja ya kampuni kubwa duniani.
Miaka ya 2010 wengi waliona Tesla kama ndoto ya wazimu—leo imebadilisha sekta ya magari.
Miaka ya 2015 watu walicheka Amazon kuendelea kupanuka—leo ndiyo mfalme wa biashara mtandaoni.
Sasa ni wakati wetu.
Makampuni mengi ndani ya Dar es Salaam Stock Exchange yanaonyesha ukuaji halisi—faida zinaongezeka, dividends zinatolewa, na fursa bado iko wazi kwa watu wachache wanaoelewa mchezo mapema.
Ukweli mchungu: wengi wataisikia hii opportunity, lakini wataichelewesha… na baada ya miaka 5–10 watasema “ningeanza mapema.”
Usiwe mmoja wao.
Natafuta watu 15 tu serious.
Jumapili hii nitafanya session ya Zoom ambapo nitakufundisha:
- Jinsi ya kuanza uwekezaji kwenye hisa (hata kama hujui chochote)
- Jinsi ya kuchagua kampuni zenye potential
- Jinsi ya kujenga portfolio yenye faida
- Mbinu za kuepuka makosa ambayo beginners wengi hufanya
Utoke na practical knowledge, si theory za kawaida.
Malipo kamili: 30,000 TZS
Lakini kwa watu 15 wa kwanza: 15,000 TZS tu
Baada ya hapo, bei inarudi kawaida.
📲 WhatsApp: +255 737 450 640
Fanya malipo mapema kuthibitisha nafasi yako.
Ukishalipia, utapata pia nafasi ya kuwasiliana nami
one-to-one kwa simu ili nikusaidie kulingana na malengo yako binafsi.
Ukisubiri sana, utarudia historia ile ile ya waliomiss Bitcoin, real estate na makampuni makubwa.
RMK
Independent stock analyst.