Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

Wee jamaa unaonekana una nyodo sana πŸ˜‚πŸ˜‚ ila nimepata meseji vizuri sana. Sina swali
 
Miaka ya 2010 watu wengi walipuuzia Bitcoin ikiwa chini ya $1… leo hii ni maelfu ya dola.
Miaka ya zamani, wazazi wetu waliona ardhi haina maanaβ€”leo real estates ni moja ya mali za thamani.
Miaka ya 2004 watu walidharau Facebookβ€”leo ni moja ya kampuni kubwa duniani.
Miaka ya 2010 wengi waliona Tesla kama ndoto ya wazimuβ€”leo imebadilisha sekta ya magari.
Miaka ya 2015 watu walicheka Amazon kuendelea kupanukaβ€”leo ndiyo mfalme wa biashara mtandaoni.
Sasa ni wakati wetu.
Makampuni mengi ndani ya Dar es Salaam Stock Exchange yanaonyesha ukuaji halisiβ€”faida zinaongezeka, dividends zinatolewa, na fursa bado iko wazi kwa watu wachache wanaoelewa mchezo mapema.

Ukweli mchungu: wengi wataisikia hii opportunity, lakini wataichelewesha… na baada ya miaka 5–10 watasema β€œningeanza mapema.”
Usiwe mmoja wao.

Natafuta watu 15 tu serious.
Jumapili hii nitafanya session ya Zoom ambapo nitakufundisha:
- Jinsi ya kuanza uwekezaji kwenye hisa (hata kama hujui chochote)

  • Jinsi ya kuchagua kampuni zenye potential
  • Jinsi ya kujenga portfolio yenye faida

- Mbinu za kuepuka makosa ambayo beginners wengi hufanya
Utoke na practical knowledge, si theory za kawaida.
Malipo kamili: 30,000 TZS
Lakini kwa watu 15 wa kwanza: 15,000 TZS tu
Baada ya hapo, bei inarudi kawaida.
πŸ“² WhatsApp: +255 737 450 640
Fanya malipo mapema kuthibitisha nafasi yako.
Ukishalipia, utapata pia nafasi ya kuwasiliana nami one-to-one kwa simu ili nikusaidie kulingana na malengo yako binafsi.
Ukisubiri sana, utarudia historia ile ile ya waliomiss Bitcoin, real estate na makampuni makubwa.

RMK
Independent stock analyst.
 
Niwakumbushe Ada ni 30000 Tsh.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hivi kuna namna ya kubadili broker?
 
We jamaa mbona unatutisha wawekezaji wapya, yani hisa za 20M unaziita vihisa..seriously,?! tutake radhi tafadhali
 
We jamaa mbona unatutisha wawekezaji wapya, yani hisa za 20M unaziita vihisa..seriously,?! tutake radhi tafadhali
Mkuu wale siwatishi,Nasisitiza tu umuhimu wa kuelewa kwamba Unapoenda soko la HISa kule ni Playground ya Matajiri ambao wana kitu kinaitwa Disposable income.Kwa mafno kama una hisa za NMB zenye thamani ya Milioni 20 kwa bei ya ya hisa ya 13000 ina maana mwaka huu unapata Gawio la Shs 923,000.Sasa wewe unavyoona hisa za milioni 20 ni nyingi?Ukiwa na za CRD Utapata Gawio la 670,000 kwa bei ya hisa ya 2700 kwa sasa.Ukiangalia hapo unaona kabisa kwamba Sokola hisa sio kwa ajili ya watu wenye milioni 20 ya mawazo.Ila ni sehemu nzuri ya kujifunzia uwekezaji na kuliffhamu soko la hisa ili siku ukiwa na mtajia mbao ni substancial basi unauingiza kwenye soko la hisa kwa TIJA ya kutosha ili uone gawio linaloeleweka
 
Hivi hawa brokers wanachaguliwa na nani? Ni hizo kampuni zilizopo sokoni au ni mtu yeyote ana-apply kuwa broker?
Ili uweze kuwa broker kunataratibu za kufuata kama ifuatavyo;
1.Masharti ya Kisheria na Kifedha kwa Kampuni
Biashara ya udalali wa hisa haifanywi na mtu binafsi moja kwa moja, bali kupitia kampuni iliyosajiliwa. Masharti makuu ni pamoja na:
  • Aina ya Kampuni: Lazima iwe imesajiliwa kama kampuni ya mtaji (Public Limited Company) chini ya sheria za nchi.
  • Mtaji wa Kuanzia: Kampuni inapaswa kuwa na kiwango cha mtaji wa kutosha uliowekwa kisheria (kama inavyoelekezwa na CMSA) ili kuhakikisha uthabiti wa kifedha.
  • Uzoefu: Kuwa na uzoefu katika shughuli za fedha na uwekezaji.
2.Sifa za Watendaji na Wafanyakazi
Watu wanaofanya kazi ya udalali kwenye kampuni husika (Stockbrokers) lazima wawe na sifa maalumu:
  • Uweledi na Vyeti: Wanapaswa kufaulu mitihani na kupata vyeti vinavyotambuliwa na CMSA au DSE, kama vile Securities Investment and Trading Course.
  • Uadilifu na Uzoefu: Kutoonyesha historia ya uhalifu wa kifedha na kuwa na uelewa wa kina wa sheria zinazosimamia soko la mitaji.
3.Usajili na Leseni (Licensing)
  • Idhini ya CMSA: Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ndiyo yenye mamlaka ya mwisho ya kutoa leseni baada ya kujiridhisha kuwa mwombaji anakidhi vigezo vyote vya usalama wa uwekezaji wa umma.
  • Uanachama DSE: Baada ya kupata leseni ya CMSA, kampuni inapaswa kujiunga na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kama Mwanachama wa Biashara aliyekamilisha taratibu zote.
 
siku hizi nyuzi za HISA zimepungua sana. Watu wameingia kwenye uhalisia. Hisa sio betting.
 
siku hizi nyuzi za HISA zimepungua sana. Watu wameingia kwenye uhalisia. Hisa sio betting.
Kuna Gen Z waliingia na perception hisa ni mchezo wa kuvuna utajiri haraka harakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kilichowapata ni siri Yao na mioyo yao
 
Kuna Gen Z waliingia na perception hisa ni mchezo wa kuvuna utajiri haraka harakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kilichowapata ni siri Yao na mioyo yao
Hatari sana kaka. Walizikimbiza huwezi amini within one month hisa za CRDB zilitoka 2000 mpaka 3120....

We jaribu ku google index ya DSE hata magwiji walikua wanashangaa hii trend mbona ni hatari? Now tuliiiiiiiiiiii
 
Hatari sana kaka. Walizikimbiza huwezi amini within one month hisa za CRDB zilitoka 2000 mpaka 3120....

We jaribu ku google index ya DSE hata magwiji walikua wanashangaa hii trend mbona ni hatari? Now tuliiiiiiiiiiii
Saivi inacheza 2700 to 2800 😁😁😁 mwezi wa pili huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…