Asante, kwa mchango wako, lakini kuelewa ni kitu kimoja,kuipata maana ni kingine kabisa, wa baguzi sio sisi, bali wabaguliwa ,unadhani uvivu wako wa kuhoji, na kutafiti unaweza kubatilisha takwimu??? Ama mafundisho ya dini bandia,kuepuka uhakiki?, Ni saa ya matanuri yawakayo moto, ni ukweli tu, ndio utapita salama, kuhusu kufanikiwa tunafanikiwa sana, sana move yetu sio ya kisiasa, na wala hatuhitaji kujithibitisha kwako, na mwisho wa siku Tunajua hata milango yote yagereza ikivunjwa, bado kunawatu, wataamua kubakia humo gerezani....