hatua wengine tulishachukua miaka mingiMambo ni [emoji91] OK tutakuwa tukijadii fundishana tuu bila kuchukua hatua maana Mada Kama hizi nyingi Sana tumekuwa Tukizisikia PIA kuzijadili Ila hakuna kinachofanyika, MY QUESTION TO YOU ALL TUNASUBIRI AJE HATUA ACHUKUE KILA SIKU TUTAJADILI TUUUU
Sawa je kuitupa biblia NA Quran kumeleta effect yeyote? Kwako NA Kwa jamii ya kiafrica Kama si Tanzaniahatua wengine tulishachukua miaka mingi
biblia na quran tulishatupa kwenye garbage bin
Ahsante kwa hili ,naweza kupata maelezo au link ya Yeshua hamashiach? Nijifunze vzr mkuuyesu anayeelezwa kwenye biblia hajawahi kuwepo
yeshua hamashiach alikuwepo na alikuwa black,huyu alikuwa ni freedom fighter,the soldier aliyepambana na utawala wa warumi pale canaan..
your bible jesus is a fable..throw him in garbage bin
Ngoja waje wafia dini hapa patawaka moto, hawawezi tuacha salama hawa WATU Weupe Kama ni mbegu walopanda now inae mizizi mikubwa NA iliyojichimbia Sana kuufuta ubible na uquran Kwenye mindset Zetu waafrica maybe tufe wote Zeni wazaliwe new black peoplesyesu anayeelezwa kwenye biblia hajawahi kuwepo
yeshua hamashiach alikuwepo na alikuwa black,huyu alikuwa ni freedom fighter,the soldier aliyepambana na utawala wa warumi pale canaan..
your bible jesus is a fable..throw him in garbage bin
nimejikomboa mimi na ninatoa elimu kwa wengine,mfano humu jf nimeshapiga sana mihadharaSawa je kuitupa biblia NA Quran kumeleta effect yeyote? Kwako NA Kwa jamii ya kiafrica Kama si Tanzania
OK ndugu nyabhingi je unajua kuna kundi kubwa LA WATU ambao Hata simu ya mkononi hawana, hawajui kusoma hao umewaweka kwenye kundi gani elimu inawafikia vipinimejikomboa mimi na ninatoa elimu kwa wengine,mfano humu jf nimeshapiga sana mihadhara
tafuta vitabu hivi vya dr. barashangoAhsante kwa hili ,naweza kupata maelezo au link ya Yeshua hamashiach? Nijifunze vzr mkuu
hiyo ni changamoto,tusaidiane mawazoOK ndugu nyabhingi je unajua kuna kundi kubwa LA WATU ambao Hata simu ya mkononi hawana, hawajui kusoma hao umewaweka kwenye kundi gani elimu inawafikia vipi
wanakimbiaga wenyewe hapaNgoja waje wafia dini hapa patawaka moto, hawawezi tuacha salama hawa WATU Weupe Kama ni mbegu walopanda now inae mizizi mikubwa NA iliyojichimbia Sana kuufuta ubible na uquran Kwenye mindset Zetu waafrica maybe tufe wote Zeni wazaliwe new black peoples
Yote ulioongea nakubaliana na wewe, ila kwenye hii kauli hapo juu. No sitaiga mababu zangu kutegemea mizimu! Ni sawa na kusema "unamkimbia polisi anakuonea namfuata magereza" Wakati vyote ni under the same roof............................Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie
Baada ya kumleta feki nae pia wakamuua au huyo feki bado yupo hai?January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial
hakupona ajali ya moto, alikufa....ndio feki alipoingia
Wewe huna imani na NENO la MUNGU ndiyo maana unaona kwa mstari huo YESU alidanganya. Sasa kwa taarifa yako YESU KRISTO hakudanganya wala hakusema uongo. Hii dunia ina mambo mengi sana usiyoyajua wewe. Hivi hebu nikuulize, unawajua watu wote wanaoishi katika hii dunia na historia zao?rubbish
Matthew 16:28 King James Version (KJV)
28 Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.
hapa your man god jesus hakudanganya?
hivi unaweza kuniambia kuna mwandishi yoyote aliyeandika kuhusu yesu wako zaidi ya biblia yako iliyochongwa na warumi?
Fake oneUnamaana gani? Huyu aliyebaki alikuwa msukule?
Labda nikueleze tu kile ninachofahamu kuhusu kitu kinaitwa mali_'kuwa nacho'Nisaidie, vyama vya siri vipo, na wenye nacho wanaishi tu kama binadamu wengine, swali, je hii inauhusiano gani na mada?
Asante
swali zuri, utajibiwaAiseee hatari sana.... Naweza kujuzwa kuhusu Mizimu ni akina nani na tunaiamsha vipi ili ije itusaidie??
BOB MARLEY alisema, "Emancipate yourself from mental slavery, none but ourselves can free our minds...."
Sasa kabla hatujajikomboa sisi tunataka misaada ya Mizimu, hebu nidadavulieni hapo.
Asante, kwa mchango wako, lakini kuelewa ni kitu kimoja,kuipata maana ni kingine kabisa, wa baguzi sio sisi, bali wabaguliwa ,unadhani uvivu wako wa kuhoji, na kutafiti unaweza kubatilisha takwimu??? Ama mafundisho ya dini bandia,kuepuka uhakiki?, Ni saa ya matanuri yawakayo moto, ni ukweli tu, ndio utapita salama, kuhusu kufanikiwa tunafanikiwa sana, sana move yetu sio ya kisiasa, na wala hatuhitaji kujithibitisha kwako, na mwisho wa siku Tunajua hata milango yote yagereza ikivunjwa, bado kunawatu, wataamua kubakia humo gerezani....Labda nikueleze tu kile ninachofahamu kuhusu kitu kinaitwa mali_'kuwa nacho'
ivyo labda itakufanya ujue kwa nini niliuliza Vile
Mosi_hamna mwenye chake, ila tu kuna wajinga fulani wanaojichosha kukusanya wasivyoweza kutumia(hata kwetu wapo)
Labda hao ndio mnaowaita vyama vya siri_na mwisho wa kila kitu sidhani kama unaufahamu nao.
Pili_Ubwana na utumwa/uungwana na utwana_haujaanza leo na hautakwisha
Lofa lazima atawaliwe na Majanja_na si vibaya ni afya ya utaratibu wa mfumo wa maisha ya dunia.
Hata race yenu ikipata inachohitaji bado naamini kila kitu kitakuwa vile vile Tu.
Swali..Na nyie mnapata wapi iyo akili ya kuita wenzenu weupe na nyie weusi..!?
Mi nadhani nyie ni wabaguzi kuliko wao na dalili za ubaguzi mkali mnazionesha mapema sana_ Na ndio maana hamfanikiwi.
Nyabingi Asantetafuta vitabu hivi vya dr. barashango
1.
Afrikan People and European Holidays: A Mental Genocide, Book 1
Nov 3, 1979
by Ishakamusa Barashango
2.
Afrikan Woman the Original Guardian Angel
Dec 1, 1989
by Ishakamusa Barashango
3.
Afrikan People and European Holidays: A Mental Genocide, Book 2
Feb 2, 1983
by Ishakamusa Barashango
4.
God, the Bible and the Blackman's Destiny
Mar 1, 2002
by Ishakamusa Barashango
5.
Afrikan Genesis: Amazing Stories of Man's Beginnings
Oct 20, 2011
by Ishakamusa Barashango
pia mcheck youtube
yule mlizika 2008Baada ya kumleta feki nae pia wakamuua au huyo feki bado yupo hai?