Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
-
- #201
Tuko hapa kukupa maana, ya ukweliYote ulioongea nakubaliana na wewe, ila kwenye hii kauli hapo juu. No sitaiga mababu zangu kutegemea mizimu! Ni sawa na kusema "unamkimbia polisi anakuonea namfuata magereza" Wakati vyote ni under the same roof.
Tuijue kweli nayo kweli itatuweka huru.
Vyovyote ni sawa Tu kama mizimu ilishindwa kuwa macho mpaka tunatekwaAsante, kwa mchango wako, lakini kuelewa ni kitu kimoja,kuipata maana ni kingine kabisa, wa baguzi sio sisi, bali wabaguliwa ,unadhani uvivu wako wa kuhoji, na kutafiti unaweza kubatilisha takwimu??? Ama mafundisho ya dini bandia,kuepuka uhakiki?, Ni saa ya matanuri yawakayo moto, ni ukweli tu, ndio utapita salama, kuhusu kufanikiwa tunafanikiwa sana, sana move yetu sio ya kisiasa, na wala hatuhitaji kujithibitisha kwako, na mwisho wa siku Tunajua hata milango yote yagereza ikivunjwa, bado kunawatu, wataamua kubakia humo gerezani....
Mzungu gan tenaUkweli ni kauli tata...labda we utuambie, yule mzungu ali kuwa Michael Jackson kweliiiii???
karibu..ongezea na hivi kutoka kwa GRAND MASTER,DR.BEN YOSEF JOCHANNAN...my mentorNyabingi Asante
angalia mafundisho ya wazungu yalivyoharibu ubongo wakoWewe huna imani na NENO la MUNGU ndiyo maana unaona kwa mstari huo YESU alidanganya. Sasa kwa taarifa yako YESU KRISTO hakudanganya wala hakusema uongo. Hii dunia ina mambo mengi sana usiyoyajua wewe. Hivi hebu nikuulize, unawajua watu wote wanaoishi katika hii dunia na historia zao?
Jibu ni rahisi sana hujui. Sasa fahamu kwamba NENO la MUNGU ni kweli na siyo uongo, hao watu aliosema BWANA YESU kuwa hawataonja mauti kamwe mpaka watakapomwona akija katika Ufalme wake ni kweli kabisa wapo na wanaishi. Amini usiamini. Kutokuwajua hao watu na kuwaona kwa macho haina maana kwamba hawapo. Mimi naamini hao watu wapo na wataendelea kuwepo mpaka ile siku MESSIAH atakapokuja kwenye Ufalme wake.
Ila mbona ni kweli alikua anajigeuza kwenda kwenye uzungu? Pua na nywele hizoView attachment 806169 the last original and true Michael Jackson
mizimu ni ushetani na hao wanaoleta utaratibu wa siri, boss wao pia ni shetani katika VITENGO TOFAUTI, tukubaliane kwanza na ili, ndio twende pamoja VINGINEVYO nifafanulie DEEP ili tuwe pamoja. plse!Tuko hapa kukupa maana, ya ukweli
Sawa mzungu tumekuelewaLabda nikueleze tu kile ninachofahamu kuhusu kitu kinaitwa mali_'kuwa nacho'
ivyo labda itakufanya ujue kwa nini niliuliza Vile
Mosi_hamna mwenye chake, ila tu kuna wajinga fulani wanaojichosha kukusanya wasivyoweza kutumia(hata kwetu wapo)
Labda hao ndio mnaowaita vyama vya siri_na mwisho wa kila kitu sidhani kama unaufahamu nao.
Pili_Ubwana na utumwa/uungwana na utwana_haujaanza leo na hautakwisha
Lofa lazima atawaliwe na Majanja_na si vibaya ni afya ya utaratibu wa mfumo wa maisha ya dunia.
Hata race yenu ikipata inachohitaji bado naamini kila kitu kitakuwa vile vile Tu.
Swali..Na nyie mnapata wapi iyo akili ya kuita wenzenu weupe na nyie weusi..!?
Mi nadhani nyie ni wabaguzi kuliko wao na dalili za ubaguzi mkali mnazionesha mapema sana_ Na ndio maana hamfanikiwi.
Una undugu na Deogratius Kisandu ??January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial
hakupona ajali ya moto, alikufa....ndio feki alipoingia
Hebu eleza kwa undani maana bado tupo kuzimuMichael Jackson aliuliwa na wayahudi wamiliki wa sonny music company
Eheeeeer, serioussssssJanuary 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial
hakupona ajali ya moto, alikufa....ndio feki alipoingia
Hapo umenena, huyo mtu ndio chimbuko la uongo katika historia.Kwa kukusaidia bi Hemedi, watu hawawezi kuielewa dunia, bila kumuelewa mtu anaitwa myahudi kwanza, huo ndio ufunguo wa kuielewa dunia
Nenda fb kiongozi nazani umepotea njiaNi Bora Ubaguzi Wa Rangi Kuliko Anaouleta Mleta Mada
Wewe hebu fuatilia hata huyo Yesu ni black, sijui unaamini Yesu yupi?Hao mizimu ni akina nani?? Mizimu ni "mashetani" yanayojigeuza na kujifanya ni watu waliokufa zamani. Sikia wewe mdada Fatima binti hemedi iko hivi; kwangu mimi YESU KRISTO ndiyo njia, kweli, na uzima.
YESU KRISTO pekee ndiyo jina tulilopewa na BWANA MUNGU ili tulitumainie na kutuokoa. Hata wewe nakuomba kuanzia leo anza kumtumainia YESU KRISTO na utaupokea uzima wa milele na hao "mapepo" unaowaita "mizimu" watakukimbia na utakuwa huru, tena utakuwa huru kweli kweli.
Nenda celebrities kwa wenzakomatango pori
Ilete basii kiongoziMichael aliuliwa mwaka 1984, na stori yote tunayo
Rudi FB tuu mkuuSwali sijalielewa....binafsi